Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

messi ana UEFA 4 sio? hebu tuangalie mchango wake

-vs Arsena 2006 hapa ilikuwa kazi ya kina Dinyo itoe
-vs Man U 2009 alifunga goli dakika za mwisho ila kazi yote alifanya Etoo na goli la mapema.
vs Man u 2011 hapa kidogo nampa credit ila still bila goli lake barca wangeshinda vile vile
vs juventus kazi yote ilimalizwa na Neymar na Suarez

hivyo hakuna kitu exceptional useme dah bila messi barca walikuwa wanakufa au mechi barca walikamatwa messi kafunga etc.

yani kwa club level Inzaghi ni bora kuliko messi na ronaldo linapokuja suala la Finali.
Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid
 
Mimi ni mshabiki wa Man u, na mshabiki yoyote wa man u wa zamani kipindi zidane anacheza lazma hampendi zidane, na hii comment yako kuwa man u wanampenda zidane inaonesha umeanza juzi kushabikia mpira.

Man u ilikuwa akikutana tu na madrid ujue mashindano yanaishia hapo anatolewa, na zidane na mwenzie de lima ndio walikuwa nuksi, tofauti na Messi ambae alifunikwa na Hagreaves akawa haonekani kipindi man U wanawatoa Barca 2007/2008.
Nilijua tu utakua shabiki wa kati ya hizo timu, so siwezi kukuelimisha maana bado mnavidonda mioyoni
 
Kwa hizo stats Xavi ndio ataonekana the best

Ila kama unamjua Zizzou vizuri yule mtu moto wake Xavi arudi shule.
 
Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid
Hahahaahhahaahahaha Eeeeh Inzaghi ni bora kuliko Messi Fainali.....ngoja nikuache tu mkuu, na pia inaelekea wewe kama sio shabiki wa Man U basi Madrid

mwenzako fainali tatu mfululizo katupia goli 5 liverpool wanamjua, sevilla wanamjua, Boca juniors wanamjua. jumla ana goli 8 alizofunga fainali, huyu ndio pippo, ukiskia tu pippoooooo ujue tayari kitu kipo nyavuni.

'Messi & Ronaldo cannot touch my record' - Inzaghi - Goal.com

na huyu jamaa alikuwa ni super sub, ye anaanza nje baadae akitoka crespo au shevchenko ujue anaingia kuja kuwamaliza. alikua analijua goli vibaya mno.

siku Messi au Ronaldo akifikisha goli 8 za fainali njoo unishtue. na hapa nazungumzia zile fainali kubwa za continental au za kidunia usije ukaniletea sijui copa de la rey na ngao za hisani. maana hizo wanatupia nyingi nyingi.
 
NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!
Hujui unachokilinganisha mkuu,Zidane ana Balon D'or mbili na aliibeba Ufaransa mabegani kufanya yake.Nisiseme sana lakini hao wawili si wa kuwalinganisha..
 
mwenzako fainali tatu mfululizo katupia goli 5 liverpool wanamjua, sevilla wanamjua, Boca juniors wanamjua. jumla ana goli 8 alizofunga fainali, huyu ndio pippo, ukiskia tu pippoooooo ujue tayari kitu kipo nyavuni.

'Messi & Ronaldo cannot touch my record' - Inzaghi - Goal.com

na huyu jamaa alikuwa ni super sub, ye anaanza nje baadae akitoka crespo au shevchenko ujue anaingia kuja kuwamaliza. alikua analijua goli vibaya mno.

siku Messi au Ronaldo akifikisha goli 8 za fainali njoo unishtue. na hapa nazungumzia zile fainali kubwa za continental au za kidunia usije ukaniletea sijui copa de la rey na ngao za hisani. maana hizo wanatupia nyingi nyingi.
Na siku Inzaghi akifikisha Ballon d'ior 5 uje unishtue kk
 
Na make stories short sasa....Messi yupo level za Maradona na Pele.....Xavi ni bora kuliko Zidane kwa kuangalia Statistics, kwahiyo ukiwa na Xavi kwenye Timu utapata faida Zaidi kuliko kuwa na Zidane....full stop.
 
statistics zipi?
-xavi ana baloon d or ngapi?
-xavi ame dictate fainali ngapi?
-xavi kafikisha goli 144? (nimeeka link mtoa mada amedanganya idadi ya magoli ya zidane)
-xavi kawa player of tournament ngapi?
 
Zidane ana uwezo mkubwa sana, mercy hamfikii kabisa, wala ronaldo wa ureno.
enzi zake alikuwa anamfuata kwa nyuma ronadinyo...ambaye sijaona mpira mzuri kama wa yule jamaa hadi sasa.
 
Point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.

Kama kuna mtu ameelezea kwa namna ambayo ni tamu na sahihi, wewe umemaliza.

Ile mechi ya 2006 kina Dinho wanavishwa kanzu na mzee sitakaa niisahau, ile timu ya Ufaransa ilimtegemea sana jamaa maana wenzake wote walikuwa wamechoka, hata kwenye makundi walivuka kama namba 2.
 
Ile mechi ukiangalia wachezaji Wa ufaransa walikuwa wakipata mpira hawaoni pa kupeleka maana wabrazil walikuwa mafundi ikawa wanampa zidane ndie anapandisha timu
 
swala la kuhama/kutokuhama ni pointless.Wangapi wamehama hama na hakuna kitu na wangapi wamebaki na timu moja na uwezo wao ulikuwa unakubalika dunia nzima
Muangalie Fabrigers,ameenda timu ngapi?uwezo wake ukoje?na hata akitoka pale atakuwa mzuri tu.Kuna watu wamefundishwa mpira ila kuna wengine wamezaliwa wachezaji tayari.One of them is Zizou!Mpaka sasa wachezaji wake Real madrid wanasema mazoezini huwa anafanya vitu wanashangaa wanajiuliza kwa nini alistaafu.Wachezaji wenzake wanasema alikuwa akipewa pasi katika mazingira mabaya kabisa ya kukasirisha wala hakasiriki anatengeneza mazingira anakupa wewe mpira ukiwa na mazingira mazuri.Ila yeye mwenyewe amesema sio bora kabisa kuna mchezaji anamtamani angefanana naye ambaye ni Paul Scholes.Xavi alisema anatamani angecheza timu moja na paul scholes lakini akawa anajua Scholes hawezi kuhama Man U na yeye Xavi havezi kuhama barcelona.Mchezaji mzuri anajionyesha hata akiwa anacheza kwenye timu mbovu,pale mchezaji mzuri huonekana.lakini mchezaji mbovu hana uwezo wa kufurukuta kwenye timu mbovu na hata timu akifungwa hawezi kubadilisha matokeo.Think think and Think.
 
Kwani xavi kachukua fifa player of the yr ngapi hadi alinganishwe na zizou?balldor ngapi?hapa tunazungumzia the most expensive player of his time agaist mchezaji ambae thamani yake haijulikani...
 
unataka namba?

-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)

UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia

-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu

-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu

-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe

1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali

2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro

3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup

4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.

kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.

sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.

jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.

xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.

hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.

na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
Umefunguka sana ndugu, obviously watakua wamekuelewa labda wabishi wakapimwe mkojo
 
Back
Top Bottom