Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

Ni mfano, Sio perfect by all means, lakini it send a message huyu akitembelea mkoa wako hakikisha huna dhuruma yoyote au wananchi wataisema.

Itasaidia viongozi wengi kusikiliza kero. Viongozi wote / wengi wakiwajibika na wakiwajibishwa kutakuwa na uwajibikaji. Kero zitapungua. Kila senti itaonyeshwa, muda wao utaonyeshwa umetumikaje kazini kwa uwazi.
 

..tusitegemee mtu.

..tutegemee mfumo.

..nini kitatokea ikiwa atateuliwa Mwenezi mwingine?
 
Uki-local na ujinga ni janga letu Bongo.
1. Hivi dunia ya leo yenye kila aina ya teknolojia unasikiliza mahitaji, maoni na matarajio ya wanachama kwa kuzunguka na msafara wa magari mengi nchi nzima?
2. Hivi matatizo ya nchi yanatatuliwa kwa msafara wa kiongozi mmoja mjinga anayepita kufanya maigizo?
3. Huko alikokwisha pita matatizo yameisha?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

..halafu Bashite tayari katembelea Kilimanjaro, Arusha, Manyara, na sasa hivi yuko Singida.

..mimi siamini kama anatatua kero za wananchi.
 
..tusitegemee mtu.

..tutegemee mfumo.

..nini kitatokea ikiwa atateuliwa Mwenezi mwingine?
Mfumo unajengwa na kiongozi thabiti. Mageuzi, mapinduzi yote yana kiongozi kama chuma.

Hiyo ni process kwa nchi maskini, iliyojaa wanafiki, wachumia tumbo, maslahi binafsi, wakabila, mafisadi, wezi kama hii Tanzania.
 
Ni kutotumia akili tu. Magufuli alitembea na kutumbua watu miaka mitano, ina maana kero bado zipo? Yaani uwajibikaji bado tu pamoja na zunguka yote ile ya Magufuli?
 
Mkiambiwa CCM wameishiwa maarifa ndio haya matokeo yake. Sehemu ambazo uongozi wote ni wa CCM tokea wenyeviti wa mtaa mpaka wabunge.... eti bado wanategemea mwenezi ndio apite kusikiliza kero za wananchi.
Tuna safari ndefu sana mpaka kufikia nchi ya asali... tunaweza watu kwenye uongozi kwa kufuata fame badala ya vision.
Ziara ya mwenezi ni full comic na nafikiri raia wanakwenda kusikiliza na kupata viburudisho na sio kutegema matatuzi halisi ya kero zao.
Naona pia anatembelea nyota ya Mbowe... bila ya hivyo ni blah blah tuu... time will tell...
 
Comment yako ilikuwa mbele ya muda
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿšฎ
 
๐Ÿค”๐Ÿ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ