Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Hongera Mkuu... Gwajima Kaka alikuzingua sana kuhusu chanjo ya COVID_19-vipi mliyamalizaje hayo....? iambie jamii kupitia JF basi.
 
mbona umeweka emoji zakike wewe nimrembo eti?

yingyang nimkorofi toka utotoni
Dahh! Kidume kizima na ndevu zangu, nimenyoa mpaka kidevu kimekomaa kama sugu ya sufuria kutokana na moto mkali na ukoko... Leo hii nafananishwa na mrembo 😳

Kweli dunia hadaa!... Kwani mkuu kwenye hizi emoji za wenyewe walisemaga hizi ni za kike na Za kiume?
 
Naomba kutumia kifungu cha sheria ya Tanzania ibara ya 6

Access to Information Act, 2016 (No. 6 of 2016).​

(1) Every person shall have the right of access to information which is under the control of information holders.
(2) The information holder shall, subject to the provisions of section 6 and any other written laws, make available to the public or, on request, to any person, information which is under his control.

Nataka kujua idadi ya waajiriwa wa JF kufuatana na maswali yafuatayo

Kuna waajiriwa wakristo wangapi?
Kuna waajiriwa waislamu wangapi?

Maxence Melo

View attachment 3040644
😁😁😁Dah
 
Mkuu hawa viongozi wengi huwa hawajibu ni kupoteza muda tu kuwauliza maswali au kuwaeleza changamoto za wananchi.

Inasikitisha zaidi machawa wanapiga tu vigelegele Humu.VERY SAD MAN!
Hujambo? Huwa najibu Sana, na mtu akiona nimechelewa na ni dharura, huwa nimetoa namba zangu za 0765345777 na nakala 0734124191 (KUANDIKA UJUMBE). Ahsante Sana kwa mchango wako, karibu tushirikiane 🤝🙏🏽
 
Weka na email itapendeza.
 
Dahh! Kidume kizima na ndevu zangu, nimenyoa mpaka kidevu kimekomaa kama sugu ya sufuria kutokana na moto mkali na ukoko... Leo hii nafananishwa na mrembo 😳

Kweli dunia hadaa!... Kwani mkuu kwenye hizi emoji za wenyewe walisemaga hizi ni za kike na Za kiume?
emoji zakiume nihizi 😕☹️💪👊👍👉👷😎 hio ulioweka hapo yakike Tena badirika mkuu
 
Back
Top Bottom