Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

nikijithibitishia mwenyewe inatosha. Haya mambo sio ya kundi, ni ya mmoja mmoja

Ni kweli mambo ya imani si ya kundi, ni ya mmoja mmoja.

Lakini.

Ukishayaongelea hapa umeshayafanya ya kundi, hii ni public forum, una wajibu wa kuthibitisha mambo unayoandika hapa.

Kama unataka kuyafanya yako mwenyewe, usiyaandike hapa JF.
 
wapo wengi wanaoelewa. kama wewe huyaelewi, kaa kwa kutulia.

ni upumbavu mkubwa sana kusema hakuna Mungu wakati huohuo unaivuta hewa yake.
 
wapo wengi wanaoelewa. kama wewe huyaelewi, kaa kwa kutulia.

ni upumbavu mkubwa sana kusema hakuna Mungu wakati huohuo unaivuta hewa yake.
Hujathibitisha hewa ninayoivuta ni ya Mungu.

This logical fallacy is called non sequitur.
 
Huyu mwamba anakuja Tz? Dah! Aisee!! Nitafanya Kila linalowezekana nimshike mkono. Ole wenu vyombo vya usalama mnizuie
 
Karibu ibrahim traore tanzania,nchi tulivu na amani tele,najua umekuja kwa ajiri ya kujifunza,wewe bado ni mchanga katika masuala ya kiutawala,so umefanya jambo jema kuja kujifunza tanzania yenye amani. Najua baada ya hapa utaenda kuwaambia,au utakuwa umejifunza maana halisi ya kutafta amani na utulivu wa nchi,najua pia mh. General traore,umekuja kutafta kimbilio mana unajua kupinduliwa ni kugusa tu. Karibu sana mkuu. Ila usichukue baadhi ya vitu kama kubinafsisha mbuga za wanyama,bandari nk.
 
View attachment 3212449

Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.

Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
Huyu dogo ana umri gani? Wengine hadi tunazeeka tulifanikiwa kuondoa serikali ya wanafunzi tuu UD.
 
wewe umethibitisha kwamba hayupo?
Anayesema yupo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha kuwa yupo.

Polisi akija kwako na kusema kwako kuna madawa ya kukevya, yeye anayesema kuna madawa ya kulevya ndiye anayetakiwa kuthibitisha yapo, hatakiwi kukuambia wewe unayesema hayapo uthibitishe hayapo.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom