Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

Hakuna muwekezaji kichaa anayeweza kukurupuka kuja kuwekeza kwa sasa hapa Tz. Nchi ambayo iko kwenye ukosefu wa umeme, maji, usalama (fikiria hadithi za serikali kutengeza suala la ugaidi), muwekezaji aje kufanya nini?
Kwanini ni lazima kuwekeza hapa Tz?
 
Unakumbuka kauli ya Samia siku moja alisema baadhi ya wawekezaji wameanza kusita kuja kuwekeza baada ya Rais Magufuli kufariki! Nikamiuliza kweli mwekezaji Smart kwa utawala wa Magufuli ulikuwa bora maana alijua kama kafata vigezo hakuna wa kumsumbua na huduma kama maji na umeme sio tatizo! Sasa wawekezaji mwanaambiana kichaa kashika rungu kila kitu mgao maji, umeme!
 
Duuh! Wee kilaza wee usiye na haya usoni! B460 ijenge viwanda 100? Yaani kila kimoja kijengwe kwa B4.6! Labda kujenga nyumba!

Ushindwe na ulegee shetani mtu!
Watanzania wamezoezwa figure za kifisadi, hawaamini kiwanda kujengwa kwa gharama nafuu!!
 
Duuh! Wee kilaza wee usiye na haya usoni! B460 ijenge viwanda 100? Yaani kila kimoja kijengwe kwa B4.6! Labda kujenga nyumba!

Ushindwe na ulegee shetani mtu!
Umekosa weledi wa mjadala. Unge challenge kwa hoja ukitoa mfano wa aina ya kiwanda hata kama ni cha kushona kaniki za bibiako na bibiangu kijijini, kinaweza kutumia sh ngapi na kuajiri watu wangapi? Aina ya mtambo na raw materials. Unakuja kubeza bilioni 460? You can't be serious Ileje!

Tu challenge hoja kwa hoja zaidi.
 
Kwa ivo nje tunaendaga kuomba omba au

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 

Epuka matapeli, uwezo wa kujenga viwanda 100 hamna. Mama wa kambo kaanza utapeli wa bei rahisi?
 
Wabongo hatuna jema...ndio maana tunasema bora mijeredi tu....
 


Maneno mengi hayavunji mfupa fanyeni badala ya kushinda kila siku kutoa ahadi
 

10 Tena ,mama anafungua Nchi.

Push Gang watapata tabu sana kina Mboyi wanapoteana.
 
Ukiona umemsoma mleta mada na kumuamini ujue wewe duniani unasindikiza. Chamsingi hudhuria harusi nyingi uwezavyo ule ubwabwa maana tofauti na hapo huna faida kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…