Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Ukweli uliopo upende usipende unapozungumzia Tanzania kisiasa unazungumzia kanda ya ziwa kwa maana ya mikoa ya Mara,Kagera, Shinyanga,Simiyu,Mara,Geita na Mwanza usipo pata kura za Mikoa hiyo nafasi ya Urais utaisikilizia kwenye bombs.pia robo 3 ya Watanzania wote wanaishi hiyo Mikoa.

Na wengineo Tena kwa wingi wako mikoa mingine
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Lazima akabembeleze huko kwa sababu Team Magu inatikisa.

Kusini mkitembelewa na Jenister Muhagama inatosha. Atawakilisha shida zenu kwa Rais. Hata hivyo hamna chaguo jingine ispokuwa CCM aka Samia na Jenister.
 
Usipende kufurahia ujinga. Nenda kwenye vitabu vya sensa halafu ujidharau kwa kuwa mwongo. Kanda ya ziwa ni 27% ya population ya Tanzania. Hiyo robo 3, sijui umeokota wapi!

Mwanza - 2.7m
Kigoma - 2.1m
Mara - 1.7m
Simiyu - 1.5m
Kagera - 2.4m
Geita - 2.3m
Tabora - 1.7m

TOTAL 17m.

Hivi 17m ni asilimia ngapi ya 62m? Msiwe mnakurupuka. Kanda ya Ziwa ina watu wengi lakini siyo wengi kiasi cha kuamua wao pekee yao nani awe kiongozi. Mgombea wa kiti cha urais akiweza kupata 50% ya kura zote za mikoa iliyobakia, atapata 22.5m votes, ambazo hata watu wa kanda ya ziwa wakimpa, hawezi kupata. Hiyo ni assumption kama watu wote including watoto, watapiga kura.

Watu wanajilisha ujinga eti kanda ya Ziwa pekee ina uwezo wa kuamua nani awe kiongozi Tanzania.

Mkuu unachobisha ni kipi hasa wakati takwimu zako.zinajieleza?
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Mna impact gani kwenye uchaguzi kama kanda ya ziwa?
Lazima ku neutralize la sivyo cdm itachukua kila kitu.
Ni maeneo matatu tu lazima azingatie
1. Sukuma gang (Kanda ya ziwa)
2. Kaskazini kwa machalii
3. Mbeya
Wengine mnaburuzika ki simpo tu
 
Kwingine kuna nini ? huu woga wa kura umetoka wapi? Iwapo mgombea yeyote wa CCM lazima ashinde hakuna haja ya kutafuta kura kwa watu ni kujipanga tu na Policcm habari kwisha. Tume inamuandalia matokeo kinachobaki kuapishwa.
Una uhakika?
 
Back
Top Bottom