Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Hao 2.7 m ndo population ya Tabora.

Kapimwe haja kubwa kuepuka Corona ya Akili
 
Majaliwa kila leo yuko huko kwenu kusini kuangalia biashara yake ya korosho; sasa mnamtaka mama wa nini?
Kwetu ni Nyanda za Juu Kusini mkoa wa Songwe, hivyo hakuna uhusiano na Kusini ya Mtwara na Lindi.
 
Mwendazake alienda kusini ndo ikawa mwisho..na mwanzo...kusini ukikimbia nchale ukichimama nchale..
 
Sasa ubaya ni upi?
Anaelewa kanda ya ziwa kuna kura.
Kwingine kuna nini ? huu woga wa kura umetoka wapi? Iwapo mgombea yeyote wa CCM lazima ashinde hakuna haja ya kutafuta kura kwa watu ni kujipanga tu na Policcm habari kwisha. Tume inamuandalia matokeo kinachobaki kuapishwa.
 
Utawala wa Majimbo lazima upatikane ...hii imbalanced level of development haikubaliki...

Tuwe na Senator wetu au turuhusiwe kujitenga na linchi lao la kibaguzi....

Wametufanya watu wa kusini hamnazo...
 
Kwetu ni Nyanda za Juu Kusini mkoa wa Songwe, hivyo hakuna uhusiano na Kusini ya Mtwara na Lindi.
Akija huko Songwe atawasaidia nini kwani mbunge wenu MULUGO hatoshi! Anakwenda Mwanza sana kwasababu ndio ngome ya SUKUMA gang ambao ndio wapinzani wake wakubwa ndani ya ccm!!! Sasa nyinyi wamalila hamna hiyo push mnaburuzwa tu!!
 
hao mlokua mnawaita 'sukuma gang' labda wana jambo lao huko
 
Hangaya anajipanga 2025, keshanogewa huyoo....
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata ndo yaliyo ujaza moyo wako.
 
Moshi na korosho ni tatizo huko
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
 
Akija huko Songwe atawasaidia nini kwani mbunge wenu MULUGO hatoshi! Anakwenda Mwanza sana kwasababu ndio ngome ya SUKUMA gang ambao ndio wapinzani wake wakubwa ndani ya ccm!!! Sasa nyinyi wamalila hamna hiyo push mnaburuzwa tu!!
Labda nikukumbushe, sehemu ambayo dikteta Magufuli aliwahi kulia ni mkoa wa Songwe. Baada ya kumnunua Silinde aliona haitoshi akawafungulia kesi za mauaji viongozi wengi wa upinzani na hadi leo zaidi ya wapinzani 100 wapo mahabusu wakisubiri kesi zao!

Mkoa wa Songwe na hasa Tunduma wafanyabiashara wengine walihamishia biashara zao Zambia kwa sababu za kutuhumiwa kufadhili upinzani. Tunduma ndiyo sehemu ambayo dikteta Magufuli aliapa kutopeleka mradi wa maji kama watachagua wapinzani! Pamoja na vitisho vyote hivyo wananchi hawakujali na kumpuuza akaamua kupeleka kikosi cha FFU kuhakikisha hakuna mpinzani anatangazwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu.

Kwa hiyo mwambieni huyo Mama na Majaliwa hatuwataki na wala hatuwategemei katika harakati zetu za kijitafutia maendeleo!
 
Hivi wewe hapo tunduma upande wa Zambia kuna wafanya biashara wangapi wa maana? Umakaa tunduma wewe au unafanya biashara? Ujinga huu wa kuzusha taarifa zisizo na maana sijui unatokea wapi? Hapo upande wa nakonde kuna wafanya biashara wangapi? Maduka menyewe mangapi pale na ujue ni mchanganyiko wa wazambia na wabongo! Biashara ya maana ipo upande wa Tanzania! Yaani unawasikiliza wanasiasa wanakudanganya kuwa wafanyabiasha wa Tanzania upande wa tunduma walihamia nakonde upande wa Zambia! Hao labda wafanya magendo na biashara za magumashi! Mi nipo tunduma kila mara! Usiwadanganye watu hapa! Maduka ya maana hapo boarder yapo upande wa Tanzania miaka yote!
 
Upumbavu utakuisha lini? Kwa hiyo viongozi wako wanaowaomba wafanyabiashara warudi walikuwa wanaigiza wee malaya!
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
wewe roho inakuuma nini?
 
Wananchi walimpuuza dikiteta uchwara.
 
Utawala wa Majimbo lazima upatikane ...hii imbalanced level of development haikubaliki...

Tuwe na Senator wetu au turuhusiwe kujitenga na linchi lao la kibaguzi....

Wametufanya watu wa kusini hamnazo...
Kwani uongo mkuu?
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Huku Kanda ya Ziwa anajipendekeza tu kuja hatumtaki, kwanza anahujumu miradi ya ujenzi wa meli na kivuko cha Kigongo Ferry, miradi ya barabara haiendelei tena, mchukueni tu kama vipi maana hana baraka zozote bali ni nuksi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…