enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Ndugu, maisha ni uhalisia. Kama upo serikalini huo ndiyo uhalisia?? Upo sahihi kisheria, ki uhalisia je??Kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa masaa manane tu kwa siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, maisha ni uhalisia. Kama upo serikalini huo ndiyo uhalisia?? Upo sahihi kisheria, ki uhalisia je??Kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa masaa manane tu kwa siku
Umekunywa chai? Maana umeandika kama uko usingiziniUnachofahamu ni mazowea lakini siyo kanuni au sheria.
Sheria inataka mfanyakazi awe kafanya masaa ya siyozidi na kupunguwa kadhaa kwa wiki aukabla hajapumzika.
Wale madaktari, mapolisi, wauguzi, na sehemu zingine kadhaa wa kadhaa za hudumu zinafanya kazi usiku na mchana.
Chalamila yupo sahihu, alishatangaza anataka Datr liwe jiji la bishara kwa saa 24 (jiji lisilo lala), ni lazima atembee usiku ajionee anajipanga vipi.
Huyu mpuuzi Jana kasababisha miimi kukaa na mtoto wa miaka mitatu hadi saa sita usiku.Mtoto katoka shule,nimpikie,nimbadilishe nguo nk.Nimeona Mkuu wa Mkoa amezindua ziara za usiku mzima, tena akiwa na watumishi wa umma wa kike na kiume.
Ninachofahamu, muda wa mtumishi wa umma kuwa ofisini mwisho saa tisa na nusu. Sasa sijafahamu kuhusu huu utumishi wa mpaka usiku wa manane.
Kwanza, hao watumishi wanatakiwa kuwa kazini saa moja na nusu asubuhi, kulikoni uwalaze saa kumi na moja alfajiri? Kwa kanuni ipi ya utumishi wa umma?
Je walioolewa, na waume zao wanawasubiri, ndoa zitakuwa salama? Je si kuhatarisha na kuyumbisha taasisi muhimu ya ndoa na hata maisha ya wanandoa hao, hasa wa jinsia ya kike, kwamba kuna namna tu imetafutwa, lakini lengo sio ziara ila ni kupakua asali?
Asubuhi watu hao wataweza kufika maofisini? Usingizi?
Ziara hizo zilipata clearance za ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma? May be the RC is over ambitious!
Kwamba anataka maafisa ardhi, TRA na wengine wakae maofisini usiku kucha, at this digital age. Nadhani angefanya consultation, kabla hajaingia kwenye mivutano, na kuwapa hoja wapinzani.
Let him reform the system first, tena kwa kutungiwa sheria, ili jambo hili lisiende kwa personal whims, and, he should sweep all the panya road wanaozurura usiku ili watumishi wawe salama.
Otherwise, uchumi wa masaa 24 unawavuta watu, sio watu wauvute. Yaani, mazingira yatawavuta watu wakae mpaka pakuche
Ila mkiona magari barabarani mnapiga kelele wanakula bata.Utumishi wa umma ni 24/7 na hakuna kulala…. Kuna kupumzika kwa zamu tu
Tuache ulalamishi hata kwenye basic stuff
Ndiyo maana leo hajakalika ofisini. Usikute ameuchapa usingizi anasubiria jion aamke aanze ziara tena 😀😀😀Chala ana mihemko ya hovyo!
Unachofahamu ni mazowea lakini siyo kanuni au sheria.
Sheria inataka mfanyakazi awe kafanya masaa ya siyozidi na kupunguwa kadhaa kwa wiki aukabla hajapumzika.
Wale madaktari, mapolisi, wauguzi, na sehemu zingine kadhaa wa kadhaa za hudumu zinafanya kazi usiku na mchana.
Chalamila yupo sahihu, alishatangaza anataka Datr liwe jiji la bishara kwa saa 24 (jiji lisilo lala), ni lazima atembee usiku ajionee anajipanga vipi.
Nnachoogopea mimi, hao askari uchwara webgine wasigeuke majambazi.Nimepishana na msafara wake usiku wa saa sita kasoro nimehesabu magari yapo kama 40 hivi ikiongozwa na Landcrusier mbele ya polisi ,Double cabin ya pili polisi,ya tatu V8 ,ya nne LC 300 nyeusi ya RC DSM na ya mwisho kama ya 40 hivi Crown nyeupe anaendesha Demu.
Kama lengo ni kufanya survey kujipanga alifanye vipi jiji la DAR kufanya kazi 24/7 imekaa vizuri ,ila sehemu zenye biashara aweke ulinzi wa maana na maaskari wawe active na si ikifika usiku sana waondoke waende kulala watazalisha majambazi.
Sahihu =sahihiUnachofahamu ni mazowea lakini siyo kanuni au sheria.
Sheria inataka mfanyakazi awe kafanya masaa ya siyozidi na kupunguwa kadhaa kwa wiki aukabla hajapumzika.
Wale madaktari, mapolisi, wauguzi, na sehemu zingine kadhaa wa kadhaa za hudumu zinafanya kazi usiku na mchana.
Chalamila yupo sahihu, alishatangaza anataka Datr liwe jiji la bishara kwa saa 24 (jiji lisilo lala), ni lazima atembee usiku ajionee anajipanga vipi.
Nnachoogopea mimi, hao askari uchwara webgine wasigeuke majambazi.
Kuwe na ulinzi na walinzi wa ulinzi.
Mnasahau kazi ni aina kw aina- za usiku, zina night shifts, za mchana zina masaa - uingie xa ngp utoke xa ngp na lunch xa ngp na hizi pia znaendna na malipo. Zpo za kixiaxa ambzo ni za mateuzi na zina maelekezo yke kw mujib wa mteuzi na hata malipo na maruprup yana akisi majukumu. Kna za mikataba na zingne m2 anapelekwa kutatua tatizo flani tu alaf zinaisha. Kaz ni mikataba ya mdomo au maandishi, mngne ni xiaxaHaya ni maoni ya Mtanzania aliyekulia uvivu, amezoea uvivu, na analipwa kwa kuendekeza uvivu.
Mtu hana habari kuwa siku moja ina masaa 24, na yote ukitaka na kuamua yanaweza kuwa ya kazi.
Ni watu kama mtoa mada anafikiri TOYOTA inatengeneezwa wakati wa mchana tu. Ndege za Boeing tunazoziona zinatengenezwa jua likiwaka tuu!!
Ewe Mtanzania AMKA.................!
Na nmpageza sana Mkuu wa Mkoa Chalamila kwa kulionyesha kwa vitendo.
Posho ni sh? Kama sijakosea haizidi elfu 10,000 kwa mtumushi wa kawaidaHiyo ni mipango ya kazi tu kama kwenye mikesha ya mwenge watumishi wote wanatakiwa kukesha.
Ila hapo lazima kuna posho (extra duties or overtime allowance) manake mida ya kazi inajulikana
Ukikataa utaonekana mtomvu wa nidhamu ukikubali unalipwa na posho wewe utachagua lipi?
Hii watasoma watoto wenzio.Mnasahau kazi ni aina kw aina- za usiku, zina night shifts, za mchana zina masaa - uingie xa ngp utoke xa ngp na lunch xa ngp na hizi pia znaendna na malipo. Zpo za kixiaxa ambzo ni za mateuzi na zina maelekezo yke kw mujib wa mteuzi na hata malipo na maruprup yana akisi majukumu. Kna za mikataba na zingne m2 anapelekwa kutatua tatizo flani tu alaf zinaisha. Kaz ni mikataba ya mdomo au maandishi, mngne ni xiaxa