Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

kama haina faida kwa nini unaifuatilia? si ungewaachia CDM ya yeye wenyewe ili izidi kuwapa hasara.
 
Hivi mtu ambaye mlimshambulia kwa risasi zaidi ya kumi na tano mnamtafuta tena Serikali na chama cha mapinduzi hakuna mtu wa kujibu hoja za Tundu Lissu sasa naona mna hamu naye tena aisee jipangeni tu kujibu hoja hakuna namna mlitaka kukwepa hoja kwa risasi maana kwenye jukwaa la siasa mlimshindwa sasa haiwezekani na hayuko mbali ni hapo tu Ulaya anajipanga kuwakabili wezi na wanyanganyi wa mali za umma.
 
Nyie mlitaka kumuua kwa kumshambulia kwa risasi zaidi ya kumi na tano bado anaendelea na matibabu yake au mnataka arudi ili mumshambulie tena.
 
Ulikuwa unataka aje alale na mkeo?
 
Uko sahihi,ingwawa mapovu ya humu ni matokeo ya ujinga wa wafuasi wa upinzani.
Nyie wafuasi wa ccm mataahira kabisa, mumeshindwa kujibu hoja za Bashiru mnakuja kuhoji mambo ya Chadema yanawahusu nini? pumbavu kabisa
 
Mkuu ya nini yote hayo kuandika? Si ufanye kwa vitendo tu? Chagua CCM
 
Ulitaka iwe na Faida kwa nchi?kwani wanakusanya kodi wao? Acha upimbi
 
Ni ujinga kuhamsishwa vurugu na kiumbe wa uraia wa nchi mbili!

Kwa sasa ninamdharau kupita kawaida huyu mpayukaji!
 
Hii hali ndio mnaenda kukumbana nayo watu wajinga wajinga
Your browser is not able to display this video.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Lissu zunguka Ulaya yote, ukimaliza nenda na Amerika tafuta ukitafitacho (I don't care unachokitafuta ni kwa faida ya nani), lakini, ikifika 2025 rudi nyumbani ugombee Urais, naahidi kura yangu utaipata.

Mara elfu kura yangu iende kwa CHADEMA kuliko kwa Bibi kizee wa Kizanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…