YEYE MWENYEWE MAKONDA ANATIA AIBU KWA DHULMA ALIZOZIFANYA WAKATI WA DIKTETA MAGUFULIUwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake.
Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria.
Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa.
Wananchi wanakandamizwa na wachache wanafuatilia hadi ngazi za juu lakini bado hawapati haki zao.
Mtendaji mkuu wa Serikali ambaye ni waziri mkuu anatoa maagizo lakini watu wa chini yake wanapuuzia. Rejea ziara ya Makonda kule Shinyanga.
Je, kuna anguko la Utawala wa Sheria?
Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake.
Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria.
Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa.
Wananchi wanakandamizwa na wachache wanafuatilia hadi ngazi za juu lakini bado hawapati haki zao.
Mtendaji mkuu wa Serikali ambaye ni waziri mkuu anatoa maagizo lakini watu wa chini yake wanapuuzia. Rejea ziara ya Makonda kule Shinyanga.
Je, kuna anguko la Utawala wa Sheria?
Lini Makonda mwenyewe alifuata sheria?Uwe unampenda ama humpendi,uwe unafuatilia ama haufuatilii ziara zake.
Kitu kimoja utagundua kuwa Watanzania wengi sana wanakandamizwa na wasimamizi wa haki na sheria.
Mamia kama si maelfu ya wananchi wanakandamizwa na kuonewa toka ngazi ya mtaa, kata, wilaya, mkoa hadi Taifa.
Wananchi wanakandamizwa na wachache wanafuatilia hadi ngazi za juu lakini bado hawapati haki zao.
Mtendaji mkuu wa Serikali ambaye ni waziri mkuu anatoa maagizo lakini watu wa chini yake wanapuuzia. Rejea ziara ya Makonda kule Shinyanga.
Je, kuna anguko la Utawala wa Sheria?
Peleka ushaidi mahakamaniiiYEYE MWENYEWE MAKONDA ANATIA AIBU KWA DHULMA ALIZOZIFANYA WAKATI WA DIKTETA MAGUFULI
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
MkuuMakonda wakati wa bunge feki la katiba alikuwa anayakaza mashangingi na mijimama ya hilo bunge lahaula limoja likaukwaa mjengo.
Wewe ungesema kitu gani na kitu gani arizurum sio maneno ya blaa blaaYEYE MWENYEWE MAKONDA ANATIA AIBU KWA DHULMA ALIZOZIFANYA WAKATI WA DIKTETA MAGUFULI