Ziara ya rais Trump pamoja kundi lake na hapo hapo Elon musk na mtoto wake.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani.

Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza.

Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia tuliopo hapa ndio tulitakiwa kuwa serikalini na taasisi zote kuona maono ila sio walio kuwepo kupitia CCM.

Katika nchi zilizoendelea cha kwanza serikali ni kumtetea mlipa kodi wako yoyote na ambaye anaweza kufikia serikali kimapato.

Kwa nchi yetu sijui kama inamchango kwa haya,mfano kipindi cha miaka 90 utawala wa mkapa serikali ishawahi kumtungia kesi ya ngano feki bhakresa sababu alikuwa muunga mkono wa CUF.

Kipindi cha JPM kitendo cha kufikia mpaka MO anatekwa sijui sababu.

Wapo matajiri wengi wengi na wenye roho ya serikali na wazawa wa nchi hii lakini thamani yoyote kama inavyofanyika kwa nchi nyengine.

Leo raisi wa nchi yetu ni rahisi kuongozana na kundi la wasanii nchi za watu.

Mambo ya kitaifa kama uchumi na waelewa ndio wanatakiwa kuongozana na raisi .Sasa unaongoza na wasanii kwani msanii anajua wakulima wa ngano au bidhaa na thamani za pesa aka Forex.

Ziara za maraisi mfano kama trump anajua watu wake ndio wanashikilia uchumi na yeye kupata jeuri.



Tuje upande Elon musk jinsi Baba anamjenga mtoto wake kuwa exposure kuhusu utawala,ulimwengu na kujuwana na watu.

Huyu mtoto kuwa tajiri zaidi ya babake huko mbele kuna wezekana .Ukisikia samaki mkunje angali mbichi.

Sio sisi huku baba au mama kapata madaraka basi toto linawekwa tu ndio mazao tuliyopo nayo.

Leo tumeona kwa watoto wa mugabe wapo wapi ?.Na wa viongozi wengine.

Hivi hii afrika kuna sehemu tulikosea.
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›Nchi ya wagagagigikoko kazi ni kuteka,kutesa,kubana pumbuz/visimi kwa plaizi,kuchukua video chafu ili kutisha watekwaji,kufira,kubaka,kuweka vizuizini miaka kadhaa na ikibidi kuua kabisa.Nchi ya wapumbavu hadi keshokutwa asubuhi.Viongozi wapumbavu mwili mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…