Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni maneno tu ya kwenye kanga mkuu, hakuna viwanda 200, hivi unafanya mchezo na viwanda 200 au unavisikia?Zito Kabwe na ndugu zake wa chadema wakisikia hii habari wanaweza kufa kihoro kwa chuki, na kwa kuongezea pia mvua zimeanza kunyesha hivyo hakuna baa la njaa!
Mbona unanishangaza, yaani kujieleza kwangu kwote unajielewa!!!
Nimesema baadhi ya Wakenya wana mapungufu yao hasa kwenye masuala ya PR, lakini si wote - mkuu usisahau kwamba Taifa lao ndilo limewekeza sana Tanzania na kuajili Watanzania wengi kuliko Mataifa mengine - kumbuka vile vile kwamba linapo kuja suala la ushindani wa kibiashara kinacho tumika pale ni law of the jungle - hakuna cha urafiki, ushikaji au u-komredi kila kitu it's everyman for himself and God for us all - don't you forget that.
Tatizo letu kubwa Watanzania hatujazoea modus operandi za namna hiyo, lazima tujifunze kuwa aggresive na si kutegemea/letewa kila kitu on a silverplate.
Haya ndiyo mambo MK254 anatukumbushaga kila siku ingawa lugha yake wakati mwingine inaonyesha kama anatudharau vile - sisi tuchukue yenye mshiko tuachane na yale yasiyo na tija kwetu - hicho ndicho nilikuwa namaanisha.
They will never listen bro, hiki kitu ndicho nilichokifikiria wakati magufuli akijiandaa kufufua uchumi wa viwanda, yaani nilifikiriaThis is another fuc..n African move,
Tutaendelea kuliwa mpaka mungu arudi, viwanda 200 na ufala mwingine, whem r we going to wake up? When r we going invest in China,? how long we r going to stay cowards., and bastards.
I thought our government is focusing to develop our local things experts and technicians, tuanzie chini, tuwe focused, tuwe strategized, tuwawezeshe na tuwape nafasi wabunifu wetu, hata ikichukua 50yrs we might have our own technology but it have to start from the bottom,
I really hate, and I hate this methodology, Chinese are enjoying our Natural resources ***** we are remaining poor. Ufala huu.
We can manufacture a lot of things locally if we need to..
Hapa ndipo ninapoikubali nchi yangu Tz, watz wote ni multpapa. Historia, uchumi na ustawi na kila engo tuko vizuri sana. Bado elimu ya wizi na unyonyaji tu majirani wote chali.Haya mafuta unampaka MK254 sijui ni ya aina gani maana sio kwa mpako huu duh, MK254, Mungu anakuona ujue ...!!!
Hadithi zako zote ulizoandika nyuma, napata picha kama kuna ajenda fulani unaisukuna chini ya mlango. Kama ipo utakuwa unakazi kubwa sana nikupe na pole mapema. Toka lini kuwekeza nchini nyingine inakupa rights kuwatukana au hata kuwakebehi nchi uliyo wekeza? Ulisha wahi kuona Mwafrika au Mjapani au Mmarekani ana mkebei EU mwenye soko linalo lipa vizuri?
One things I don't understand is when you said "law of the jungle", kwanini utumie law of the jungle wakati umeshikilia contract?. Kwanini ujiingize kwenye purukushani zisizo eleweka wakati una mkataba mkononi? Ushindani hauendi kwa maneno na vijembe, tumewashinda wa Kenya kwenye bomba gesi toka Uganda kwa hali halisi ya nchi yetu, sio kwa law of the jungle au everyman for himself. Infact, nadhani wakenya walitumia mbinu kama hiyo unayoisema "law of the jungle", "everyman for himself" wakaja na CoW yao, pamoja na kututenga watanzania lakini mwisho wa siku vyote vikafa. No gas pipeline deal, no single visa, no EPA, hata SGR kufika Kampala na Kigali hali ni tete.
Wakenya tumetwangana nao tokea 1917, vita haijaisha, bado kuna moshi unafuka chini chini, ukiipulizia kidogo tuu, tunarudi kule kule tulikotoka.
Hivi hauoni aibu??Zito Kabwe na ndugu zake wa chadema wakisikia hii habari wanaweza kufa kihoro kwa chuki, na kwa kuongezea pia mvua zimeanza kunyesha hivyo hakuna baa la njaa!
Mkuu umeongea vyenye maana sana. Ila hata hili pia si la serikali tu. Mi niseme niwazavyo kidogo, tafsiri mbovu ya kila kitu ndo tunapofeli hapo tu.They will never listen bro, hiki kitu ndicho nilichokifikiria wakati magufuli akijiandaa kufufua uchumi wa viwanda, yaani nilifikiria
1.Awekeze katika kilimo cha mazao ambayo ni raw materials na pia kuwapa nguvu wakulima wadogowadogo
2.Angewekeza zaidi katika elimu kuanzia shule za msingi hadi vyuo ili zitoe product nzuri katika masuala ya scince nd technology na pia biashara na uchumi ili kutengeneza wafanyakazi na wawekezaji wa ndani
Hili suala la kusubiria foreign investors wakati tuna weak industrial base ni kujiua yaaNi tunatengeneza capital inflow kubwa with high profit outflow.tutakuwa kama phillipines tukisubiria
huruma ya China
Ila wajifikirie zaidi ni kwa jinsi gani tutafaidika na hizo investments
Unajuwa wenzetu kelele nyingi, yani wakikohoa kidogo tuu lazima kila mtu ajue. Kama debe tupu.Hapa ndipo ninapoikubali nchi yangu Tz, watz wote ni multpapa. Historia, uchumi na ustawi na kila engo tuko vizuri sana. Bado elimu ya wizi na unyonyaji tu majirani wote chali.
Tumeumbwa kutawala si kutawaliwa sisi. Bravoo hayati, tuko na elimu bora sana.
Na mara nyingi mbwa abwekaye sana ana uwalakini. Mi nadhani ktk east and central Africa sisi ni wa kuigwa.Unajuwa wenzetu kelele nyingi, yani wakikohoa kidogo tuu lazima kila mtu ajue. Kama debe tupu.
Na mara nyingi mbwa abwekaye sana ana uwalakini. Mi nadhani ktk east and central Africa sisi ni wa kuigwa.
Hatukuwa na states kubwakubwa kabla ya ukoloni, tukatawaliwa na ujerumani, 1918 wakaondoka, trustship ya mwingereza imetulostisha, hatukuendelezwa nae kwa lolote. Wkt Kenya na wengine wakiendelezwa kila idara kuanzia viwanda hadi elimu.
Tanzania tumejitaidi sana kuifikia hii ya pili ktk uchumi East Africa kwakweli. Hatukustahili. Wakoloni Kenya waliifanya yao, wakaiendeleza wapendavyo.
Watz ni inshu nyingine, hatujitambui tu. Kwanza kwenye siasa za dunia, kusini mwa jangwa la sahara sidhani kama kuna giant kutuzidi. Pamoja na kujitoa kwetu kote Africa ktk ukombozi bado tunashindana na wakenya, tungejijali wenyewe kiubinafsi tungekuwa wapi unadhani?
Haya mafuta unampaka MK254 sijui ni ya aina gani maana sio kwa mpako huu duh, MK254, Mungu anakuona ujue ...!!!
Hadithi zako zote ulizoandika nyuma, napata picha kama kuna ajenda fulani unaisukuna chini ya mlango. Kama ipo utakuwa unakazi kubwa sana nikupe na pole mapema. Toka lini kuwekeza nchini nyingine inakupa rights kuwatukana au hata kuwakebehi nchi uliyo wekeza? Ulisha wahi kuona Mwafrika au Mjapani au Mmarekani ana mkebei EU mwenye soko linalo lipa vizuri?
One things I don't understand is when you said "law of the jungle", kwanini utumie law of the jungle wakati umeshikilia contract?. Kwanini ujiingize kwenye purukushani zisizo eleweka wakati una mkataba mkononi? Ushindani hauendi kwa maneno na vijembe, tumewashinda wa Kenya kwenye bomba gesi toka Uganda kwa hali halisi ya nchi yetu, sio kwa law of the jungle au everyman for himself. Infact, nadhani wakenya walitumia mbinu kama hiyo unayoisema "law of the jungle", "everyman for himself" wakaja na CoW yao, pamoja na kututenga watanzania lakini mwisho wa siku vyote vikafa. No gas pipeline deal, no single visa, no EPA, hata SGR kufika Kampala na Kigali hali ni tete.
Wakenya tumetwangana nao tokea 1917, vita haijaisha, bado kuna moshi unafuka chini chini, ukiipulizia kidogo tuu, tunarudi kule kule tulikotoka.
Kwakuwa chaki si bidhaa au haina uhitaji nchini? Wachina wanatuuzia vijiti vya kuchokonolea meno, we unastaajabu chaki? Mkoa wa simiyu na Zanzibar yote, haitanunua chaki nje ya kiwanda hiki, sijui hapo utakiongeleaje miaka kadhaa ijayo.Viwanda vya chaki maswa
Wanalijua hilo ndo mana wanatuogopa, walituogopa tulipokuwa bado wachanga kabisa wakati wao walikuwa njema sana, miaka ya 60 huko. Nyerere alitaka shirikisho wakakimbia.Mkuu uko sahihi, tunapigiwaga kelele na hawa jamaa lakini ni kelele za uwoga, wana panic sana wakio weingine wana wanyemelea karibu. Kama kujitolea Africa, tumejitolea sana, nadiriki kusema hakuna nchi nyingine imejitolea kwa afrika kama Tanzania. Na sifa kubwa tunayo ishikilia ni kwamba, kote tuliposhiriki kiharakati, hatujawahi kuacha serikali zenye mashaka mashaka. Sasa hivi tupo kwenye mfumo wakujitegema wa kweli, miradi mingi kwa miaka mitano iliyo pita imeifanikisha kwa fedha zetu wenyewe, hado hado tutafika tu.