Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Subiri kidogo mtaanza kusemana kila mmoja kwa jukumu lake.Walipewa majukumu gani na Mimi nafanya jukumu lipi kwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri kidogo mtaanza kusemana kila mmoja kwa jukumu lake.Walipewa majukumu gani na Mimi nafanya jukumu lipi kwani?
nikijithibitishia mwenyewe inatosha. Haya mambo sio ya kundi, ni ya mmoja mmojaHuyo Mungu naye pia hujathibitisha kuwa yupo.
Huna hoja 🚮🚮Subiri kidogo mtaanza kusemana kila mmoja kwa jukumu lake.
nikijithibitishia mwenyewe inatosha. Haya mambo sio ya kundi, ni ya mmoja mmoja
Ni kweli mambo ya imani si ya kundi, ni ya mmoja mmoja.
Lakini.
Ukishayaongelea hapa umeshayafanya ya kundi, hii ni public forum, una wajibu wa kuthibitisha mambo unayoandika hapa.
Kama unataka kuyafanya yako mwenyewe, usiyaandike hapa JF.
Hujathibitisha hewa ninayoivuta ni ya Mungu.wapo wengi wanaoelewa. kama wewe huyaelewi, kaa kwa kutulia.
ni upumbavu mkubwa sana kusema hakuna Mungu wakati huohuo unaivuta hewa yake.
Basi mnayo wewe naakina Tlaatlaah,Chiembe,Luca na wengine waliowasusia ulozi wenu kitamboHuna hoja 🚮🚮
haya sio ya Mungu ni ya kwako.Hujathibitisha hewa ninayoivuta ni ya Mungu.
This logical fallacy is called non sequitur.
Hujathibitisha huyo Mungu yupo.haya sio ya Mungu ni ya kwako.
wewe umethibitisha kwamba hayupo?Hujathibitisha huyo Mungu yupo.
HUYO JAMAA ANAJIFANYA HAAMINI HAYO MAMBO WALA UWEPO WAKE!Uchawi ni nini?
thibitisha kama TRAORE ni mchawi!Traore mwenyewe mchawi tu.
Uchawi haupo.. according to kiranga. Imekuwaje leoKwa nini kuuona kuwe muhimu?
Uchawi ni imani. Imani haionekani, ni dhana ya kimantiki.
Huyu dogo ana umri gani? Wengine hadi tunazeeka tulifanikiwa kuondoa serikali ya wanafunzi tuu UD.View attachment 3212449
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.
Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
DuuuhTraore mwenyewe mchawi tu.
Anayesema yupo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha kuwa yupo.wewe umethibitisha kwamba hayupo?