Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.

Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.

Pili amepeleka ujembe kutoka kwa Magufuli kwenda kwa Trump kuhusu uchaguzi huru, haki za binadamu na mambo mengine ambayo yamefanya Tanzania kwa mara ya kwanza kuingizwa kwenye list mbaya wa wananchi wake kusafiri kwenda US.

Kiukweli kabisa hii ziara ni ziara ya kuomba msamaha na kujaribu kurudisha uhusiano ambao Kikwete na Mkapa waliutengeneza.

Zile sera za kibabe na kuita watu mabeberu tunashukuru Kabudi ameona mwenyewe hazitupeleki mbele. Lakini amejua ukweli kwamba Dunia ni ndogo tuangalie Corana virus wote tupo kama binadamu ikipatikana kinga ambayo kampuni ya US inatengeneza ni ya Dunia nzima sio ya mabeberu pekee.

Hongereni kwa kujali taifa na kuanza kukutana na upinzani naona Magu kaona ukweli.
Duh...kuomba msamaha??!! Unaelewa maana yake?!
 
Beberu akupe elimu kisha umletee nyodo????
Angerejeshwa jalala alikookotwa yeye na mzee Meko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa "USICHOKOZE UGOMVI KAMA UNAISHI KWENYE YA VIOO"Magambas bwana sijui wanajionaje,Mwanaume kaunguruma kidogo vijibwa koko vimeanza kufyata mkia na kuwafata mabwana zao. Sasa tunaenda kuizika lugha ya beberu rasmiii na hutoisikia tena toka midomoni mwa viongozi wa ngazi za juu. Mara beberu mara bepari kwishaaaaaaa.! CCM kaeni mkijua kiburi si maungwana..nyodo zenu kwa chadema tu kwa U.S ninyi sawa na punda.
 
Uchumi wao ulikuwa kiasi gani kabla hawajawekewa vikwazo?
Sasa naona umeamua kuanzisha thread nyingine ndani ya thread. Anza yako nitakupa data unazohitaji kwa kuwa nilikuwa Harare enzi hizo. Sikutishii anza yako uni quote
 
Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.

Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.

Pili amepeleka ujembe kutoka kwa Magufuli kwenda kwa Trump kuhusu uchaguzi huru, haki za binadamu na mambo mengine ambayo yamefanya Tanzania kwa mara ya kwanza kuingizwa kwenye list mbaya wa wananchi wake kusafiri kwenda US.

Kiukweli kabisa hii ziara ni ziara ya kuomba msamaha na kujaribu kurudisha uhusiano ambao Kikwete na Mkapa waliutengeneza.

Zile sera za kibabe na kuita watu mabeberu tunashukuru Kabudi ameona mwenyewe hazitupeleki mbele. Lakini amejua ukweli kwamba Dunia ni ndogo tuangalie Corana virus wote tupo kama binadamu ikipatikana kinga ambayo kampuni ya US inatengeneza ni ya Dunia nzima sio ya mabeberu pekee.

Hongereni kwa kujali taifa na kuanza kukutana na upinzani naona Magu kaona ukweli.
Kamudu long time brother
Unasema kafanya vyema kuomba msamaha? Kabudi na usomi wake wote hakujua kwamba kuendelea kufanya siasa za kizamani ilikuwa ni ushamba?
 
Baada ya kuomba msamaha Kabudi ile pin ya RC wa Dar itaondolewa?
Dada hawa wamarekani wenyewe ni ma-coward tu.
Hivi kweli haki za binadamu unampini Bashite?
Wanamuogopa JPM.
Walijua wangejifanya kumpin JPM wangechekesha dunia, wakaamua kutafuta kibonde wao
 
Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.

Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.

Pili amepeleka ujembe kutoka kwa Magufuli kwenda kwa Trump kuhusu uchaguzi huru, haki za binadamu na mambo mengine ambayo yamefanya Tanzania kwa mara ya kwanza kuingizwa kwenye list mbaya wa wananchi wake kusafiri kwenda US.

Kiukweli kabisa hii ziara ni ziara ya kuomba msamaha na kujaribu kurudisha uhusiano ambao Kikwete na Mkapa waliutengeneza.

Zile sera za kibabe na kuita watu mabeberu tunashukuru Kabudi ameona mwenyewe hazitupeleki mbele. Lakini amejua ukweli kwamba Dunia ni ndogo tuangalie Corana virus wote tupo kama binadamu ikipatikana kinga ambayo kampuni ya US inatengeneza ni ya Dunia nzima sio ya mabeberu pekee.

Hongereni kwa kujali taifa na kuanza kukutana na upinzani naona Magu kaona ukweli.
Una fikra za kitumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabudi alijifanya kulibebea bango suala la Zimbabwe, Mabeberu yakasema wewe unaingia kwenye reli yetu eh?

Pia tabia za kujimwambafy kwa kuwaita mabeberu

Kujitamba eti tuna hela na hatuwahitaji wakati tumechoka kichizi, apeche alolo
 
Jamani tz si donnor kantri kabudi kaendaje kujipendekeza kwa beberu?huyu anahujumu juhudi za serikali ya wanyonge ya awamu ya tano, huyu hafai, kuhusu uchaguzi huru mbona ccm itashinda kwa asilimia 99.9....kama ule wa sm
 
Mbona anawasagia sana anaowaita mabeberu tena akitoa macho yake kama yule mdudu bila haya! ILA kwa uchaguzi huru na wa haki sio kwa awamu hii! I swear!
 
Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.

Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.

Pili amepeleka ujembe kutoka kwa Magufuli kwenda kwa Trump kuhusu uchaguzi huru, haki za binadamu na mambo mengine ambayo yamefanya Tanzania kwa mara ya kwanza kuingizwa kwenye list mbaya wa wananchi wake kusafiri kwenda US.

Kiukweli kabisa hii ziara ni ziara ya kuomba msamaha na kujaribu kurudisha uhusiano ambao Kikwete na Mkapa waliutengeneza.

Zile sera za kibabe na kuita watu mabeberu tunashukuru Kabudi ameona mwenyewe hazitupeleki mbele. Lakini amejua ukweli kwamba Dunia ni ndogo tuangalie Corana virus wote tupo kama binadamu ikipatikana kinga ambayo kampuni ya US inatengeneza ni ya Dunia nzima sio ya mabeberu pekee.

Hongereni kwa kujali taifa na kuanza kukutana na upinzani naona Magu kaona ukweli.
ila propesa njaa kabudi amesahau kumuombea msamaha mtoto wa mfalme bna David Bashboy
 
Kabudi alijifanya kulibebea bango suala la Zimbabwe, Mabeberu yakasema wewe unaingia kwenye reli yetu eh?

Pia tabia za kujimwambafy kwa kuwaita mabeberu

Kujitamba eti tuna hela na hatuwahitaji wakati tumechoka kichizi, apeche alolo
Hayo majamaa yanayopenda kutumia neno mabeberu kuwaita wahisani wao akili zao zitakuwa na uporoto
 
Shindikizo la ndani ya nchi na lile la wadau wa maendeleo wa nje linafanya Prof. Palamagamba Kabudi kusema yale wenziwe wasiyoyaamini kuhusu demokrasi na haki ya vyama vya upinzani kufanya shughuli zake kwa uhuru .
 
Uchaguzi huru = Tume huru

Bila Tume huru No uchaguzi.
 
Uzuri kaenda kuwapiga magoti mabeberu. Kule bungeni alikuwa akitoa macho kama mjusi kabanwa na mlango huku akijiapiza kuwa hatawapigia magoti mabeberu. Mwenyewe leo kawafuata mabeberu kuwaomba msamaha kama mbwa koko mkia matakoni.

Kabudi ni failure big time
Kumuamini mwanasiasa ni lzm uwe mlevi
 
Back
Top Bottom