Waziri wa mambo ya nje wa china Wang Yi amewasili Tanzania kwa ziara ya siku Moja, ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo juu ya mpango wa maendeleo ya viwanda kati ya Tanzania na China.
Huku viwanda takriban 200 vikitarajiwa kujengwa kufikia mwaka 2020.
Munira Hussein amezungumza na Afisa habari wa wizara ya mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga juu ya ziara hiyo.
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi azuru Tanzania - BBC Swahili
Duuu sio mchezo hii haiijawahiii kutokea popote pale ndani ya uumbaji
Ndugu tulia moto ukuingie vizuri. Mbona papara hivyo. Kitu kikiingia huwa taratibu hatimaye moto.Hongera kama itatendeka japo Waswahili ni wale wale.
Inaonekana Tanzania inaenda kuwa taifa lenye viwanda vingi East Africa and Central baada ya miaka 3, bandari ya Bagamoyo nayo yatajwa.
Hongera kama itatendeka japo Waswahili ni wale wale.
Hii Bagamoyo why lie ni kama Guinness lager.... 1769 was a very good yearNafikiri nayo Bagamoyo itahusika na mamia haya ya viwanda