Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuonea huruma!Mbona unaanza unaweweseka?
labda afufue aliowauaBaada ya kuomba msamaha Kabudi ile pin ya RC wa Dar itaondolewa?
Kwamba Zimbabwe ina uchumi mkubwa kuliko tz mzeeNi furaha kuu jamani kuona kuwa tumejitambua kuwa sisi si kisiwa. B/up sana Kabudi kwa kuuweka kando ukaidi ukaona vyema kushuka tu ili mambo yende vizuri. Tulitaka kutengeneza Zimbabwe ya pili lakini heri wenzetu walikuwa na kaubavu kidogo kwenye uchumi. Sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi.
Tufuate amri zao bila shuruti. Huu si wakati wa kusema; Misaada ya masharti hatuitaki. Sii leo tena.
Hata mimi nakuonea huruma.Nakuonea huruma!
Sipendi mtu anayerukia kichwa cha treni. Hata kama inataka kusimama stesheni. Rudia tena usome nilicho andika. Hakuna popote niliandika kuwa uchumi wa Zimbabwe leo ni mkubwa kuliko wetu Tz.Kwamba Zimbabwe ina uchumi mkubwa kuliko tz mzee
" Tulitaka kutengeneza Zimbabwe ya pili lakini heri wenzetu walikuwa na kaubavu kidogo kwenye uchumi. Sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi."Sipendi mtu anayerukia kichwa cha treni. Hata kama inataka kusimama stesheni. Rudia tena usome nilicho andika. Hakuna popote niliandika kuwa uchumi wa Zimbabwe leo ni mkubwa kuliko wetu Tz.
Hawa ni wa buku 7000 usipoteze nguvu zako bureSasa Mbowe kuteremshwa jukwaani na Kabudu aka Prof wa jalalani kuwapigia magoti mabeberu kuna uhusiano gani? Mbona umechanganyikiwa mapema sana?
Ndo maana nikakuomba uusome mstari huo taratiiib. Nimesema; Hao Zimbabwe "Walikuwa" na kaubavu kidogo kwenye uchumi wao (Siku hizoooooo) kwa sababu uchumi wao ulikuwa mzuri sana kabla ya vikwazo. Tupo pamoja??????" Tulitaka kutengeneza Zimbabwe ya pili lakini heri wenzetu walikuwa na kaubavu kidogo kwenye uchumi. Sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi."
Hapo juu ni maneno ya post yako.... Kwamba hapo ulimaanisha nini?
Hawana hela Sasa hiviNimeamini sasa CCM wanahitaji pesa zile kwa ajili ya uchaFuzi hapo october na si vinginevyo... Wamekaa kimyakimya. ..
Na hapo ulipomalizia sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi unamaanisha nini....Unamaanisha uchumi wa Zimbabwe kabla ya vikwazo ni mzuri kuliko huu wa tz wa sasa si ndiyo?Ndo maana nikakuomba uusome mstari huo taratiiib. Nimesema; Hao Zimbabwe "Walikuwa" na kaubavu kidogo kwenye uchumi wao (Siku hizoooooo) kwa sababu uchumi wao ulikuwa mzuri sana kabla ya vikwazo. Tupo pamoja??????
Waziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.
Kwenye World bank alikuja kwa unyeyekevu na kuwahakikishia bank kwamba Tanzania itaweka shule maalumu za kulinda watoto waliopata mimba na hii wamehakikisha kapiga sahihi kabisa.
Pili amepeleka ujembe kutoka kwa Magufuli kwenda kwa Trump kuhusu uchaguzi huru, haki za binadamu na mambo mengine ambayo yamefanya Tanzania kwa mara ya kwanza kuingizwa kwenye list mbaya wa wananchi wake kusafiri kwenda US.
Kiukweli kabisa hii ziara ni ziara ya kuomba msamaha na kujaribu kurudisha uhusiano ambao Kikwete na Mkapa waliutengeneza.
Zile sera za kibabe na kuita watu mabeberu tunashukuru Kabudi ameona mwenyewe hazitupeleki mbele. Lakini amejua ukweli kwamba Dunia ni ndogo tuangalie Corana virus wote tupo kama binadamu ikipatikana kinga ambayo kampuni ya US inatengeneza ni ya Dunia nzima sio ya mabeberu pekee.
Hongereni kwa kujali taifa na kuanza kukutana na upinzani naona Magu kaona ukweli.
Kabla ya vikwazo ulikuwa mzuri mno. Wetu sijui kama utaendesha nchi siku ngapi. Tunaomba Mola Mh Kabudi arudi na zile tril zilizorudishwa kwa mabeberuNa hapo ulipomalizia sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi unamaanisha nini....Unamaanisha uchumi wa Zimbabwe kabla ya vikwazo ni mzuri kuliko huu wa tz wa sasa si ndiyo?
Uchumi wao ulikuwa kiasi gani kabla hawajawekewa vikwazo?Kabla ya vikwazo ulikuwa mzuri mno. Wetu sijui kama utaendesha nchi siku ngapi. Tunaomba Mola Mh Kabudi arudi na zile tril zilizorudishwa kwa mabeberu
Anaendaje kwa mabeberu huyo wazir anatakiwa atumbuliwe haiwezekan kuwapigia magoti mabeberuWaziri Kabudi amekuja US kukutana na wawakilishi wa serikali ya Trump na World Bank.