Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

Na wengineo Tena kwa wingi wako mikoa mingine
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Lazima akabembeleze huko kwa sababu Team Magu inatikisa.

Kusini mkitembelewa na Jenister Muhagama inatosha. Atawakilisha shida zenu kwa Rais. Hata hivyo hamna chaguo jingine ispokuwa CCM aka Samia na Jenister.
 
Mkuu unachobisha ni kipi hasa wakati takwimu zako.zinajieleza?
 
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.

Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa kipindi kileee ndio unamtia hofu?
Mna impact gani kwenye uchaguzi kama kanda ya ziwa?
Lazima ku neutralize la sivyo cdm itachukua kila kitu.
Ni maeneo matatu tu lazima azingatie
1. Sukuma gang (Kanda ya ziwa)
2. Kaskazini kwa machalii
3. Mbeya
Wengine mnaburuzika ki simpo tu
 
Kwingine kuna nini ? huu woga wa kura umetoka wapi? Iwapo mgombea yeyote wa CCM lazima ashinde hakuna haja ya kutafuta kura kwa watu ni kujipanga tu na Policcm habari kwisha. Tume inamuandalia matokeo kinachobaki kuapishwa.
Una uhakika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…