Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hujui mpira wewe yaani kutoeleweka Kwa Madrid ndio mfumo wenyewe huo naona kama hujielewiYap wanashinda sema mpira wanaocheza haueleweki yaani hata man city na bayern munich waliwatoa kimaajabu ajabu tu
Hivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basiKaongea ukweli zidane alibebwa zaidi na uwezo binafsi wa wachezaji midfielder ina casemiro, modric, kroos, front three kuna bale, ronaldo, benzema kule mbavu ya kushoto kuna marcelo kati wanamaliza varane na ramos halafu wote hao wapo form
Yap wanashinda sema mpira wanaocheza haueleweki yaani hata man city na bayern munich waliwatoa kimaajabu ajabu tu
Hawa ndiyo Makocha waliopita Real Madrid bila kupata mafanikio Kama ya Zidane
1. Ben Schuster
2. Fabio Cappelo
3.Jose Mourinho
4. Juan De Ramos
5. Manuel Pellegrino
6. Santiago Solari
7. Vicente Del Bosque
Una maanisha nini kusema kima ajabu ajabu?Yap wanashinda sema mpira wanaocheza haueleweki yaani hata man city na bayern munich waliwatoa kimaajabu ajabu tu
Kaongea ukweli zidane alibebwa zaidi na uwezo binafsi wa wachezaji midfielder ina casemiro, modric, kroos, front three kuna bale, ronaldo, benzema kule mbavu ya kushoto kuna marcelo kati wanamaliza varane na ramos halafu wote hao wapo form
Hajui mpira huyo anaongea pumba eti kabebwa na wachezaji Sasa anataka zidane aingie yeye acheze uwanjanikwa hali kama hiyo kuna kocha asiebebwa na wachezaji? bila ya Halland, KDB na Bernando Pep angewezaje kubeba Champion league Man City? tufanye kwa mfano tu angelikuwa na Rashford na Fred
Yes uwezo wa juu wa wachezaji ni moja ya njia ya kumrahisishia kazi kocha, gadiora kila anapoenda anakuta wachezaji wqzuri na lazima umuandalie fungu kubwa la kufanya usajiri kama angekaa na timu moja labda kwa miaka 8 apitie ups and downs kama wakina wenger basi gadiora asengeweza kuwa homa ya ulaya miaka nenda rudi. Ila kuna makocha wanafanya maajabu wakiwa na timu za kawaida tu mfano emery unai kaipeleka uefa aston villakwa hali kama hiyo kuna kocha asiebebwa na wachezaji? bila ya Halland, KDB na Bernando Pep angewezaje kubeba Champion league Man City? tufanye kwa mfano tu angelikuwa na Rashford na Fred
Magoli wanapata katika hali fulani hauelewi hata move imefanyika vipi, ukirudisha muda sekunde 7 nyuma kabla ya goli kufungwa hauwezi ukafikiri kama watapata goli imepigwa tu haujui vini katokea wapi kafunga angalia, magoli yao dhidi ya man city na bayern munichUna maanisha nini kusema kima ajabu ajabu?
Najua hatuwezi kuelewana kwa sababu wewe ni shabiki wa real madrid, huyu napenda majadiliano na watu ambao wapo neutral. Asante kwa ku-reply comment yangu.wewe bado huielewi football,
Umeshawahi kuwa kocha mzee hata wa ndondo tuYes uwezo wa juu wa wachezaji ni moja ya njia ya kumrahisishia kazi kocha, gadiora kila anapoenda anakuta wachezaji wqzuri na lazima umuandalie fungu kubwa la kufanya usajiri kama angekaa na timu moja labda kwa miaka 8 apitie ups and downs kama wakina wenger basi gadiora asengeweza kuwa homa ya ulaya miaka nenda rudi. Ila kuna makocha wanafanya maajabu wakiwa na timu za kawaida tu mfano emery unai kaipeleka uefa aston villa
Yap zizu apewe maua yake pamoja na kuwa na wachezaji wazuri utahitaji style ya kucheza, utahitaji kuwa na ushawishi wa kufanya wafuate maelekezo yako. Ingawa ball lale lilikua halieweki lakini apewe maua yakeNadhani ni vizuri tumpe heshima yake. Wqjua alirudi Real Madrid mara ya pili kwa kuokoa jahazi? Alikuta timu ishapoteana, kisha akachukua nayo ubingwa.
Maneno ya hivi yalisemwa kwa Pep pia, akidaiwa kubebwa na Messi, ila kila alikoenda alizitawala ligi na kupata mafanikio.
Tumheshimu Zidane mkuu.
Ova
Zidane bado hajanishawishi kwa kweli ila kwa don carlo nakubali yule ni kinyonga, ndio maana hata kuwafunga wale jamaa imekua ngumu haujui watakujaje haujui kama wameipooza game au wanatafuta ushindi yaani nimeangalia game za reak madrid lakini mpaka msimu unaisha sijajua wale jamaa wanatumia style gani ya uchezaji. Wanamiliki mpira?, wanacheza kaunta attack?, wanafanya pressing? yaani sijaelewa kabisa style yao ya uchezaji ni ipi Carlo apewe maua yakeKua hueleweki pia ni mbinu iyo kwenye mpira kwani humuoni don carlo akifungwa dakika za mwisho lazima afanye sub na sub zake lazima zizae matunda
Sometimes takwimu haziakisi uhalisia. Ukiangalia sana takwimu unaweza kuhitimisha mjadala kwa kusema kwamba de bryne ni zaidi ya alivyokua zidane enzi anacheza mpiraTakwimu zinambeba anastahili heshima
Ndio nishawahiUmeshawahi kuwa kocha mzee hata wa ndondo tu
Mimi nipo open mdogo angu napenda mtu anaenikosoa kwa fact. Lugha zako unazotumia kwa wale ambao umetofautiana nao mawazo sio lugha nzuri jitahidi kujirekebisha, kuna watu wenye umri sawa na baba yako humu.Hujui mpira wewe yaani kutoeleweka Kwa Madrid ndio mfumo wenyewe huo naona kama hujielewi
KochaNdio nishawahi
Hiyo timu uliyofundisha naona ilikua na wachezaji vichaa na ilishika mkiaNdio nishawahi
Hapo ambae hajabeba uefa ni ronaldo de lima. Makelele, zidane, carlos, figo na raul wamebeba uefa wakiwa real madrid. Uyo beckham alisajiriwa badae wakiwa wameanza kufanya usajiri wa show-off bila kuangalia mahitaji ya timu na ndipo madrid ikaanza kuyumba mpaka miaka ya mbele walivyompa timu mourinho ndio akairudisha kwenye mstari, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinho.Hivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basi
Vicente De Bosque mtoe hapo,huyu aliipa sana mafanikio Madrid na kubeba UEFA mbili + La liga etc..huyo Zidane hamkuti kabisa,Vicente level za Carlo Ancelotti..Big and successful Coach.Hawa ndiyo Makocha waliopita Real Madrid bila kupata mafanikio Kama ya Zidane
1. Ben Schuster
2. Fabio Cappelo
3.Jose Mourinho
4. Juan De Ramos
5. Manuel Pellegrino
6. Santiago Solari
7. Vicente Del Bosque