Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

kwa kizazi chetu cha 80`s hatutokaa tumuone mchezaji mwingine ka ZIZOU,acheni kumlinganisha ZIDANE na vitu vya kijinga,hasa kama umewahi kumwona anvyochezea ngozi ya ng`ombe ila kama umesimuliwa tu hauwezi kutuelewa hapa tunachomaanisha...
Hahahahahaha we ndo bure kabisa....kwa kizazi hicho kwahiyo Maradona si kitu? Johan Cruyff si kitu? Delima si kitu? Najua hiyo ni mihemko tu
 
Hahahahahaha we ndo bure kabisa....kwa kizazi hicho kwahiyo Maradona si kitu? Johan Cruyff si kitu? Delima si kitu? Najua hiyo ni mihemko tu
acha kukurupuka kukuandikia kizazi cha 80`s means hadi wakati zidane yupo kwenye peack yake watu waliozaliwa kipindi hicho walikuwa wana akili timamu so wanaelewa alichokifanya zidane katika soka,kilaza we!
 
Mmmh,Embu niambie vitu gani Xavi kafanya akiwa uwanjani ambavyo Zizou hajafanya, Ila kuna vitu kibao ambavyo Zizou kafanya tena kwenye biggest games ambavyo Xavi can only dream,Zidane was Magical bwana
Umesahau pale Wembley fainal kati ya barca na man u
Ferguson akicheza kiduku huku ameketi kwa kiti
 
Hakuna wachezaji siku hizi. Ni matangazo ya biashara tu. Huyo mess km ni bora Mbona hajawahi twaa kombe la dunia? Mbona timu yake inachechemea kuingia kombe la dunia kule urudi? Na huenda Argentina mwaka huu tukaikosa kombe la dunia. Messi km ni mchezaji bora ahamie timu nyingine tumuone na Huko. Zidane. De Lima .dino Beckham na wengineo ktk enzi za zozuo Kwa sasa hawapo tena. Waliopo ni matangazo tu.
 
umekunywa chai mkuu?
 
Bora ungekuja na kusema nani alikuwa bora kati ya Xavi na Scholes sio hii Comparison uliyoweka hapa Xavi ajawahi kuwa level za Zidane at a yeye mwenyewe anajua ilo..
 
Zizzou bado analidai soka sawa na mwafrika mwenzetu JJ okochocha walivyomunyanyapaa wazungu wanafitina sana
 
unataka namba?

-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)

UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia

-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu

-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu

-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe

1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali

2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro

3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup

4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.

kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.

sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.

jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.

xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.

hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.

na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
Ova
 
Ubora wa zizzou Zaidi ya Xavi sijui una maananisha nini? Maana hizo statistics zinaonesha kuwa Xavi yupo juu ya Zidane.
Xavi anaweza kuwa kawazidi viungo wengi ki takwimu lkn sio ubora,kwani ronaldinho unamsimamishaje mbele ya CR7 kitakwimu?lkn leo hii ukiwashindanisha hapa asilimia kubwa ya koment zitaangukia kwa ronaldinho lkn takwimu za CR7 zinatisha balaa
 
Exactly my point, pia impact anayosababisha mtu kwa fans, followers ni kubwa zaidi, Zizzou ka-inspire wengi kuupenda mpira, hata ambao siyo washabiki wa mpira wanamjua Zizzou, Xavi ni mpaka uwe mshabiki kumfahamu.
Yah huu n ukweli kabisa jamaa ameacha alama kubwa ya mpira kuliko xavi
 
unataka namba?

-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)

UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia

-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu

-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu

-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe

1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali

2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro

3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup

4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.

kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.

sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.

jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.

xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.

hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.

na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
We jamaa unajua mpira tatizo wengi wao humu hawajawahi mshuhudia zizou wanamuona tu youtube halaf wanakuja kuwalinganisha na watu ambao ni wa kawaida sana
 
Comparison ya Kipuuzi iyo
Hapana. Zaidi ya huo unaouita upuuzi, pia tuangalie kikosi kilichomjumuisha Xavi na kile kilichomjumuisha Zizou.

Karibu wachezaji 8 wa kikosi alichokichezea Xavi walikuwa wote tangu academy wakiwa wadogo, wameendelea kucheza wakiwa pamoja miaka mingi, hali hiyo ni tofauti sana kwenda kucheza na watu ambao ndo pengine unakutana nao kwa mara ya kwanza, uivae pattern na majukumu ya mwalimu.

Barca kwa muda mrefu haikuitaji mwalimu, uongozi tu ungetosha...hata kapteni angeweza!

Refer kikosi cha Spain kilichobeba Euro na World cup chini ya Vicente Del Bosque, utaelewa alichofanya kocha ni kuita wachezaji tu, mengine yalitokana na muda walioishi(wachezaji) pamoja kisoka.

Na hiyi ndio bahati aliyoipata Xavi, Messi na wengineo...
 
Takwimu ziko kwa xavi, ila kwa soka alilodananda zizzou.. zizzou ni bora zaid... Bonge la player itachukua muda kumpata mbadala wake.
 
Back
Top Bottom