Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Mwanamke huongozwa na mwanaume! Eti leo hi mwanamke anaongoza wanaume zaidi ya milion, kadili muda unavyozidi kwenda tutegemee kufeli zaidi.
Sasa kwann mlimuweka awe makamu wa Rais aise,niambieni nyie CCM mlikuwa na maana gani?
 
Aisee embu kunywa fanta orange
 
Unaandika vizungu viiingiii ushuzi mtupu!

Monopolistik sijui manini nini!

Uhuru Kenyatta ni mjanja wa mjini yule.

Kashampiga bao Bibi SASHA.
Shida yenu UVCCM elimu ndogo ni vizuri masuala ya kitaaluma muachie wenye taaluma zako mtu anakuja na concept za kiuchumi unajibu kwa mipasho.

Hivi ww una akili kuliko Kina Kitila Mkumbo? Tusipende kuleta ujuaji kama kitu huna taaluma nacho.

Btw ile ni MoU sio legally binding na ipo subjected to further negotiations and counter offers na sio close ended!! Kiufupi mpaka bomba lije kujengwa Rais atakuwa sio Samia wala Uhuru..... Same to bomba la Mafuta limesainiwa na JPM ila kutumika hta Samia atakua amemaliza Urais.

Hivi vitu ni process hauwezi kufanya mazungumzo leo kesho ukaanza jenga. Akili hizi ni za FB huko sio JF.
 
Swali la kwanza nakubali kweli kuwa sina draft ya hiyo alliance agreement, lakini history never lies, and time will tell. Anayofanya ni marudia ya history. Hakuna draft itakayosmea kuwa KQ itaisadia ATCL ipate fiada ilihali wao wenyewe kwa miaka zaidi ya 15 hawajahi kupata faida. Labda useme tu kuwa hakuna drafta hiyo ila hayo yalikuwa maongezi ya kufurahisha umma tu.

Sentensi zako za pili na tatu ni B/S tupu kwani unarudia nyimbo za tangu 1995; blah blah blah! shirika halipati faida tutafute mwekezaji kutoka nje atusadie ili shirika lianza kujiendesha kwa faida. Nani alikwambia kuwa KQ inapata faida? Watu kama wewe hamuoni faida za kuwa na shirkika la ndege mnaangalia financial statements tu. Africa nzima ni Ethipian tu inayopata faida, hao wengine wote including KQ wanaoperate kwa hasara kwa huwasemi bali ATCL ndiyo iwe Nongwa. KQ ilipata hasara ya zaidi ya $330 na hizo siyo kwa sababu sawa na za ATCL ambazo mitigable.

kama yuko serious kuliendeleza ATCL, ni lazima atafuta strategies za kuliendesha shirika hilo hapa hapa siyo nje. na tiba yake siyo ya lele mana na kubembelezana, ni usimamizi wa nguvu kwa waendesha shirika
 
Tujifunze kuishi vizuri na majirani. Dunia ni kijiji sasa. Ni vema kuimarisha diplomasia ya uchumi kuliko kutunishiana misuri. Tuunge mkono Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Uhuru Kenyatta kuongoza vema nchi zetu mbili.
Kuishi na majirani ni kitu kimoja, lakini usaiche nyumba yako mlango wazi wakati jirani yako anafunga mlango kwake. Sihi na majirani kwa busara ukijirinda maslahi yako, usiishi ukitegemea jirani yako ndiye awe mlizni wa msalahi yako
 
Tusiwe na roho za ubinafsi katika kufikiria kuhusu biashara na kujiona sisi ndiyo sisi kama mwendazake.

Kwani hilo bomba la gas kujengwa ndiyo kupeleka bure hiyo gas.?

Hofu ya nini kuhusu viwanda vya kenya? Kama hatuwezi kuwawezesha watu wetu acha wao wafanye.

Tuache kulalamika hizi nishati asilia ni kwa manufaa ya dunia yote.

Ni sawa leo nchi za uzalishaji wa mafuta petrol/dizel zione sisi tunafaidi kuliko wao.
 
Ulichoongea ni kweli watu Wana akili za kimaskin, kikubwa kuwe na win win situation
 
Mi naumia mno basi tu sina la kufanya
#ripmagufuli
 
Kwani strategic alliance ni necessarily kutafuta faida ama kupunguza operational costs? Mbona mandege makubwa huko ulimwenguni yanashirikiana kwenye kufanya safari na masuala mengine ya logistics? Kwanini unaona ku isolate ndio kutatusaidia wakati umetupelekea mabilion 60 ya hasara!!
Hapa pia unapotosha mkuu hizi tabia za JPM hazikufai kwa msomi kama wewe. Hiyo hasara ya KQ ni kubwa hivyo sababu pia Mtaji wao ni mkubwa sana kuliko ATCL. Maana huwezi pata hasara kubwa hivyo kama hauna mtaji au operating expenses kubwa. So unapofanya comparison ya hasara pia pima na level ya uwekezaji/Mtaji, na gharama za uendeshaji.
 
Jibu wewe uliifanyia nini? Au unafikiri yote tungetumia sisi bila kutafuta mas

Kwani ulisikia Samia katoka Kolomije? Naye ni wa mjini kuliko Kenyatta kwahiyo ngoma droo. Aliyekuwa wa shamba now anaongoza malaika huko nchi ipo kwa mtoto wa mjini sasa hivi.
Wazee wa ndio "mama" utawajua tu
Sasa kwann mlimuweka awe makamu wa Rais aise,niambieni nyie CCM mlikuwa na maana gani?
Alikuwa makamu wa rais na aliongozwa na mwanaume
 
Nonsense!

Chuki na ushamba vinakusumbua. Mwache mama aongoze nchi. Usimpangie.
 
Katika dunia ya sasa huwezi kutoboa kama hutafungua milango ya ushirikiano kiushindani. Ishu hapa nimasoko ya bidhaa na hapa Lazima tukubali.
Watanzania tukue sasa kimtazamo miaka 60 ya uhuru bado tuna uwoga wa kujichanganya na wenzetu hata kama wao wametutangulia?
 
Who the hell is Kitila Mkumbo? — To begin with.
Who are you? Una impact gani kwenye jamii wewe? at least mwenzio ni Prof. Kazalisha wasomi wanaolijenga taifa. Kazi yako kujifanya kukosoa tu ila nna uhakika ukipewa hata NGO hakuna jipya utakalofanya.
 
Sioni tatizo kwenye ujenzi wa bomba la gesi endapo serikali itamaliza mivutano iliyopo kati yake na makampuni ya LNG na gesi ikaanza kusafirishwa.
Kuhusu suala la viwanda bado gesi kwenda Kenya haizuii viwanda vyetu kutumia gesi na kuzalisha, Tuna gesi ya kutumia zaidi ya miaka hamsini bila kufanya drillling tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…