Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Wengine hutoa pongezi mkuu, Ila pia wanao lalamika ni vema wakasikilizwa.Ukiwa Rais kila mtu anakupa lawama
Siyo kwamba anapenda lakini inabidi tu.Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Ndo uouoKiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Malalamiko sasa yamekuwa ni mengi.Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Kuna mzimu uliojichimbia zaidiSiyo kwamba anapenda lakini inabidi tu.