Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid
 
Nilijua tu utakua shabiki wa kati ya hizo timu, so siwezi kukuelimisha maana bado mnavidonda mioyoni
 
Kwa hizo stats Xavi ndio ataonekana the best

Ila kama unamjua Zizzou vizuri yule mtu moto wake Xavi arudi shule.
 
Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid
Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid

mwenzako fainali tatu mfululizo katupia goli 5 liverpool wanamjua, sevilla wanamjua, Boca juniors wanamjua. jumla ana goli 8 alizofunga fainali, huyu ndio pippo, ukiskia tu pippoooooo ujue tayari kitu kipo nyavuni.

'Messi & Ronaldo cannot touch my record' - Inzaghi - Goal.com

na huyu jamaa alikuwa ni super sub, ye anaanza nje baadae akitoka crespo au shevchenko ujue anaingia kuja kuwamaliza. alikua analijua goli vibaya mno.

siku Messi au Ronaldo akifikisha goli 8 za fainali njoo unishtue. na hapa nazungumzia zile fainali kubwa za continental au za kidunia usije ukaniletea sijui copa de la rey na ngao za hisani. maana hizo wanatupia nyingi nyingi.
 
NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Hujui unachokilinganisha mkuu,Zidane ana Balon D'or mbili na aliibeba Ufaransa mabegani kufanya yake.Nisiseme sana lakini hao wawili si wa kuwalinganisha..
 
Na siku Inzaghi akifikisha Ballon d'ior 5 uje unishtue kk
 
Na make stories short sasa....Messi yupo level za Maradona na Pele.....Xavi ni bora kuliko Zidane kwa kuangalia Statistics, kwahiyo ukiwa na Xavi kwenye Timu utapata faida Zaidi kuliko kuwa na Zidane....full stop.
 
Na make stories short sasa....Messi yupo level za Maradona na Pele.....Xavi ni bora kuliko Zidane kwa kuangalia Statistics, kwahiyo ukiwa na Xavi kwenye Timu utapata faida Zaidi kuliko kuwa na Zidane....full stop.
statistics zipi?
-xavi ana baloon d or ngapi?
-xavi ame dictate fainali ngapi?
-xavi kafikisha goli 144? (nimeeka link mtoa mada amedanganya idadi ya magoli ya zidane)
-xavi kawa player of tournament ngapi?
 
Zidane ana uwezo mkubwa sana, mercy hamfikii kabisa, wala ronaldo wa ureno.
enzi zake alikuwa anamfuata kwa nyuma ronadinyo...ambaye sijaona mpira mzuri kama wa yule jamaa hadi sasa.
 

Kama kuna mtu ameelezea kwa namna ambayo ni tamu na sahihi, wewe umemaliza.

Ile mechi ya 2006 kina Dinho wanavishwa kanzu na mzee sitakaa niisahau, ile timu ya Ufaransa ilimtegemea sana jamaa maana wenzake wote walikuwa wamechoka, hata kwenye makundi walivuka kama namba 2.
 
Ile mechi ukiangalia wachezaji Wa ufaransa walikuwa wakipata mpira hawaoni pa kupeleka maana wabrazil walikuwa mafundi ikawa wanampa zidane ndie anapandisha timu
 
swala la kuhama/kutokuhama ni pointless.Wangapi wamehama hama na hakuna kitu na wangapi wamebaki na timu moja na uwezo wao ulikuwa unakubalika dunia nzima
Muangalie Fabrigers,ameenda timu ngapi?uwezo wake ukoje?na hata akitoka pale atakuwa mzuri tu.Kuna watu wamefundishwa mpira ila kuna wengine wamezaliwa wachezaji tayari.One of them is Zizou!Mpaka sasa wachezaji wake Real madrid wanasema mazoezini huwa anafanya vitu wanashangaa wanajiuliza kwa nini alistaafu.Wachezaji wenzake wanasema alikuwa akipewa pasi katika mazingira mabaya kabisa ya kukasirisha wala hakasiriki anatengeneza mazingira anakupa wewe mpira ukiwa na mazingira mazuri.Ila yeye mwenyewe amesema sio bora kabisa kuna mchezaji anamtamani angefanana naye ambaye ni Paul Scholes.Xavi alisema anatamani angecheza timu moja na paul scholes lakini akawa anajua Scholes hawezi kuhama Man U na yeye Xavi havezi kuhama barcelona.Mchezaji mzuri anajionyesha hata akiwa anacheza kwenye timu mbovu,pale mchezaji mzuri huonekana.lakini mchezaji mbovu hana uwezo wa kufurukuta kwenye timu mbovu na hata timu akifungwa hawezi kubadilisha matokeo.Think think and Think.
 
Kwani xavi kachukua fifa player of the yr ngapi hadi alinganishwe na zizou?balldor ngapi?hapa tunazungumzia the most expensive player of his time agaist mchezaji ambae thamani yake haijulikani...
 
Umefunguka sana ndugu, obviously watakua wamekuelewa labda wabishi wakapimwe mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…