Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

Hapo ambae hajabeba uefa ni ronaldo de lima. Makelele, zidane, carlos, figo na raul wamebeba uefa wakiwa real madrid. Uyo beckham alisajiriwa badae wakiwa wameanza kufanya usajiri wa show-off bila kuangalia mahitaji ya timu na ndipo madrid ikaanza kuyumba mpaka miaka ya mbele walivyompa timu mourinho ndio akairudisha kwenye mstari, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinho.
Sure,na miaka ya .mafanikio ya akina Raul,Carlos etc,kwenye touchline alikua mtaalam Vicente Del Bosque
 
Hivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basi
Mpaka kufikia 2007 ni raul na beckham tu ndio wulikua kwenye timu. Zidane alikua ashastaafu hao wengine wote hawakuwepo kwenye timu. Hata ivyo hapo ambae hajabeba uefa akiwa real madrid ni ronaldo de lima tu na beckam ambae alisajiriwa kipindi timu imeaanza kufanya usajiri wa show-offs badala ya kuangalia mahitaji ya timu na ndio kipindi ambacho madrid ilianza kuyumba mpaka alivyokuja mourinho akaifufua, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinho
 
Kocha

Hiyo timu uliyofundisha naona ilikua na wachezaji vichaa na ilishika mkia
Uzuri ni kwamba pamoja na kunitolea lugha chafu ila mwishoe nachokisema huwa naku-prove wrong. Mkeka wako ulioomba ushauri ili uweke 900k nilikuambia wazi kabisa mkeka unachanika kati ya man u na dortmund ambao umewanyima kombe kuna mmoja anaalibu shughuli kwa sababu game za fainali watu wanapambana kufa na kupona sio za kuzichukulia poa, ukaishia kunitukania mama yangu na wala sikujibu matusi yako, haya sasa man u kafanya nini juzi? Kuepusha aibu ya kuwatolea watu lugha mbovu naona umeedit ule uzi wako.Hata hili tuombe uzima tu zizu atapewa timu tutaona atakachokifanya tutarudi tena hapa.
 
Sometimes takwimu haziakisi uhalisia. Ukiangalia sana takwimu unaweza kuhitimisha mjadala kwa kusema kwamba de bryne ni zaidi ya alivyokua zidane enzi anacheza mpira
Namba hazidanganyi, mafanikio ya mpira wa miguu yanabebwa na vikombe na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo ni wazi zidane ni bora ulaya kuzidi Arteta.
 
Namba hazidanganyi, mafanikio ya mpira wa miguu yanabebwa na vikombe na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo ni wazi zidane ni bora ulaya kuzidi Arteta.
Hakuna sehemu nimesema arteta ni zaidi ya zidane hata ivyo sometimes namba haziakisi uhalisia mkuu, kuna mambo ambayo hayawekeki kwenye namba. Tukiangalia namba tunaweza kufika hitimisho kwamba de bryne ni zaidi ya zidane kipindi anacheza mpira.
 
Hakuna sehemu nimesema arteta ni zaidi ya zidane hata ivyo sometimes namba haziakisi uhalisia mkuu, kuna mambo ambayo hayawekeki kwenye namba. Tukiangalia namba tunaweza kufika hitimisho kwamba de bryne ni zaidi ya zidane kipindi anacheza mpira.
Bado nasimama na takwimu. Zidane ni mzuri ndio maana anavyo vikombe.
 
Ndio maana.
downloadfile-4.jpg
 
View attachment 3000119

Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua makombe ya UEFA back to back kwasababu tu ya uwepo wa CR7 akiwa kwenye peak yake na aina wachezaji waliopo madrid,

Na ndomaana mpaka sasa hana timu tangu kaondoka Real madrid hakuna timu iliyompa ofa kwasababu wameangalia aina ya mpira wake ni wa kizamani sana na ni kocha wa mbinu moja tu kitu ambacho modern football haitaki kwa sasa,

Kuna mtu atasema mbona aliweza kubeba makombe ya Uefa back to back akiwa madrid ? Jibu ninalo weza kukupa ni kwamba Madrid ni aina ya Timu ambayo unaweza mchukua hata Peter Msechu tukamvalisha suti na Tai ndefu na kumkabidhi timu na akabeba Makombe kama hana akili nzuri,

Siku zidane akipata kazi nje ya klabu ya madrid mtakumbuka maneno yangu huyu kocha hatokuja kubeba tena kombe la Uefa akifundisha timu nyingne tofauti na Wafalme wa Soka duniani Real madrid.
Na madrid asingechukua makombe chini yake ungesemaje?
 
Samahani Kaka we Haujui boli na hautofika mbali Kwa uchambuzi wa kibaguzi namna Hii.

Et Peter msechu.

Madrid ilikosa uefa kuanzia 2002 mpaka 2014 Tuseme hapakua na makocha Aina ya msechu sio?

Au kulikua hamna Wachezaji wenye Uwezo Binafsi?

Nje ya Uefa Zidane hajachukua makombe mengine kama la liga?

Kaondoka akiwa unbeaten camp nou na nyumbani Kwa Atlético Madrid vyote hivyo aliifanya kimsechu msechu sio?

Mournho mkali wako wa Mbinu alikua na Ronaldo, Rooben, benzema, Ramos, Alonso, khedira na mastaa Wengine kibao Ila alidunda Kwa Buyern Munich vipi alipofika Zidane alichowafanya?
 
Kwani Madrid ya sasa Doni Carlo anatumia Falsafa gani?

Hujui kwamba kuna Falsafa ya Timu na Falsafa ya kocha.

Ili ufanikiwe Madrid fuata Falsafa yao sio ulete zako.

Mpira huo usioleweka ndio Falsafa ya Madrid sasa.😀
Zidane alikua anatumia falsafa gani?
 
Back
Top Bottom