Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

Hiyo ni trick tu waachiwe kufanya uchaguzi kwa tume hii hii. Wamtangaze mgombea wao haraka haraka halafu waseme tume iko huru haiingiliwi na sisi ni nchi huru. Wawahiwe hapo hapo kabla ya uchaguz!i
 
Kwamba Zimbabwe ina uchumi mkubwa kuliko tz mzee
 
Sipendi mtu anayerukia kichwa cha treni. Hata kama inataka kusimama stesheni. Rudia tena usome nilicho andika. Hakuna popote niliandika kuwa uchumi wa Zimbabwe leo ni mkubwa kuliko wetu Tz.
 
" Tulitaka kutengeneza Zimbabwe ya pili lakini heri wenzetu walikuwa na kaubavu kidogo kwenye uchumi. Sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi."
Hapo juu ni maneno ya post yako.... Kwamba hapo ulimaanisha nini?
 
Umejuaje wacha kupiga ramli hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimeamini sasa CCM wanahitaji pesa zile kwa ajili ya uchaFuzi hapo october na si vinginevyo... Wamekaa kimyakimya. ..
 
" Tulitaka kutengeneza Zimbabwe ya pili lakini heri wenzetu walikuwa na kaubavu kidogo kwenye uchumi. Sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi."
Hapo juu ni maneno ya post yako.... Kwamba hapo ulimaanisha nini?
Ndo maana nikakuomba uusome mstari huo taratiiib. Nimesema; Hao Zimbabwe "Walikuwa" na kaubavu kidogo kwenye uchumi wao (Siku hizoooooo) kwa sababu uchumi wao ulikuwa mzuri sana kabla ya vikwazo. Tupo pamoja??????
 
US wanasubiria ifike October 2020 kionekane kitakachotokea. Vikwazo na list ya watu wa kuwekewa vikwazo tayari vipo mezani.

US hawawezi kudanganywa na bakuli la ubwabwa kama watanzania wa vijijini.

Kaeni mkao wa kuumia, vikwazo havikwepeki mwaka huu.
 
Ndo maana nikakuomba uusome mstari huo taratiiib. Nimesema; Hao Zimbabwe "Walikuwa" na kaubavu kidogo kwenye uchumi wao (Siku hizoooooo) kwa sababu uchumi wao ulikuwa mzuri sana kabla ya vikwazo. Tupo pamoja??????
Na hapo ulipomalizia sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi unamaanisha nini....Unamaanisha uchumi wa Zimbabwe kabla ya vikwazo ni mzuri kuliko huu wa tz wa sasa si ndiyo?
 
kwa vile uchaguzi unakaribia asante

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na hapo ulipomalizia sisi sijui tungeendesha nchi siku ngapi unamaanisha nini....Unamaanisha uchumi wa Zimbabwe kabla ya vikwazo ni mzuri kuliko huu wa tz wa sasa si ndiyo?
Kabla ya vikwazo ulikuwa mzuri mno. Wetu sijui kama utaendesha nchi siku ngapi. Tunaomba Mola Mh Kabudi arudi na zile tril zilizorudishwa kwa mabeberu
 
Uchumi wao ulikuwa kiasi gani kabla hawajawekewa vikwazo?
 
Anaendaje kwa mabeberu huyo wazir anatakiwa atumbuliwe haiwezekan kuwapigia magoti mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…