ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Ni mfano, Sio perfect by all means, lakini it send a message huyu akitembelea mkoa wako hakikisha huna dhuruma yoyote au wananchi wataisema...wananchi wana changamoto nyingi mno.
..mikutano ya Makonda haichukui zaidi ya masaa mawili kwa wilaya moja.
..huo sio muda wa kutosha kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi.
..wananchi wanakuwa na hamasa kuhusu ujio wa Makonda ktk maeneo yao lakini nina hakika baada ya muda mfupi watagundua wako palepale na matatizo yaleyale kama alivyowakuta Makonda.
Itasaidia viongozi wengi kusikiliza kero. Viongozi wote / wengi wakiwajibika na wakiwajibishwa kutakuwa na uwajibikaji. Kero zitapungua. Kila senti itaonyeshwa, muda wao utaonyeshwa umetumikaje kazini kwa uwazi.