Ziara za Chalamila akiongozana na watumishi wa umma, tena usiku wa manane, zina muongozo upi wa sheria? Hasa kwa wenye watoto na ndoa?

Viongozi wa bongo wanaongozwa na utashi wao wala si STK -Sheria,Taratibu na Kanuni.
 
Mleta mada acha kukurupuka ama ushamba umekujaa !
Kwanza kabisa serikali halilali !
Dsm ni jiji la biashara, 24hrs shughuli mbali mbali zinaendelea, khs utumishi wa umma ni kwamba mnaweza kuwekeana utaratibu tu mkawa mnapisha kwenye masaa ya kazi !

Jiulize walinzi, watu wa viwandani, watu wa kada ya afya nk unafikiri hawalali ama hawapati muda wa kupumzika ?
 
Mleta uzi.

Mwajiriwa ana saa za kazi. Zikizidi atatakiwa kulipwa kwa muda wa ziada.

Kwa serikalini muda wa ziada kulipwa ni uhakika kwa 80% na kwa binafsi uhakika ni 40%.

Kwa serikalini uhakika ni 80% kutegemea kituo cha kazi cha mhusika n.k. kwa binafsi uhakika ni 40% kwakua kampuni binafsi zinafocus na faida hivyo hua hazina nia thabiti kumlipa huyu mtu.

Ama humfanyisha kazi kwa saa nyingi zaidi tofauti na malipo.

Kampuni nyingi binafsi nchini zina hii changamoto.

Now, ilitakiwa uwe hapa kuwasemea wafanyakazi wa serikali au wenzetu walio kwenye kampuni za wachina?
 
Hiyo ni mipango ya kazi tu kama kwenye mikesha ya mwenge watumishi wote wanatakiwa kukesha.
Ila hapo lazima kuna posho (extra duties or overtime allowance) manake mida ya kazi inajulikana

Ukikataa utaonekana mtomvu wa nidhamu ukikubali unalipwa na posho wewe utachagua lipi?
 
Umekunywa chai? Maana umeandika kama uko usingizini
 
Huyu mpuuzi Jana kasababisha miimi kukaa na mtoto wa miaka mitatu hadi saa sita usiku.Mtoto katoka shule,nimpikie,nimbadilishe nguo nk.
 

Nimepishana na msafara wake usiku wa saa sita kasoro nimehesabu magari yapo kama 40 hivi ikiongozwa na Landcrusier mbele ya polisi ,Double cabin ya pili polisi,ya tatu V8 ,ya nne LC 300 nyeusi ya RC DSM na ya mwisho kama ya 40 hivi Crown nyeupe anaendesha Demu.

Kama lengo ni kufanya survey kujipanga alifanye vipi jiji la DAR kufanya kazi 24/7 imekaa vizuri ,ila sehemu zenye biashara aweke ulinzi wa maana na maaskari wawe active na si ikifika usiku sana waondoke waende kulala watazalisha majambazi.
 
Nnachoogopea mimi, hao askari uchwara webgine wasigeuke majambazi.

Kuwe na ulinzi na walinzi wa ulinzi.
 
Sahihu =sahihi

Ova
 
Nnachoogopea mimi, hao askari uchwara webgine wasigeuke majambazi.

Kuwe na ulinzi na walinzi wa ulinzi.

Kabisa ,ikiwezekana waweke CCTV camera zenye uwezo wa hali ya juu with night vision, HD na kuchukua sauti ,kuwe na control room wanafanya monitoring ya hizo CCTV na hapo control wakiona watu hawawaelewi soon wawajulishe askari patrol walio kwenye eneo hilo wawakamate na kuwahoji ,wakifanya hivyo itakuwa salama kwa atleast 90%.
 
Mnasahau kazi ni aina kw aina- za usiku, zina night shifts, za mchana zina masaa - uingie xa ngp utoke xa ngp na lunch xa ngp na hizi pia znaendna na malipo. Zpo za kixiaxa ambzo ni za mateuzi na zina maelekezo yke kw mujib wa mteuzi na hata malipo na maruprup yana akisi majukumu. Kna za mikataba na zingne m2 anapelekwa kutatua tatizo flani tu alaf zinaisha. Kaz ni mikataba ya mdomo au maandishi, mngne ni xiaxa
 
Posho ni sh? Kama sijakosea haizidi elfu 10,000 kwa mtumushi wa kawaida
 
Hii watasoma watoto wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…