Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022

Atakuwa ankwenda mapumziko tu ..... I hope hajajenga Hekalu kijijini kwake kama mtangulizi wake.
Kwa hiyo unategemea kijijini kwake nyumba yake itakua ya udongo? Wachagga tu vijijini kwao wanajenga mahekalu, ndio ije kuwa kwa raisi na mtu aliyekaa kwenye uwaziri miaka nenda rudi
 
Rais mchapa kazi anayewaza kuwatumikia watanzania muda wote,Anawaza kuwainua kiuchumi watanzania, Anawaza kugusa maisha ya watu na kuwapa unafuu wa kimaisha wananchi, Mama Samia Suluhu Hassan Ni zawadi kwetu watanzania
Kelele kila kona,,wewe unakuja kusifia hapa,,mimi ni kijani kama wewe ila kwa mwendo huu ,,upinzani ukipewa nafasi kidogo ya kufanya kazi kiuhuru,,2025 Ccm tutatawala kwa tabu sana,

Tuambiane ukweli mimi sina shaka na nafasi ya uraisi naamini tutashinda ila kuna hatari ya kupoteza viti vingi sana vya ubunge kwa ujinga huu wa kupiga mapambio,,
Ni bora nchi ikajengwa taratibu kuliko kutaka maendeleo ya haraka huku wananchi wanapigia kelele mambo kadhaa kama vile tozo.

Tusitafute sifa kwa kuwaumiza wananchi huwezi kuja hapa kupiga mapambio ooh tunatoa elimu bure oooh sijui tunajenga zahanati hivyo vyote vilikuwa vinafanyika bila tozo.2025 tusimamie haki ndipo mtakuja kuyakumbuka haya mapambio ya kijinga
 
Pole na samahani kwa kukukera, Lakini haina namna nayoweza kukwepa kumpongeza mh Rais wetu maana kazi anazofanya Ni kubwa sana
kikubwa ni nini ambacho kama taifa tupiga hatua zaidi za vilio vya tozo
 
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni amesema kuwa kupitia mfuko wa tozo, Wizara ya hiyo inajipanga kujenga vituo vya polisi na makazi ya askari 51780 nchi nzima.

Mpango wa awali wa wizara hiyo ilikuwa ni kukamilisha mchakato huu kwenye kipindi cha miaka 10 lakini kutokana na uwepo wa vyanzo vipya vya mapato (tozo ikiwemo), sasa wataukamilisha ndani ya miaka 3 ya mwanzo ya uongozi wa awamu wa sita.

Aidha, Mhe. Masauni amesema mapendekezo ya Rais aliyoyatoa moshi kuhusu kutatua changamoto ya matumizi mabaya ya fedha kwenye idara ya jeshi la polisi, wao kama wizara wameanza kuchukua hatua ikoiwemo kuhamisha fedha za mfuko wa "kufa na kuzikana" kwa kuzipeleka kwenye Shirika la bima ya Taifa ili walipwe kutoka huko.

Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa kituo cha Polisi Mzimkazi, Jimbo la Makunduchi, Kusini Unguja ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni Rasmi.
Huko kizimkaz nasikia leo kuna sherehe ya kijadi naambiwa kutakuwa na coaster za kutosha kubeba raia kutoka mjini kwenda huko shamba yote kwa udhamini wa Hangaya
 
kikubwa ni nini ambacho kama taifa tupiga hatua zaidi za vilio vya tozo
Nazani umesikia Jana mafanikio makubwa na miradi mbalimbali ilivyofanyika kutokana na tozo, Vituo vya Afya 234 vimejengwa nchini, hapo bado sijazungumzia upande wa Elimu, maji,umeme na Miundombinu, fuatilia ufafanuzi wa Jana wa waheshimiwa mawaziri wetu
 
sema mnajitoaga akili kila awamu madarasa vituo vya afya hv hivyo vituo vinajengwa na kubomolewa haiwezekani miaka yote ni ujenzi wa mambo hayo kila kampeni za ccm , tuliaminishwa hivohivo awamu ya tano kuna kuna maelfu ya viwanda lakini sahiz havipo
 
nchi inakopa inatoza tozo kwa miradi hiyo ya madarasa , kama ni kweli serikali ipo kwa ajili ya wananchi toeni tozo, pungezeni mifumuko ya vitu
 
nchi inakopa inatoza tozo kwa miradi hiyo ya madarasa , kama ni kweli serikali ipo kwa ajili ya wananchi toeni tozo, pungezeni mifumuko ya vitum

nchi inakopa inatoza tozo kwa miradi hiyo ya madarasa , kama ni kweli serikali ipo kwa ajili ya wananchi toeni tozo, pungezeni mifumuko ya vitu
Mfumuko wa Bei Ni wa kidunia lakini hata hivyo mh Rais wetu Amechukua hatua kwa kutoa Ruzuku ili kuleta ahueni, Katika mafuta mh Rais wetu anatoa takribani billioni Mia moja kila mwezi lakini pia katika kilimo ametoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini, Hali iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea kwa Sasa, mama ametufikia mpaka tuliko
 
sema mnajitoaga akili kila awamu madarasa vituo vya afya hv hivyo vituo vinajengwa na kubomolewa haiwezekani miaka yote ni ujenzi wa mambo hayo kila kampeni za ccm , tuliaminishwa hivohivo awamu ya tano kuna kuna maelfu ya viwanda lakini sahiz havipo
Tambua kuwa idadi ya watu unaongezeka na watanzania tunaongezeka kila siku kila wiki kila mwezi na kila mwaka, Hivyo Mahitaji nayo Ni lazima yaongezeke kila mwaka, Hivyo ujenzi wa Taifa letu Ni endelevu daima, Mama Ametufikia tulipo
 
Back
Top Bottom