Ziara ya waziri wa China East Africa yaipa Tanzania viwanda 200

kinya09012017.jpg
Inauma Ehee??? Pole sana.
 
Udugu kati ya nchi hizo mbili na wa muda murefu sana. China iliweza kuingia Umoja wa Mataifa na baadae kubwa na kura ya Veto kutikana na juhudi kubwa zilizofanywa Salim Ahmed Salim alipokua UN kwa kadri ya maagizo ya J K Nyerere. Ndio maana China hawatosahau historia hiyo.

Mojawapo wa sababu za Watanzania kuchelewa kuamuka hadi leo ni hili la kutegemea mambo ya undugu kwa kila kitu. Dunia ya sasa haina cha undugu wala nini ila maslahi. Mchangamkie fursa kwa bidii na kujituma, hayo mambo ya undugu myaache vijijini, iwaingie kwamba mjini kila mtu mchakarikaji.

Mchina hana cha undugu wala nini, yeye hupiga mahesabu ya mbali sasa wewe ukikenua meno eti unategemea atakuja na hayo ya undugu, utaliwa hadi ukome. Cha msingi, changamkia fursa na kuwa makini kwa kila hatua.
 
Inaonekana Tanzania inaenda kuwa taifa lenye viwanda vingi East Africa and Central baada ya miaka 3, bandari ya Bagamoyo nayo yatajwa.
Napenda hiyo research yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
pongezeni, ni vizuri tujuendeleze sote kwa pamoja kama EAC .

lakini on the other hand, leteni fine print ya details mujue ni nini hasa na ni vipi watakavyo wekeza.........
vile hio habari imeandikwa inakaa kama vile wajapani wanataka kufanya pale mombasa ama vile wachina wanapanga kufanya kule naivasha...... wanatafuta mahala pamoja wanaweka SEZ alafu wanaita kampuni zao zote za kila aina kujenga proccesing plant hapo ndani.........

tayari zile EPZ ambazo ziko kenya ziko na campuni 130 ambazo nyingi zao, wachina wamesaidia kuzijenga

Industry and Trade cabinet Secretary Adan Mohammed, who presided over the groundbreaking, said the investment is a bold step by the Chinese, adding that they would enjoy full benefits of the EPZs with a higher return on investments. EPZA CEO Fanuel Kidenda said the Sh20 billion investment was a major boost to the economy and the EPZs, which so far have investments worth $730 million. According to EPZA, 130 companies are currently operating in 66 EPZs across the country and the Sino Africa industrial park would attract more investments.
Ms Tao said the park would provide a one-stop shop for business services such as exhibitions, offices, warehouses as well as public e-commerce office services. In the first phase, the park will launch industries in medical, chemical, cosmetics, foodstuff, machinery, building materials, agricultural products, office stationery, paper, textile, auto parts, shoes and hats, furniture and household appliances
Chinese firms to set up Sh20 billion industrial park in Kenya – Business Today News

ile SEZ ikijengwa kule zaivasha hizo campuni za kichina zitajazNa sana
 
Tunawakalibisha kwa sana kwa maendeleo ila na sisi tuamke tuchangamkie fursa usifikil mchina atagawa bure
 
Viwanda vya tanzania vipo kwenye vyombo vya habari ni kama soka la tanzania utaishia kusoma kwenye magazeti tu. Tujipe moyo
 
fikra mgando zipo ccm miaka 50+ hamna viwanda na vilibokuwepo wameua na sasa wanakuja na porojo za viwanda. labda viwanda vya kukaanga karanga.
mm cyo ccm nmekupatu ushauli achakuwa nafrikla mgando kuanza mwanzo cyo kosa
 
pongezeni, ni vizuri tujuendeleze sote kwa pamoja kama EAC .

lakini on the other hand, leteni fine print ya details mujue ni nini hasa na ni vipi watakavyo wekeza.........
vile hio habari imeandikwa inakaa kama vile wajapani wanataka kufanya pale mombasa ama vile wachina wanapanga kufanya kule naivasha...... wanatafuta mahala pamoja wanaweka SEZ alafu wanaita kampuni zao zote za kila aina kujenga proccesing plant hapo ndani.........

tayari zile EPZ ambazo ziko kenya ziko na campuni 130 ambazo nyingi zao, wachina wamesaidia kuzijenga

Industry and Trade cabinet Secretary Adan Mohammed, who presided over the groundbreaking, said the investment is a bold step by the Chinese, adding that they would enjoy full benefits of the EPZs with a higher return on investments. EPZA CEO Fanuel Kidenda said the Sh20 billion investment was a major boost to the economy and the EPZs, which so far have investments worth $730 million. According to EPZA, 130 companies are currently operating in 66 EPZs across the country and the Sino Africa industrial park would attract more investments.
Ms Tao said the park would provide a one-stop shop for business services such as exhibitions, offices, warehouses as well as public e-commerce office services. In the first phase, the park will launch industries in medical, chemical, cosmetics, foodstuff, machinery, building materials, agricultural products, office stationery, paper, textile, auto parts, shoes and hats, furniture and household appliances
Chinese firms to set up Sh20 billion industrial park in Kenya – Business Today News

ile SEZ ikijengwa kule zaivasha hizo campuni za kichina zitajazNa sana
Ni vizuri kuwa na foreign investment lakini inategemea na policy ya nchi husika na nature ya watu wenyewe....

Viwanda vinaweza kuletwa lakini faida ikawa ndogo kama hakutawekwa restrictions mbalimbali zitakazotufaidisha kama nchi mfano:- Many mineral sites in Tz are exhausted while the sorrounding societies are still living in sheer poverty due to poor policy making nd also suffers the consequences of improper disposal of chemicals in the rivers

Pia nature ya watu yapaswa kubadilishwa yaani we have to heavly invest on our people to be suitable enough to cover any vacancies offered by those industries....

Faida lazma ipatikane lakini i hope,our gava will work more in these issues so that we can yield more profit
 
fikra mgando zipo ccm miaka 50+ hamna viwanda na vilivokuwepo wameua na sasa wanakuja na porojo za viwanda. labda viwanda vya kukaanga karanga.
Hivi ni ipi part yako katika hilo!!!!!!....

wakati wewe ukiilalamikia serikali wenzio wanafikiria ni kwa jinsi gani watawekeza duniani ili faida ikazijenge nchi zao... ilalamikie serikali kwa sera zitakazokuwezesha kujenga kiwanda ila sio wewe ujengewe kiwanda

With such kind of perception,no wonder we ar still poor
 
Inaonekana Tanzania inaenda kuwa taifa lenye viwanda vingi East Africa and Central baada ya miaka 3, bandari ya Bagamoyo nayo yatajwa.

Hivi popote Waziri wa Wachina anapo pita wana ahidi kujenga viwanda 200, hata Serikali ya Zambia wameahidiwa idadi hiyo hiyo ya viwanda - sasa, hii wapi na wapi?
 
Tujitahidi kuboresha na umeme wetu. Hivi viwanda bila umeme wa uhakika ni kazi bure!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wachina wa Dunia hii au wanatoka Sayari nyingine!!?
Wachina ni janga jingine!
 
Waziri wa mambo ya nje wa china Wang Yi amewasili Tanzania kwa ziara ya siku Moja, ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo juu ya mpango wa maendeleo ya viwanda kati ya Tanzania na China.
Huku viwanda takriban 200 vikitarajiwa kujengwa kufikia mwaka 2020.

Munira Hussein amezungumza na Afisa habari wa wizara ya mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga juu ya ziara hiyo.

Chanzo: BBC
268d14ea27c22cdcedd5c1fd3127ccc4.jpg
mnaojua hesabu jumla Tanzania itakuwa na viwanda vingapi?
 
Mojawapo wa sababu za Watanzania kuchelewa kuamuka hadi leo ni hili la kutegemea mambo ya undugu kwa kila kitu. Dunia ya sasa haina cha undugu wala nini ila maslahi. Mchangamkie fursa kwa bidii na kujituma, hayo mambo ya undugu myaache vijijini, iwaingie kwamba mjini kila mtu mchakarikaji.

Mchina hana cha undugu wala nini, yeye hupiga mahesabu ya mbali sasa wewe ukikenua meno eti unategemea atakuja na hayo ya undugu, utaliwa hadi ukome. Cha msingi, changamkia fursa na kuwa makini kwa kila hatua.

Mbona tunakuwaga makini na EAC huku Kenya mnaishia kulalamika. Dili nyingi za EAC zilizoletwa na Kenya zinakuwa kwa faida ya Kenya, tukizikataa kwa nini? maneno yanakuwa mengi kuliko ueleweshaji. China na Tanzania wana uhusiano unaoitwa "ALL WEATHER". (usha kuusikia?)
 
pongezeni, ni vizuri tujuendeleze sote kwa pamoja kama EAC .

lakini on the other hand, leteni fine print ya details mujue ni nini hasa na ni vipi watakavyo wekeza.........
vile hio habari imeandikwa inakaa kama vile wajapani wanataka kufanya pale mombasa ama vile wachina wanapanga kufanya kule naivasha...... wanatafuta mahala pamoja wanaweka SEZ alafu wanaita kampuni zao zote za kila aina kujenga proccesing plant hapo ndani.........

tayari zile EPZ ambazo ziko kenya ziko na campuni 130 ambazo nyingi zao, wachina wamesaidia kuzijenga

Industry and Trade cabinet Secretary Adan Mohammed, who presided over the groundbreaking, said the investment is a bold step by the Chinese, adding that they would enjoy full benefits of the EPZs with a higher return on investments. EPZA CEO Fanuel Kidenda said the Sh20 billion investment was a major boost to the economy and the EPZs, which so far have investments worth $730 million. According to EPZA, 130 companies are currently operating in 66 EPZs across the country and the Sino Africa industrial park would attract more investments.
Ms Tao said the park would provide a one-stop shop for business services such as exhibitions, offices, warehouses as well as public e-commerce office services. In the first phase, the park will launch industries in medical, chemical, cosmetics, foodstuff, machinery, building materials, agricultural products, office stationery, paper, textile, auto parts, shoes and hats, furniture and household appliances
Chinese firms to set up Sh20 billion industrial park in Kenya – Business Today News

ile SEZ ikijengwa kule zaivasha hizo campuni za kichina zitajazNa sana

We gotta lot to learn from them KENYANS, masaa yote wako highly organised kwenye shopping lists zao wanajua Taifa lao linahitaji viwanda vya aina gani na vijengwe wapi, sisi wakurupukaji tu na maneno mengii - wahusika hawana muda wa kukaa na Watanzania wanzao wenye handon experience ya masuala ya viwanda vile na exposure ya muda mrefu katika nyanza za viwanda, wateule uwa hawa kubali kabisa kupewa ushauri na baadhi ya Watanzania wenye nawazo mazuri ya kujenga na kusema kweli kuna baadhi ya Watanzania akili zao zinachemka kweli kweli lakini hawapewi fulsa ya kutoa maoni yao yenye mshiko, wanachukulia kama unataka kuwafundisha kazi!!!

Tatizo la Taifa letu mtu akisha pewa wadhifa wa Ukurugenzi au Uwaziri basi wanajiona wao ni alpha na Omega uwaelezi kitu, wabishi kama nini - majority wanaonekana wazi wazi ni ma jack of all trade, sasa Dk.Magufuli hasipo kuwa makini katika teuzi zake basi masaula ya kuchangamkia ujenzi wa viwanda vya maana tutakuwa tunavisikia huko Zambia na Kenya kwa kupitia Radio na luninga.
 
Yaani sijui kwanini nnapata mashaka na hii episode ya Viwanda 200 kamani itakuwa ya kweli... Maana hawa wachina hawachelewi viwanda vyao ndiyo vikawa vile vya mtu 1 au 2 tu
 
Back
Top Bottom