Ziara ya Rais Samia Ufaransa: Tanzania yasaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178

Zanzibar ni kupe/au kiroboto

Anaye ifyonza Tanganyika
 
Huu ni unyonge wa kifikra (inferiority complex).Nani kakwambia mlipaji wa madeni ya Muungano ni Tanganyika?. Halafu umeiandika kwa herufi kubwa ukiwa na maana iliyojificha.
 
Mkuu Ningependa kukuhakikishia kuwa Kukopa haswa nchi kama Ufaransa ni utumwa. Afadhali ningesikia mkopo wa masharti nafuu umetoka nchi za Scandinavia ambazo hazijashiriki kwenye migogoro yoyote Afrika wala Ukoloni barani Afrika. Watu waangalie nchi zoote alizowahi kukalia Mfaransa ni migogoro mitupu tena inayochochewa waziwazi.
Na kingine hizo nchi zenye kuongea Kifaransa, ukiacha Rwanda, viongozi huwa wana ripoti directly kwa Raisi wa Ufaransa. Hata wakialikwa mkutanoni AU, huruka kwenda kwanza Paris, ndiyo wa connect kuelekea Addis. Sitashangaa ..... ila wengi tutachefukwa.
 
178,000,000 £ ni sawa na 467,509,776,760.00 TSH. Hizi kwa serikali fisadi ninkuzigawa na kuzitafuna tu, mwisho hata hiyo BRT sijui ni phase gani haitakamilika kwa wakati.
kwani umeambiwa ni pound? acha kudemka
 
Nimetokea kuuchukia Muungano toka Samia ameingia madarakani naanza kuwaelewa Mwamsho. Na hapa nimetokea kuangalia watu waliochagulia Uhamiaji ni Zanzibar, Zanzibar, Zanzibar.
 
Hivi hayo masharti nafuu ni yapi?

Sio kila siku mnatuambia tu masharti nafuu masharti nafuu, tuambieni sisi tunawapa nini mpaka wao watulegezee?
Kwani wewe unavyo kopa huko vikoba wewe huwa unawapa nini zaid ya riba? Au maana ya mkopo huijuu?
 
Naona mwinyi na uwalaza wake pale mchamba wima yupo na tabasamu zito anasubiri mgao..ambao hata mia halipi..uchumi wa bluu unajengwa na watanganyika..huku wanywa urojo wakila pweza forodhani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Vikoba muhimu kama wanawake wameweza kuanzisha vibiashara vyao kwa vikoba basi hata nchi wanaweza kuijenga kwa hivyo hivyo vikoba.
 
Huu ni unyonge wa kifikra (inferiority complex).Nani kakwambia mlipaji wa madeni ya Muungano ni Tanganyika?. Halafu umeiandika kwa herufi kubwa ukiwa na maana iliyojificha.
Zenji iliyoshindwa kulipa deni la tanesko la bilioni 10 hadi magu akawasamehe deni..je itaweza kulipa madeni makubwa hayo ya mabilioni ya pesa inayopewa kama mgao..kupitia mikopo ya jina la JMT.

Kubali ukatae zenji ni kupe tu...hawana faida katika muungano huu..kisayansi tunawaita parasite tena obligate.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi hayo masharti nafuu ni yapi?

Sio kila siku mnatuambia tu masharti nafuu masharti nafuu, tuambieni sisi tunawapa nini mpaka wao watulegezee?
Mkuu kama tulivyo harifiwa, mwanza kwamba vigezo vya kukopa ni ...kuwa na
Idadi ya watu tu kuwa wengi....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Na thamani za Resources tulizo nazo.. nchi hii ni nyepesi sana kuiongoza..

Anyway tuombe mikopo izo zielekezwe sehemu usika..
 

 
Masahihisho Madogo: Rwanda , Burundi , DRC ilikuwa chini ya mfalme wa Belgium .

Lakini upo sahihi kabisa ufaransa imenyonya sana makoloni yake ya zamani mpaka leo hii Bado inaendelea kunyonya .
Kwa Kifupi ufaransa bado tegemezi kwa makoloni yake .
Uingereza imeshaacha tangu miaka mingi kutegemea makoloni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…