Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

WATU WENGI WANAPOMWANGALIA RAIS WETU WANAMCHUKULIA KAMA UHURU ATAMMEZA KATIKA MAUJANJA YA KIKENYA, THEY SHOULD FORGET THATS,MADAM IS BRIGHTLY AND CAPABLE ENOUGH TO KNOW BEYOND OF EVERY STEPS AHEADS.
 
Sioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya
Kama Taifa tumefaidikaje na uzalishaji wa raslimali hii mpaka sasa?
Kama ni kwa maslahi ya Taifa letu,wacha tuwe na roho mbaya.
Hujui ni kwa jinsi gani kenya wamefaidika na lasrimali za Tanzania toka tunaingia vitani na Eid amin,na wala hawakuwa upande wetu.
Watanzania wajinga kama wewe ndio walipelekea Tanzanite,M.t k/njaro, Olduvai gauge, Serengeti na brand nyingi zetu nyingi tu kutumika na wakenya kujifaidisha wao.
Ewe mtanzania,kuwa mzalendo, wacha ujinga.😎
 
Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?

Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao.

Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe.

Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!
Mleta mada ameandika kwa fikra za kimaskini zinazotokana na mwntality duni ya kibiashara.

Tukiwa na watu wenye fikra duni kibiashara kama mleta mada, kuna siku Kenya wakisema wanataka kununua pamba, watasema hapana, kwa sababu watatuzidi kutengeneza nguo. Wakisema wanataka kununua mbolea, watasema, hapana, watatuzidi kuzalisha mazao. Fikra za kimaskini kabisa!

Kuna watu ni negative, hawa kamwe huwa hawapati maendeleo maisha yao yote. Shindani kisayansi, siyo in such a primitive thinking.
 
Wewe mleta mada mtu wa ajabu sana, Yaani tumepata soko la gesi yetu Kenya wewe unasema tusiwauzie?

Unataka tuwauzie wazungu na wachina tu au vipi?

Ipo siku utasema hata Chakula tusiwauzie maana wakila watapata nguvu na kufanya kazi kutuzidi!
 
Urusi wanauza gesi nje kwa sababu wanayo ya ziada, kila mwananchi urusi na viwanda vyao wqnatumia gesi wakati huku sisi wenyewe hatutumii gesi sanasana imewekwa kwenye nyumba za wqfanyakazi wa TPDC
Mkuu hii wala sio mwanzo wa kuwauzia kenya gas,imekushtua tu sababu jana wameongelea kuhusu bomba,siku yake kaa morogoro kuanzia kimara pale uone tanker gas zenye plate number ya kenya zilivyokua nyingi,msibebeshe lawama Mama gesi inauzwa huko kenya toka kipindi cha jk na magu
 
Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.

1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.

a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.

b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.

c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa

d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.

2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.

Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.

3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)

4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0

Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Hiyo tutalajie tu, imetosha kusema, hiiiiii bangosha! Hebu vumilieni kwanza jamani, mbona wengine tulivumilia miaka 6?!! Sasa nyie miezi miwili tu mnavaibreiti hivyo?!!
 
Hakuna alienyimwa, hata Dangote kapewa mbona, 😂😂
Sasa unajua aliyetaka kumpa Dangote gesi ni nani na aliyemnyima ni nani?

Bomba lilishafikishwa mpaka Mita chache karibu na kiwandani. Rais wenu aliyefariki ndiye alikataa asipewe gesi bali pale pajengwe Substation uzalishwe umeme, yeye auziwe umeme na umeme mwingine utatumika kwenye viwanda vitakavyojengwa pale kwamaana palishatengwa kama Industrial park kwa Mtwara. Kwahiyo makosa ya mwingine asipewe Mama Samia, labda yeye atarekebisha, who knows!!

Aya nitajie kiwanda kingine kilichohitaji gesi kikanyimwa!!
 
Binafsi sijawahi kumuamini Mkenya yeyote hasa linapokuja suala la maslahi ya nchi, Mkenya pekee mwaniminifu ni yule tu ambaye tayari yupo kwenye JENEZA. Mtazamo wangu binafsi
 
Mwanamke huongozwa na mwanaume! Eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion, kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi.
Acha kudhalilisha wanawake kwa mawazo yako ya mfumo dume...Jikite kwenye mada na siyo jinsia za watu...
 
Kama Taifa tumefaidikaje na uzalishaji wa raslimali hii mpaka sasa?
Kama ni kwa maslahi ya Taifa letu,wacha tuwe na roho mbaya.
Hujui ni kwa jinsi gani kenya wamefaidika na lasrimali za Tanzania toka tunaingia vitani na Eid amin,na wala hawakuwa upande wetu.
Watanzania wajinga kama wewe ndio walipelekea Tanzanite,M.t k/njaro, Olduvai gauge, Serengeti na brand nyingi zetu nyingi tu kutumika na wakenya kujifaidisha wao.
Ewe mtanzania,kuwa mzalendo, wacha ujinga.[emoji41]
Uzalendo haimaanishi kuwa mjinga wa principles za biashara na uchumi. Hakuna nchi iliyopata maendeleo kwa mbinu za kijinga za kuyanyima mataifa mengine rasiliamli zinazopatikana nchini mwao.

Kwa fikra za kijinga kama hizi, inabidi tuwashauri Waarabu wasiuze mafuta kwa nchi za Ulaya na America maana watazidiwa na mataifa hayo kwa vile mafuta yanatumika viwandani.
 
Mada haina kichwa wala miguu, kwani unashindana kwa kuzuia vitu vyako sio ubora? Achini roho ya jiwe siko nanyi waoga wa maendeleo! Kwani ukiuza gas upati fedha! We si mchumi hivyo kaa kimya, tunafikiria gas iende Uganda unasemaje?
 
Magufuli na Kikwete nani aliua uchumi. Au ule uchumi wa madawa ya kulevya ndiyo mliona maendeleo. Mpende msipende hakuna raisi wa TZ ambaye aliupandiksha na kuukuza uchumi kama Magufuli. Mnaweza mkamchukia lakini alitutoa chini kabisa na kutufikisha uchumi wa kati. Hata Nyere hakuweza hilo. Leo hii ingekuwa bado awamu ya NNE hata mawaziri na viongozi wakuu wa serkali wangekuw wamekwisha kuwa MATEJA.
Bora uchumi wa madawa kuliko wa Ujambazi, wa kupora fedha za watu kwa mtutu wa bunduki
 
Wewe mleta mada mtu wa ajabu sana, Yaani tumepata soko la gesi yetu Kenya wewe unasema tusiwauzie?

Unataka tuwauzie wazungu na wachina tu au vipi?

Ipo siku utasema hata Chakula tusiwauzie maana wakila watapata nguvu na kufanya kazi kutuzidi!
Hii nchi, tuna vichwa duni ambavyo huwezi hata kudhania. Fikiria mtu mwenye fikra kama za mleta mada, anakuwa sehemu ya Serikali. Nadhani tuna tatizo kubwa linaloanzia kwenye uwezo wa kufikiri positively.
 
Kunawakati tunapaswa kujadili maswala ya kitaalaam kwa utulivu na weredi ,hadi nimetamani Jf ingelikuwa na kipengele cha mtu kuruhusiwa kujadili hoja kutokana na TAALUMA yake , hapa unakuta mtu kwakuwa tu anajua kusoma na kuandika anajikuta anajadili kilimo huku akiwa hata hajui utofauti wa aina za mbolea ,eneo la Uchumi ni pana Sana na siyo kila mbinu nilazima ianze chino ,zingine ukija kwenye kuwagawia wa NDANI unakuta tayari ushafanya mlipuko mkubwa na wenye tija .

Tanzania iko hapa ilipo kwa makosa mengi yakiwemo tunayojihubiria hapa.

Watu wenye fikra za aina wzeeka ndiyo huwa mnakuwaga wachawi tu [emoji12] , ukiona mtoto wa yuko smart kuliko wa kwako unaona the best option ni kumdedisha tu au umnyime baadhi ya mahitaji ambayo yqtamfanya asongembele zaidi kwakuhisi wakakwako watapoteza u ora nakudharilika which is not true badala ya kufurahia uwepo wake na huku ukiangalia namna nzuri ya kuutumia uwepo wake ili na wa wajamii yako wawe bora hata kumpita .

Hii tabia yakukumbatia tulivyonavyo haiajawahi kuleta matokeo chanya zaidi ya kutudumaza tu kifikra .

Kanuni ya Biashara inatutaka tuuze tulivyonavyo huku tukizielekeza faida kwenye vitu vitakavyotuzidishia faida maradufu .

Kwa wasiyojua sera yetu ya Uchumi haiwezi kutatuliwa kwa uwepo wa gas bali maboresho mazito ya sera yetu ya elimu (kutoka kwenye elimu ya kukarili kwenda kwenye elimu ya utambuzi (creming education to cognitive education) elimu itakayohakikisha haizalishi wategemezi kwa Taifa kama ilivyo sasa kundi la kuanzia darasa la saba kuwa mzigo tu kwa Taifa , wahitimu wa kidato cha nne kutokuwa na sifa siyo tu za kuajirika lakini hata tu wenyewe wakawa hawana uwezo wakujiajiri nje ya kuwa na sifa za nyongeza achilia mbali cheti cha muhitimu wa chuo kikuu kukosa thamani ya kutumika kama collateral [emoji12] itakayomuwezesha walau kukopesheka na kupata mtaji wa kuanzishia ile taaluma ambayo serikali imemuidhinishia ufaulu (refer to China).

Mama anaendelea kufanya vizuri sana hebu tujipe utulivu na tumpe muda .

Tusiishi kwa kukarili ,Dunia inakwenda kasi sana .
Tunahitaji hoja zenye afya kama hii! [emoji106][emoji106][emoji120]
 
Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.

1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.

a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.

b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.

c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa

d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.

2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.

Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.

3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)

4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0

Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
ulitaka tuuze wapi gas mzee, manake hata tusipowauzia sisi wao wanaweza kuuziwa na wengine. unataka gasi tuifanyie nini mzee. yaani unapata mteja kununua gas afu unasema unaogopa kumuuzia asije kukupita kiuchumi? akili au matope.
 
Andiko lako limejaa INFIRIORITY COMPLEX.Badala ushukuru angalau mama ameonyesha njia ya watu wajiamini na wathubutu nje ya mipaka wewe unakuja na ngonjera za udhaifu.huu ujinga wakujiendekeza kua wakenya wanaweza kupambana kuliko sisi ifike mahali uishe.hayo yote unayoyasema,unayasema kwasababu yapo sasa wewe badala uongee mambo yatakayotufanya tuamke na kutengeneza kizazi kitakachojiamini nakupambana wewe unawaza kujifungia ndani.Alafu tukishajifungia itatusaidia nini kama taifa.Hayo yote uliyotaja ata watanzania wanaweza kufanya ushindani na wakenya kinachokosekana ni kujiamini tu tatizo ambalo unataka uendelee kulilea badala yakulitafutia ufumbuzi.Hayo mawazo unayosema wakenya watatulalia na kutumia fursa ni kweli watazitumia kwasababu sisi tumelala usingizi wa pono tunasubiri kutafuniwa tumeze tu wakati mambo mengine yatupasa kuyapambania na kuweka taratibu nzuri zitakazotunufaisha sote.
 
Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.

1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya...
Kimeumana
 
Back
Top Bottom