Poa tuangalie Xavi ana assist ngapi? Xavi ana magoli mangapi? Zizou ashawahi chukua tuzo ya player bora wa Euro? Xavi ana makombe mangapi ya carrier?Kwani xavi kachukua fifa player of the yr ngapi hadi alinganishwe na zizou?balldor ngapi?hapa tunazungumzia the most expensive player of his time agaist mchezaji ambae thamani yake haijulikani...
Kizazi cha miaka hii mnamatizo sana ukitaka kujua ubora wa Zizou angalia timu alizocheza na impact yake angalia kizazi tangu cha mwaka 1998 cha France hadi 2006 kacheza wachezaji wangapi na walishindwa kumfunika, Xavi alisaidiwa na kiungo kizuri cha Barca. Brazil, Portugal, Italy, wanamfahamu sana ZizouPoa tuangalie Xavi ana assist ngapi? Xavi ana magoli mangapi? Zizou ashawahi chukua tuzo ya player bora wa Euro? Xavi ana makombe mangapi ya carrier?
Na kizazi cha miaka ile mnamatatizo sana, hamtaki kukiri ukweli kuwa vijana wa saizi wamefunika players wa zamani...nadhani pia umeshuhudia utawala wa SPAIN kuanzia 2008 hadi 2014 muhimili ukiwa vijana wa catalunya safu ikiongozwa na XAVI MAESTRO.Kizazi cha miaka hii mnamatizo sana ukitaka kujua ubora wa Zizou angalia timu alizocheza na impact yake angalia kizazi tangu cha mwaka 1998 cha France hadi 2006 kacheza wachezaji wangapi na walishindwa kumfunika, Xavi alisaidiwa na kiungo kizuri cha Barca. Brazil, Portugal, Italy, wanamfahamu sana Zizou
mtoa mada hajaeka source na mimi nimeeka source so mimi niloeka source ni mbishi na huyo asie na source ndio tuamini?Statistics zishawekwa mwanzoni wa Uzi, sijajua unabisha nini.....kama unazako zilete hapa
mpira unachanganya mashabiki kuliko hata wachezaji wenyewe. vigezo vya ubora kwenye mpira hubadilika badilika ilimradi tu kumfaa anayetakiwa. leo dunia nzima inaamini ronaldo anaenda kuchukuwa ballon d'or mwakani kutokana na kuipatia timu yake CL,lakini mwaka 2008 iniesta alifanya zaidi ya hapo lakini bado akaishia kuwa nafasi ya tatu. Ubora wa mchezaji utabaki kuwa machoni mwa watizamaji tu lakini kwa wenzetu ni biashara. mie kwangu Messi ndio mchezaji bora kabisa tokea kuumbwa kwa dunia.
kwa maana hiyo Messi siyo bora kwasababu hajahama timu moja kwenda nyengineXavi wasnt better than Zizou,ubora unaonekana hata ukihama timu moja kwenda timu nyingine.Xavi ameenda timu ipi nyingine akaproove bado ni bora?Diego folan kuna Man U alichemsha.Angalia Claude makelele hata alipohama Real kwenda Chelsea alifanya kazi yake ile ile.Zizou was the best!
Ahame tumuone kama hajaomba kuja yanga!kwa maana hiyo Messi siyo bora kwasababu hajahama timu moja kwenda nyengine
hapo upo sahihi nimeconfirm hizo stats ila still haijajibu logic ya mwanzo ya umuhimu wa hayo magoli, mechi zote mbili za uefa ambazo messi amefunga toa magoli yako matokeo yanabaki vile vile Barcelona ameshinda. na ukiangalia record ya Messi ya magoli vs Record ya magoli fainali kubwa unaona kabisa fainali anadrop.Owk sawa mkuu hayo magoli 8 ya Inzaghi amejumlisha Uefa, Uefa super cup na Fifa club world cup....sasa hebu tumuangalie Messi
UEFA finals 2 goals
UEFA supercup 3 goals
Fifa Clubworldcup 4 goals
Total 9 goals, nadhani hoja ya Inzaghi tuizime hapa..
Pia ukitaka kuongeza
SuperCup 11 goals
Copa de larey 4 goals
So inshort Messi ana total of 24 goals in Finals....haya hebu mlete huyo Inzaghi wako, lakini naamini uliongea kwa mihemko
siyo kosa lako kumbe ni kosa la upeo wako.Ahame tumuone kama hajaomba kuja yanga!
Ahame tumuone kama hajaomba kuja yanga!
Msimuingize kiumbe kinachoitwa Lionel Andres Messi Cuccittini katika huu uzi maana mtakuwa mnajichumia dhambi za bure.
Unajua kila mtu na vitu anavyovikubali na anavyovikataa,me simkubali Messi mkuu tutashinda tunasumbuana,wewe umeanza kuangalia mpira mwaka gani?kila mchezaji na karne yake,mifumo na uchezaji na hata jezi zilikuwa tofauti na hata Messi akiondoka miaka hiyo utamtaja Messi watu watakushangaa.Angalia Maradona enzi zake,huwezi fananisha na wakati huu!au pele huwez fananisha na wakati huu!Wewe huna Upeo hata kidogo huwezi mfananisha Nabii suleiman na Ngurumo ya Upako.siyo kosa lako kumbe ni kosa la upeo wako.
Spain hiyo ingecheza worldcup ya 1994, 1998 au 2002 isingefika hata nusu fainali timu zilikuwa na wachezaji mahiri na wazuriNa kizazi cha miaka ile mnamatatizo sana, hamtaki kukiri ukweli kuwa vijana wa saizi wamefunika players wa zamani...nadhani pia umeshuhudia utawala wa SPAIN kuanzia 2008 hadi 2014 muhimili ukiwa vijana wa catalunya safu ikiongozwa na XAVI MAESTRO.
Hahahahha we jamaa unabadili gia angani so mchezo, na nimeona huna pointi.hapo upo sahihi nimeconfirm hizo stats ila still haijajibu logic ya mwanzo ya umuhimu wa hayo magoli, mechi zote mbili za uefa ambazo messi amefunga toa magoli yako matokeo yanabaki vile vile Barcelona ameshinda. na ukiangalia record ya Messi ya magoli vs Record ya magoli fainali kubwa unaona kabisa fainali anadrop.
Uefa fainali 4
kimataifa fainali 4
jumla fainali 8 goli 2 tena zisizoamua mechi,
Tofauti na Pippo, toa goli 2 za pippo 2007 na liverpool mechi ya 2-1,
angalia fainali alizocheza Pippo utaona nyingi anaziamua yeye.
Una wazimu ww ... kuhama timu sio lazma ... hao waliohama walikuwa na sabab zao na wala sio eti wakaonekane bora .... CR7 kama angeanzia soka madrid hakika man u wangemsikia tu kwnye bomba ... ila aliondoka man u kwasabab madrid walmtaka ... man u wanamtaka sana nw , ila hawez ondoka madrid eti kwasabab man u wanamtaka ... unangalia na timu unayoenda na unayotoka ... sas kwamfano CR7 akafate nn man u saivi ????Xavi wasnt better than Zizou,ubora unaonekana hata ukihama timu moja kwenda timu nyingine.Xavi ameenda timu ipi nyingine akaproove bado ni bora?Diego folan kuna Man U alichemsha.Angalia Claude makelele hata alipohama Real kwenda Chelsea alifanya kazi yake ile ile.Zizou was the best!
Hahahahahahahaha una matatizo wewe sio bure....Spain hiyo ingecheza worldcup ya 1994, 1998 au 2002 isingefika hata nusu fainali timu zilikuwa na wachezaji mahiri na wazuri