Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Usipende kufurahia ujinga. Nenda kwenye vitabu vya sensa halafu ujidharau kwa kuwa mwongo. Kanda ya ziwa ni 27% ya population ya Tanzania. Hiyo robo 3, sijui umeokota wapi!

Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m

TOTAL 17m.

Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.

Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.
Hiyo 2.7m sio pop ya Mwanza labda hiyo ni pop ya Mwanza jiji, mkoa wa Mwanza ina about 5m.
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Kwa hiyo kwenda Mwanza tayari kenda kanda ya ziwa. Sema tu mbona anaenda Mwanza mara kibao.....!!
 
Anajishtukia tu...

Anahisi WASUKUMA ni threat ktk urais wake. Kumbe hamna lolote.
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Acha mama ale Sato bana.

Umemwandalia Korosho?
 
Huko hahitaji kuja, sababu aje asije kura zote atapata hakuna upinzani. kuna wabunge wangapi wa upinzani waliwahi tokea huko?
Kamuulize Kikwete aliwahi kupopolewa mawe mpaka leo waliompopoa hawajakamatwa! Walienda mafichoni Malawi!
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Kanda ya ziwa mambo magumu sana
 
Mikoa ya kusini hasa Ruvuma nta JPM hjawahi kanyaga...Kuna changmoto nyingi mno...hsa za wakulima.....
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Atakuja kusherehekea miaka 200 ya Wabenediktini wa Peramiho.
 
Hili jambo lipo kk tunaliona sana na sio samia hata mwendazake aliyafanya haya
 
Ukijitenga na Kanda hi ni sawa na kutangaza kushindwa mbio za urais asubuhi saa nne.
Hamna kitu hapo unaweza hata kutopiga kampeni na bado ukawa raisi ikiwa
1.Tume yako
2.TISS unao
3.Polisi wako kwako
4.Mahakama upande wako
Haya yote Yule mwendazake aliyaelewa vizuri maana alichokifanya 2020 hata shetani alimshangaa.Na hapo sijaweka internet Jammer.
 
Ukweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.
Rais amekuwa wa mjini tuu hata vijijini hafiki.
 
Malalamiko sasa yamekuwa ni mengi.

Huko Kanda ya Magufuli kuna nini?

Kuna wananchi wengi zaidi kanda nyingne, na hata wakiwa wachache ao wanastahili ziara.

Chongolo na Shaka majuzi wangongana kufungua vyoo na masoko huko, kunani?
Rais mwenyewe ni wa dar,Dodoma mwanza ,chato na Zanzibar.....maybe anajua hiyo ndiyo tanzania
 
Kusini hawana jina linaloshahabiana na ng'ombe wewe ni Msukuma.

Kanda ya ziwa kuliwekezwa sana hivyo ni muhimu kwenda kuzindua miradi.
 
Usipende kufurahia ujinga. Nenda kwenye vitabu vya sensa halafu ujidharau kwa kuwa mwongo. Kanda ya ziwa ni 27% ya population ya Tanzania. Hiyo robo 3, sijui umeokota wapi!

Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m

TOTAL 17m.

Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.

Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.
Labda kama unaongelea vitabu vya sensa ya kipindi cha Ngoswe lakini Mwanza ina watu zaidi ya 4M
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Hivi kuna kitu huwa mnaridhika nacho?
 
Usipende kufurahia ujinga. Nenda kwenye vitabu vya sensa halafu ujidharau kwa kuwa mwongo. Kanda ya ziwa ni 27% ya population ya Tanzania. Hiyo robo 3, sijui umeokota wapi!

Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m

TOTAL 17m.

Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.

Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.
Na wewe punguza mihemko bwashee, sensa ni statistics kuna ÷ or -
Population ya Tanzania inaweza kuwa hata 70M lakini sensa ikaleta 62M. After all hiyo population ya 60+M siyo realistic na ndiyo maana Anna Makinda anapanga mikakati kwa niaba ya serikali 2022 tuje na takwimu mpya!
 
Back
Top Bottom