Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mtoto wa Jaramogi Mwigai umesomeka wa thiong'ooSioni sababu ya kuzua gesi isiuzwe eti kwa ajili ya kulinda viwanda hii roho mbaya.
In second you. Iwe kama umemeShida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao.
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe.
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!
Yaani tumechomewa ila tusijali kutotekeleza mambo hayana maslahi wala tija kwetu. Sidhani kama kumefanyika makubaliano yoyote yenye kutubana kisheria. Ni ku express nia tu.Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)
4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Hizi ni akili za mataga tu. Hujui hata dhana ya competitive advantage?! Sisi tutapata kuinua uchumi wetu kupitia mauzo ya gesi huko Kenya, wao watapata kuinua uchumi wao kupitia kupunguza gharama za kusindika bidhaa ya viwandani. Kila upande unapata - win-win position.Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)
4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Ni kwa sababu ni yetu halali,bure itapendeza zaidiMna uwezo wa kununua?,au mnataka mpewe kwa bei ya bure?
Nchi ina gesi ya kutosha. TPDC haina pesa za kuisambaza. Mauzo/export ya gesi huko Kenya inaweza kutuongezea pesa za uwekezaji kwa TPDC kuendeleza kusambaza gesi. Pengine nikushauri. Uchumi ni sayansi siyo hizia. Na hiyo ndio iliyokuwa tabia ya mwendazake.Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao.
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe.
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!
Muda ukifika utajua ni kipi kilitakiwa kisifunguliweKitu gani hakitakiwi funguka
Haijawahi kutokea!Wewe ulikuwa ndio "nani"??
Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)
4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Uliposema viwanda na gesi, nimekumbuka, Dangote alinyimwa gesi akaamua kutumia Makaa, wakamkatalia pia.
Bakhresa, akanyimwa gesi pale Mwandege.
Gesi ya serikali iliyobaki imesambazwa majumbani kwa staffs wa TPDC na Kinyerezi Tanesco.
Ngoja tuone viwanda vyetu hivi vya mikocheni(TPDC) na Kinyerezi vitakavyoshindana na vile vya urithi vya Kenya vitakavyozalisha kwa urahisi wa gesi yetu wenyewe.
Binafsi naona kama umewahi sanaaa hili la bomba gesi wamekubaliana kutafuta pesa zaa ujenzi wa ilo bomba naa bado hayo mazungumzo hayajaisha...Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)
4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
😂😂😂😂Shida sio kuuza nje..Tunauza nje kwa faida ipi je sisi wenyewe imetutosheleza kwanza?
Kama uwekejazi wa gas ulitokana na kodi za watanzania basi watanzania hao hao kwanza ndio wafaidike na kodi zao.
Tuuze gas baada ya sisi kuwa imetutosheleza kile kinachozidi (surplus)ndio kiuuzwe.
Viwanda vyetu wenyewe vinahitaji gas lakini gas hiyo hiyo hawapewi..inakuwaje unakwenda kumpa jirani yako!
sio vizuri kumusema mtu vibaya lakini mama anafeli pakubwa sana sitaki niwe mnafiki hii nchi mama itamushinda ni suara la muda tuuh hana maajabu yeyote ???Napenda kuandika kidogo tu kulingana na uwelewa wangu juu ya Ziara ya Mama nchi Kenya na mikataba mlio tiana sign.
1. Ujenzi wa bomba la gas kutoka Tanzania kwenda Mombasa kwa ajili ya matumizi ya viwanda nchini Kenya,hapa mama unefail pakubwa sana maana yake nikwamba bidhaa za Kenya zitakuwa zinazalishwa kwa gharama nafuu zaidi na kuteka soko la Africa Mashariki kuliko Tanzania. Tutarudi miaka ya nyuma tena kila kitu Made in Kenya.
a. Hii sera yetu ya viwanda itakufa maana hatuweza kushindana tena na product kutoka Kenya na vijana wetu watazidi kuwa wachuuzi wa bidhaa kutoka nje.
b. Kenya itatumia mwanya huu kuvutia wawekezaji kutoka nje kuwekeza Kenya kuliko kuja kuwekeza Tanzania.
c. Tunasafirisha gas kama kuna surplus ya viwanda vyetu na matumizi yetu kama Taifa.Viwanda vyetu bado vinahitaji nishati ya gas lakini bado upatikanaji wake umekuwa mgumu na kwa gharama kubwa
d. Kenyatta amecheza karata yake vizuri katika ujenzi wa gas kuliko Mama sijui washauri wake wamekwama wapi natarajia kuona Kenya ikinufaika zaidi katika utawala wa Mama kuliko kipindi chochote kile katika historia ya Tanzania na Kenya.
2. Ushirikiano wa anga..hapa Kenyatta anatafuta namna ya kuisaidia Kenya airways..inakwenda ku dominate soko na anga tena kama huko nyuma.hapa kumbuka faidia kubwa ya Kenya Airways inatokana na safari za Tanzania. Dsm, Zanzibar na Kilimanjaro.
Hapa tutalajie Air Tanzania ikifa kifo cha mende kutokana kutoweza kumudu ushindani na Kenya airways. Otherwise kufanyike changes za haraka katika Management ya Air Tanzania.
3. Soko la utalii hapa Kenyatta amecheza vizuri kama pele.
Tutalajie kuona vijana wetu wakiwa watazamaji kama kipindi cha nyuma na soko la utalii nikirudi mikononi mwa wakenya tena.(hapa kwenye utalii wenye fan zao wanaweza kudadavua kwanini Kenyatta amecheza kama Pela)
4. Biashara sioni jipya ni yale yale, hapa Mama ametoka 0-0
Note: Mama washuri wake wamshauri vizuri kabla yakwenda kufanya mikataba kwa niaba ya Watanganyika. Otherwise akubali kutuachia Tanganyika yetu!
Kwani strategic alliance ni necessarily kutafuta faida ama kupunguza operational costs? Mbona mandege makubwa huko ulimwenguni yanashirikiana kwenye kufanya safari na masuala mengine ya logistics? Kwanini unaona ku isolate ndio kutatusaidia wakati umetupelekea mabilion 60 ya hasara!!
Hapa pia unapotosha mkuu hizi tabia za JPM hazikufai kwa msomi kama wewe. Hiyo hasara ya KQ ni kubwa hivyo sababu pia Mtaji wao ni mkubwa sana kuliko ATCL. Maana huwezi pata hasara kubwa hivyo kama hauna mtaji au operating expenses kubwa. So unapofanya comparison ya hasara pia pima na level ya uwekezaji/Mtaji, na gharama za uendeshaji.
He is very old mindedUkiwa hivi hata nyumbani utaishia style moja ya kifo cha mende, kisa mwanamke hatakiwa kuwa juu. Change your attitude mkuu!!
Sema amefeli wapi na nini? Nyie mabaki ya magu bado hamtaki kukubali tu.sio vizuri kumusema mtu vibaya lakini mama anafeli pakubwa sana sitaki niwe mnafiki hii nchi mama itamushinda ni suara la muda tuuh hana maajabu yeyote ???