Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Kwani Rais akienda Kusini au asipokwenda kuna faida gani?.
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Ndo uouo
 
Malalamiko sasa yamekuwa ni mengi.

Huko Kanda ya Magufuli kuna nini?

Kuna wananchi wengi zaidi kanda nyingne na hata wakiwa wachache ao wanastahili ziara.

Chongolo na Shaka majuzi wangongana kufungua vyoo na masoko huko, kunani?
 
Unataka MFUMU NTALE HANGAYA aende wapi? Alafu amealikwa kwenye jubilee ya BMC bana
 
Kusini tunajua nyie ni vibonde wetu hamjawahi kutunyima kura, wacha tupambane huku. Endeleeni kuuza korosho, fanyeni sherehe za unyago mimi Rais nipo pamoja na ninyi. Kusini Hoyee, Kura zote kwa CCM.
 
Kusini Shaka na Chongolo wanawatosha.

Kanda ya ziwa ni kama maji-utake usitake utayanywa, oga, fulia, nawa ... mwacheni mfalme aoge na akitoka huko wanaomchunga wanakuwa na ndoo za sangara.

Kusini atatoka na samaki nchanga au kuku jiko
 
Ukweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.
 
Back
Top Bottom