Ukijitenga na Kanda hi ni sawa na kutangaza kushindwa mbio za urais asubuhi saa nne.Kule kuna majitu kutwa yanalia yanahitaji kubembelezwa angalau yapunguze kelele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijitenga na Kanda hi ni sawa na kutangaza kushindwa mbio za urais asubuhi saa nne.Kule kuna majitu kutwa yanalia yanahitaji kubembelezwa angalau yapunguze kelele.
🤣🤣🤣🤣🤣Kusini Shaka na Chongolo wanawatosha.
Kanda ya ziwa ni kama maji-utake usitake utayanywa, oga, fulia, nawa mwacheni mfalme aoge na akitoka huko wanaomchunga wanakuwa na ndoo za sangara.
Kusini atatoka na samaki nchanga au kuku jiko
Ndio ujinga mnaolishana!Ukijitenga na Kanda hi ni sawa na kutangaza kushindwa mbio za urais asubuhi saa nne.
Historia ya BMC ni kubwa katika nchi za maziwa makuu, ndio maana kwenye tukio na matukio mengine ya namna hiyo Wakuu wa nchi wame /walialikwa kuhudhulia.Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Usipende kufurahia ujinga. Nenda kwenye vitabu vya sensa halafu ujidharau kwa kuwa mwongo. Kanda ya ziwa ni 27% ya population ya Tanzania. Hiyo robo 3, sijui umeokota wapi!Ukweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.
Hivyi we mwenzetu uko Kanda ipi?mbona povu? Au unatoka Liwale😃😃😃 au Nanjilinji😂😂😂Ndio ujinga mnaolishana!
Natokea Chato.O
Hivyi we mwenzetu uko Kanda ipi?mbona povu? Au unatoka Liwale😃😃😃 au Nanjilinji😂😂😂
Kwanza Kanda ya ziwa ndiyo inakuza uchumi wa taifaSasa ubaya ni upi?
Anaelewa kanda ya ziwa kuna kura.
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
ujui utamu wa ngozi, pole na kaa chini.🤣🤣🤣🤣🤣
Kusini kusikie tu,siku moja nilitoa macho baada ya kukuta ngozi ya ng'ombe imepikwa Kama mboga lol.
Si kwa umasikini huo.
Machadema yanwatukana wasukuma alafu 2025 utakuta yanaenda na mipua yao kuomba kuraUkweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.
Bado Haitoi uhalisia kuwa ndo kanda inayaamua matokeo ya urais kama unabisha baki unavyoamini!Population ya Kanda ya Ziwa
Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m
TOTAL 17m.
Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa wote, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.
Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.
Sasa ubaya ni upi?
Anaelewa kanda ya ziwa kuna kura.
Magufuli ameharibu kweli hii nchi, ameigawa, watu wamejaa uongo sifa za kijinga kusifiana kijinga. Eti kanda ya ziwa ni robo 3. Hujishughulishi hata kutafuta data za sensa ya 2012. Kwa taarifa yako we ngedere mwongo kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 taarifa sahihi ni kama ifuatavyo;Ukweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.
Population ya Kanda ya Ziwa
Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m
TOTAL 17m.
Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa wote, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.
Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.
Subiri arobaini iishe.Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?