Hahahahahaha we ndo bure kabisa....kwa kizazi hicho kwahiyo Maradona si kitu? Johan Cruyff si kitu? Delima si kitu? Najua hiyo ni mihemko tukwa kizazi chetu cha 80`s hatutokaa tumuone mchezaji mwingine ka ZIZOU,acheni kumlinganisha ZIDANE na vitu vya kijinga,hasa kama umewahi kumwona anvyochezea ngozi ya ng`ombe ila kama umesimuliwa tu hauwezi kutuelewa hapa tunachomaanisha...
acha kukurupuka kukuandikia kizazi cha 80`s means hadi wakati zidane yupo kwenye peack yake watu waliozaliwa kipindi hicho walikuwa wana akili timamu so wanaelewa alichokifanya zidane katika soka,kilaza we!Hahahahahaha we ndo bure kabisa....kwa kizazi hicho kwahiyo Maradona si kitu? Johan Cruyff si kitu? Delima si kitu? Najua hiyo ni mihemko tu
Kwahyo point yako ya kumsupport zidane ni kuhama timu au sio ..... rekebisha hapo kwanza au utuambie kwamba zidane ni bora kwasabab kahama(tuthibitishe ujinga wako) ndio tuendelee ... NI HOJA YA KIJINGA HYO NA IMENIKWAZA SANA YAN .
Umesahau pale Wembley fainal kati ya barca na man uMmmh,Embu niambie vitu gani Xavi kafanya akiwa uwanjani ambavyo Zizou hajafanya, Ila kuna vitu kibao ambavyo Zizou kafanya tena kwenye biggest games ambavyo Xavi can only dream,Zidane was Magical bwana
umekunywa chai mkuu?Hakuna wachezaji siku hizi. Ni matangazo ya biashara tu. Huyo mess km ni bora Mbona hajawahi twaa kombe la dunia? Mbona timu yake inachechemea kuingia kombe la dunia kule urudi? Na huenda Argentina mwaka huu tukaikosa kombe la dunia. Messi km ni mchezaji bora ahamie timu nyingine tumuone na Huko. Zidane. De Lima .dino Beckham na wengineo ktk enzi za zozuo Kwa sasa hawapo tena. Waliopo ni matangazo tu.
Punguza gongoUlianza kuongea vizuri Ila ulipo anza kumlinganisha Na MESSI hapo ndo umepotea kabisa, Zizou hajafikia hata robo ya MeSSi
Ovaunataka namba?
-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)
UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia
-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu
-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu
-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe
1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali
2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro
3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup
4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.
kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.
sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.
jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.
xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.
hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.
na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc
kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
Uchambuz halis,big up bro
Xavi anaweza kuwa kawazidi viungo wengi ki takwimu lkn sio ubora,kwani ronaldinho unamsimamishaje mbele ya CR7 kitakwimu?lkn leo hii ukiwashindanisha hapa asilimia kubwa ya koment zitaangukia kwa ronaldinho lkn takwimu za CR7 zinatisha balaaUbora wa zizzou Zaidi ya Xavi sijui una maananisha nini? Maana hizo statistics zinaonesha kuwa Xavi yupo juu ya Zidane.
Yah huu n ukweli kabisa jamaa ameacha alama kubwa ya mpira kuliko xaviExactly my point, pia impact anayosababisha mtu kwa fans, followers ni kubwa zaidi, Zizzou ka-inspire wengi kuupenda mpira, hata ambao siyo washabiki wa mpira wanamjua Zizzou, Xavi ni mpaka uwe mshabiki kumfahamu.
We jamaa unajua mpira tatizo wengi wao humu hawajawahi mshuhudia zizou wanamuona tu youtube halaf wanakuja kuwalinganisha na watu ambao ni wa kawaida sanaunataka namba?
-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)
UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia
-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu
-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu
-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe
1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali
2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro
3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup
4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.
kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.
sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.
jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.
xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.
hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.
na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc
kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
Hapana. Zaidi ya huo unaouita upuuzi, pia tuangalie kikosi kilichomjumuisha Xavi na kile kilichomjumuisha Zizou.Comparison ya Kipuuzi iyo