Ziara yangu ofisi za JamiiForums

Hongera Mkuu... Gwajima Kaka alikuzingua sana kuhusu chanjo ya COVID_19-vipi mliyamalizaje hayo....? iambie jamii kupitia JF basi.
 
mbona umeweka emoji zakike wewe nimrembo eti?

yingyang nimkorofi toka utotoni
Dahh! Kidume kizima na ndevu zangu, nimenyoa mpaka kidevu kimekomaa kama sugu ya sufuria kutokana na moto mkali na ukoko... Leo hii nafananishwa na mrembo 😳

Kweli dunia hadaa!... Kwani mkuu kwenye hizi emoji za wenyewe walisemaga hizi ni za kike na Za kiume?
 
😁😁😁Dah
 
Mkuu hawa viongozi wengi huwa hawajibu ni kupoteza muda tu kuwauliza maswali au kuwaeleza changamoto za wananchi.

Inasikitisha zaidi machawa wanapiga tu vigelegele Humu.VERY SAD MAN!
Hujambo? Huwa najibu Sana, na mtu akiona nimechelewa na ni dharura, huwa nimetoa namba zangu za 0765345777 na nakala 0734124191 (KUANDIKA UJUMBE). Ahsante Sana kwa mchango wako, karibu tushirikiane πŸ€πŸ™πŸ½
 
Weka na email itapendeza.
 
emoji zakiume nihizi πŸ˜•β˜ΉοΈπŸ’ͺπŸ‘ŠπŸ‘πŸ‘‰πŸ‘·πŸ˜Ž hio ulioweka hapo yakike Tena badirika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…