Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

Utaanzaje kuzalisha bila kuwa na pesa ya kulipa mishahara?

Au utawakopa wafanya kazi?

Waache mbwembwe.
Ndugu yangu, hii miradi mikubwa inaenda kwa stage. Unajenga kwanza mfumo mzima wa kiwanda, mitambo na miindombinu yote.

Hatua ya pili; ni production, ambayo hapo sasa inagusa administrative cost. Vibarua, waajiriwa, management team nk. Binafsi, naamini sh. bilioni 460 kama zilivyoletwa hapa zinaweza kujenga viwanda 100. Tuombe mradi uje ili ndugu zako wewe, yule na mimi waajiriwe bila kujali itikadi za vyama! Na serikali ipate kodi. Najua wewe Chadema mimi CCM, ila maendeleo yetu hayapaswi kuwa based on vyama.
 
Watanzania wamezoezwa figure za kifisadi, hawaamini kiwanda kujengwa kwa gharama nafuu!!
Unajua mkuu huyo aliweka figure za viwanda 100 hakuleta mchanganuo wa viwanda vyenyewe ni vya aina gani na kiasi gani cha fedha za kujenga kiwanda kimmoja kimmoja.
Na hatujui vitajengwa kwa mpigo au kwa awamu.
 
Hachen upuuzi wenu, au tafuta majukwaaa ya kupeleka polojo zenu za kijinga.

Samia kaenda misiri na kukaa siku tatu, ndani ya siku 3, huyo muwekezaj tayar kafanya research ya kutosha kuja kujenga viwanda na kuwekeza 460??? Kweli huyo mkurupukaji!

Siku tatu kaweka bajet ya kuwekeza bongo! None sens
 
Kakaa! Felix, unaniangusha, punguza jazba. Kwani Tanzania na Misri uhusiano umeanza juzi alivyoenda Mhe. Rais Samia? Misri hawana wawekezaji hapa? Mradi wa JNHP unajengwa na Arab contractors ya Misri. Kwa hiyo issue ya siku tatu inakufa, kwa sababu Wamisri wapo hapa nchini na labda hiyo kampuni ilifuatilia hiyo fursa kabla.
 
Hapo Sasa ndo umenena, Kama ni hivyo mwekezaji anakuja kwa mipango iliyoratibiwa zaman siyo safar ya Samia.
 
Mchagga gani mshamba hivi CCM akili zao wanazijua wenyewe, Mchagga wa wapi mahamba hivi
 
Acha zako bana, wewe hujui hata ku design mradi wa kuchimba choo.

Ujue tu kwamba tumepigwa.
 
Hapo Sasa ndo umenena, Kama ni hivyo mwekezaji anakuja kwa mipango iliyoratibiwa zaman siyo safar ya Samia.
Hoja yako naielewa kaka. Ndiyo nimeijibu na bado mkazo ktk ziara hii ya Rais Samia ndiyo hiyo neema imetimia. Kwamba fursa hii
Acha zako bana, wewe hujui hata ku design mradi wa kuchimba choo.

Ujue tu kwamba tumepigwa.
Umepigwa nini? Kuna Watanzania wa ajabu sana. Fedha bilioni 460 inaletwa nchini unakuja hapa unasema umepigwa! Umepigwa nini...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…