pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Well done mama,
Lete hela tufanye maendeleo,
Wasiotaka wahame
Lete hela tufanye maendeleo,
Wasiotaka wahame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar ni kupe/au kirobotoEuro mil 178 za Barabara ya mwendokasi,
Zikifika bongo hakuna cha Barabara ni mgao tu!
ZANZIBAR yenye watu milioni2 inapata mgao wa Euro mil 78!
TANGANYIKA yenye zaidi watu miloni 60 inapata mgao wa Euro mil 100!
Mlipaji; TANGANYIKA!
Hutaki; HAMA NCHI!!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Bi. Mikopo kama sijakoseaLile jina linamfaa
Huu ni unyonge wa kifikra (inferiority complex).Nani kakwambia mlipaji wa madeni ya Muungano ni Tanganyika?. Halafu umeiandika kwa herufi kubwa ukiwa na maana iliyojificha.Euro mil 178 za Barabara ya mwendokasi,
Zikifika bongo hakuna cha Barabara ni mgao tu!
ZANZIBAR yenye watu milioni2 inapata mgao wa Euro mil 78!
TANGANYIKA yenye zaidi watu miloni 60 inapata mgao wa Euro mil 100!
Mlipaji; TANGANYIKA!
Hutaki; HAMA NCHI!!
Mkuu Ningependa kukuhakikishia kuwa Kukopa haswa nchi kama Ufaransa ni utumwa. Afadhali ningesikia mkopo wa masharti nafuu umetoka nchi za Scandinavia ambazo hazijashiriki kwenye migogoro yoyote Afrika wala Ukoloni barani Afrika. Watu waangalie nchi zoote alizowahi kukalia Mfaransa ni migogoro mitupu tena inayochochewa waziwazi.Kukopa sio mafanikio wala deal anyway. Wazungu wamejaliwa kuthink beyond their noses. Huo tunaouita unafuu wanajua vema namna ya kuu compensate.
Hii kufungwa safari kwenda Kukopa kila saa Ni dalili ya viongozi wetu kukosa mbinu mbadala za kushawishi na kuvutia uwekezaji Tanzania.
Serikali haifanyi biashara, Ni hatari Kukopa ili upeleke kwenye ugavi. Tukitumia style ya administration ya kutawala Zanzibar tukaiapply kwenye Serikali Pana ya Muungano tutafeli. Zanzibar Raisi anaweza akaamua akiamka asubuhi aagize wazenj wote wanywe chai na ikawezekana.
Huyu Mama mafanikio yake yapo kwenye kukopa. Mikopo yake atakayoiacha na aliyoiacha mwendazake itavunja rekodi ya miaka 60 ya Uhuru.
Sina hakika Kama Kukopa Ni Mafanikio au Utumwa.
ww unataka mkataba uje hapa jf inahusu nini, elewa tu masharti nafuu mama anaupiga sanaMbona hawayataji hayo masharti nafuu!!
kwani umeambiwa ni pound? acha kudemka178,000,000 £ ni sawa na 467,509,776,760.00 TSH. Hizi kwa serikali fisadi ninkuzigawa na kuzitafuna tu, mwisho hata hiyo BRT sijui ni phase gani haitakamilika kwa wakati.
Nimetokea kuuchukia Muungano toka Samia ameingia madarakani naanza kuwaelewa Mwamsho. Na hapa nimetokea kuangalia watu waliochagulia Uhamiaji ni Zanzibar, Zanzibar, Zanzibar.Euro mil 178 za Barabara ya mwendokasi,
Zikifika bongo hakuna cha Barabara ni mgao tu!
ZANZIBAR yenye watu milioni2 inapata mgao wa Euro mil 78!
TANGANYIKA yenye zaidi watu miloni 60 inapata mgao wa Euro mil 100!
Mlipaji; TANGANYIKA!
Hutaki; HAMA NCHI!!
Kwani wewe unavyo kopa huko vikoba wewe huwa unawapa nini zaid ya riba? Au maana ya mkopo huijuu?Hivi hayo masharti nafuu ni yapi?
Sio kila siku mnatuambia tu masharti nafuu masharti nafuu, tuambieni sisi tunawapa nini mpaka wao watulegezee?
Naona mwinyi na uwalaza wake pale mchamba wima yupo na tabasamu zito anasubiri mgao..ambao hata mia halipi..uchumi wa bluu unajengwa na watanganyika..huku wanywa urojo wakila pweza forodhani.Euro mil 178 za Barabara ya mwendokasi,
Zikifika bongo hakuna cha Barabara ni mgao tu!
ZANZIBAR yenye watu milioni2 inapata mgao wa Euro mil 78!
TANGANYIKA yenye zaidi watu miloni 60 inapata mgao wa Euro mil 100!
Mlipaji; TANGANYIKA!
Hutaki; HAMA NCHI!!
Zenji iliyoshindwa kulipa deni la tanesko la bilioni 10 hadi magu akawasamehe deni..je itaweza kulipa madeni makubwa hayo ya mabilioni ya pesa inayopewa kama mgao..kupitia mikopo ya jina la JMT.Huu ni unyonge wa kifikra (inferiority complex).Nani kakwambia mlipaji wa madeni ya Muungano ni Tanganyika?. Halafu umeiandika kwa herufi kubwa ukiwa na maana iliyojificha.
Mkuu kama tulivyo harifiwa, mwanza kwamba vigezo vya kukopa ni ...kuwa naHivi hayo masharti nafuu ni yapi?
Sio kila siku mnatuambia tu masharti nafuu masharti nafuu, tuambieni sisi tunawapa nini mpaka wao watulegezee?
Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka
Vilevile, Tanzania na Ufaransa zimesaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 80 kuimarisha Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Nchi hizo pia zimesaini tamko la dhamira ya kushirikiana katika Uchumi wa Buluu na Usalama wa Bahari
View attachment 2116841
Masahihisho Madogo: Rwanda , Burundi , DRC ilikuwa chini ya mfalme wa Belgium .Mkuu Ningependa kukuhakikishia kuwa Kukopa haswa nchi kama Ufaransa ni utumwa. Afadhali ningesikia mkopo wa masharti nafuu umetoka nchi za Scandinavia ambazo hazijashiriki kwenye migogoro yoyote Afrika wala Ukoloni barani Afrika. Watu waangalie nchi zoote alizowahi kukalia Mfaransa ni migogoro mitupu tena inayochochewa waziwazi.
Na kingine hizo nchi zenye kuongea Kifaransa, ukiacha Rwanda, viongozi huwa wana ripoti directly kwa Raisi wa Ufaransa. Hata wakialikwa mkutanoni AU, huruka kwenda kwanza Paris, ndiyo wa connect kuelekea Addis. Sitashangaa ..... ila wengi tutachefukwa.