Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

Kaongea ukweli zidane alibebwa zaidi na uwezo binafsi wa wachezaji midfielder ina casemiro, modric, kroos, front three kuna bale, ronaldo, benzema kule mbavu ya kushoto kuna marcelo kati wanamaliza varane na ramos halafu wote hao wapo form
Hivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basi
 
kwa hali kama hiyo kuna kocha asiebebwa na wachezaji? bila ya Halland, KDB na Bernando Pep angewezaje kubeba Champion league Man City? tufanye kwa mfano tu angelikuwa na Rashford na Fred
 
kwa hali kama hiyo kuna kocha asiebebwa na wachezaji? bila ya Halland, KDB na Bernando Pep angewezaje kubeba Champion league Man City? tufanye kwa mfano tu angelikuwa na Rashford na Fred
Hajui mpira huyo anaongea pumba eti kabebwa na wachezaji Sasa anataka zidane aingie yeye acheze uwanjani
 
kwa hali kama hiyo kuna kocha asiebebwa na wachezaji? bila ya Halland, KDB na Bernando Pep angewezaje kubeba Champion league Man City? tufanye kwa mfano tu angelikuwa na Rashford na Fred
Yes uwezo wa juu wa wachezaji ni moja ya njia ya kumrahisishia kazi kocha, gadiora kila anapoenda anakuta wachezaji wqzuri na lazima umuandalie fungu kubwa la kufanya usajiri kama angekaa na timu moja labda kwa miaka 8 apitie ups and downs kama wakina wenger basi gadiora asengeweza kuwa homa ya ulaya miaka nenda rudi. Ila kuna makocha wanafanya maajabu wakiwa na timu za kawaida tu mfano emery unai kaipeleka uefa aston villa
 
Una maanisha nini kusema kima ajabu ajabu?
Magoli wanapata katika hali fulani hauelewi hata move imefanyika vipi, ukirudisha muda sekunde 7 nyuma kabla ya goli kufungwa hauwezi ukafikiri kama watapata goli imepigwa tu haujui vini katokea wapi kafunga angalia, magoli yao dhidi ya man city na bayern munich
 
Yes uwezo wa juu wa wachezaji ni moja ya njia ya kumrahisishia kazi kocha, gadiora kila anapoenda anakuta wachezaji wqzuri na lazima umuandalie fungu kubwa la kufanya usajiri kama angekaa na timu moja labda kwa miaka 8 apitie ups and downs kama wakina wenger basi gadiora asengeweza kuwa homa ya ulaya miaka nenda rudi. Ila kuna makocha wanafanya maajabu wakiwa na timu za kawaida tu mfano emery unai kaipeleka uefa aston villa
Umeshawahi kuwa kocha mzee hata wa ndondo tu
 
Nadhani ni vizuri tumpe heshima yake. Wqjua alirudi Real Madrid mara ya pili kwa kuokoa jahazi? Alikuta timu ishapoteana, kisha akachukua nayo ubingwa.

Maneno ya hivi yalisemwa kwa Pep pia, akidaiwa kubebwa na Messi, ila kila alikoenda alizitawala ligi na kupata mafanikio.

Tumheshimu Zidane mkuu.

Ova
Yap zizu apewe maua yake pamoja na kuwa na wachezaji wazuri utahitaji style ya kucheza, utahitaji kuwa na ushawishi wa kufanya wafuate maelekezo yako. Ingawa ball lale lilikua halieweki lakini apewe maua yake
 
Kua hueleweki pia ni mbinu iyo kwenye mpira kwani humuoni don carlo akifungwa dakika za mwisho lazima afanye sub na sub zake lazima zizae matunda
Zidane bado hajanishawishi kwa kweli ila kwa don carlo nakubali yule ni kinyonga, ndio maana hata kuwafunga wale jamaa imekua ngumu haujui watakujaje haujui kama wameipooza game au wanatafuta ushindi yaani nimeangalia game za reak madrid lakini mpaka msimu unaisha sijajua wale jamaa wanatumia style gani ya uchezaji. Wanamiliki mpira?, wanacheza kaunta attack?, wanafanya pressing? yaani sijaelewa kabisa style yao ya uchezaji ni ipi Carlo apewe maua yake
 
Hivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basi
Hapo ambae hajabeba uefa ni ronaldo de lima. Makelele, zidane, carlos, figo na raul wamebeba uefa wakiwa real madrid. Uyo beckham alisajiriwa badae wakiwa wameanza kufanya usajiri wa show-off bila kuangalia mahitaji ya timu na ndipo madrid ikaanza kuyumba mpaka miaka ya mbele walivyompa timu mourinho ndio akairudisha kwenye mstari, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinho.
 
Hawa ndiyo Makocha waliopita Real Madrid bila kupata mafanikio Kama ya Zidane
1. Ben Schuster
2. Fabio Cappelo
3.Jose Mourinho
4. Juan De Ramos
5. Manuel Pellegrino
6. Santiago Solari
7. Vicente Del Bosque
Vicente De Bosque mtoe hapo,huyu aliipa sana mafanikio Madrid na kubeba UEFA mbili + La liga etc..huyo Zidane hamkuti kabisa,Vicente level za Carlo Ancelotti..Big and successful Coach.
 
Back
Top Bottom