Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

nimekuja mbio nikafikiri imeleta maji.
 
Duuh! Wee kilaza wee usiye na haya usoni! B460 ijenge viwanda 100? Yaani kila kimoja kijengwe kwa B4.6! Labda kujenga nyumba!

Ushindwe na ulegee shetani mtu!
mkuu ni viwanda vya kushona suti, baskeli za miguu 3 na majiko ya mkaa.
 
Sijawahi Ona Anna mwenye mapepe kama wewe. Au umeiba jina la mtu?

Sasa hiyo Bilion 460 hata ukisema uwalipe mishahara tu hao wtu 10,000 mbona haitoshi? Ukiwamua uwalipe wote kwa wasitani wa Million 3 kwa mwezi zinaisha mwa huohuo kabla kiwanda hakijaanza kuzalisha.
 
Sisi wengine kwa sasa tunataka umeme na maji ya kutosha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
"ita..."
"Vita...."
Hivi utapeli wa CCM umeanza leo!!?!
 
Hiyo kampuni haina Jina??
 
Sasa suala la jina la mtu linahusikaje ndugu yangu? Investment ya ujenzi wa miundombinu na administrative cost ni vitu viwili tofauti.

Ni sawa na kutenga bilioni 100 kununua mabasi ya mradi huwezi kuzihusisha fedha za madereva, utingo au waosha magari. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Common sense zako zinakuaminisha kuwa B460 zinaweza kujenga viwanda 100? Kiwanda siyo katakana!
 
Kwa hiyo objective kuu ya hiyo viwanda vyao ni kuja kuzalisha Ajira Kwa watanzania? Basi Wamisri wanahuruma sana.
 
Inawezekana kujenga viwanda 100 kwa hizo pesa ni kweli. Lakini ni aina ya viwanda vya kutengeneza consumable goods kama vya akina Mo ambavyo kimsingi havina tija yoyote kama tunavyodanganyana. Uchumi wa viwanda ni manufacturing goods ambao kwetu ni 0% kwanza kwa sababu hatuna teknolojia, rasilimali watu n.k
 
Utaanzaje kuzalisha bila kuwa na pesa ya kulipa mishahara?

Au utawakopa wafanya kazi?

Waache mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…