ππ Mkuu umemsahau na biayetuNaam, sasa amejionea atakua mfano bora kwa wengine humu.
Nakumbuka awamu ya jiwe kulikua kuna ID fulani anajiita Barbarosa , alikua anapiga watu mikwara dakika za mwishoni sana kabla jiwe hajafariki alibadili upepo kabisa sijui nini kilimkuta sijui alitupwa nje ya kazi au ni vipi .
Udhalimu hauna rangi, dini, kabila, wala chochote yoyote akiufanya kwa sauti kuu inabidi tumkemee bila kujali hata kama hujafanyiwa maana kuna siku ikifika umefanyiwa utaona namna gani wengine walipitia madhila kwa tawala dhalimu.
Aisee umenikumbusha huyo kilaza alikua na mikwara bila kumsahau Kawe Alumni.ππ Mkuu umemsahau na biayetu
Ulikuwa mtetezi wa dhalimu magu, bila kujua Samia alikuwa mwanafunzi wa dhalimu magu, na sasa mama kahitimu baada ya dhalimu kuelekea motoni. Acha waongee wengine kwenye ukatili, sio ww.Kwa nini?
ndie huyohuyoHuyu ni Etwege tunayemfahamu au Etwege feki?
Thubutu..Better late than never, msameheni kwa kuwa sasa amejitambua na yuko kwenye right track. Yuko upande unaopigania haki.
Let's not judge him kwa kuwa hakuna ushahidi wa hilo, let's give him the benefit of the doubt.Thubutu..
Huyu ana hasira za kupokonywa tonge mdomoni na awamu ya 6.