Sure,na miaka ya .mafanikio ya akina Raul,Carlos etc,kwenye touchline alikua mtaalam Vicente Del BosqueHapo ambae hajabeba uefa ni ronaldo de lima. Makelele, zidane, carlos, figo na raul wamebeba uefa wakiwa real madrid. Uyo beckham alisajiriwa badae wakiwa wameanza kufanya usajiri wa show-off bila kuangalia mahitaji ya timu na ndipo madrid ikaanza kuyumba mpaka miaka ya mbele walivyompa timu mourinho ndio akairudisha kwenye mstari, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinho.
Mpaka kufikia 2007 ni raul na beckham tu ndio wulikua kwenye timu. Zidane alikua ashastaafu hao wengine wote hawakuwepo kwenye timu. Hata ivyo hapo ambae hajabeba uefa akiwa real madrid ni ronaldo de lima tu na beckam ambae alisajiriwa kipindi timu imeaanza kufanya usajiri wa show-offs badala ya kuangalia mahitaji ya timu na ndio kipindi ambacho madrid ilianza kuyumba mpaka alivyokuja mourinho akaifufua, makocha waliofuata walitembelea misingi ambayo imesimikwa na mourinhoHivi kuna Madrid ilikua na watu kama ile ya 2007-2010? Ronaldo, Figo, Zidane, Beckham, R. Carlos, Raul, Makelele na bado hawakubeba UEFA kua na heshima basi
HahahaHata hii ya anjeloti haijulikani wanacheza mpira gani unashangaa tu rodrigo katoka kusikojulikana kafunga mara mpira umezagaa zagaa tu ndani ya 18 ujui bellingham katokea wapi kafunga.
Uzuri ni kwamba pamoja na kunitolea lugha chafu ila mwishoe nachokisema huwa naku-prove wrong. Mkeka wako ulioomba ushauri ili uweke 900k nilikuambia wazi kabisa mkeka unachanika kati ya man u na dortmund ambao umewanyima kombe kuna mmoja anaalibu shughuli kwa sababu game za fainali watu wanapambana kufa na kupona sio za kuzichukulia poa, ukaishia kunitukania mama yangu na wala sikujibu matusi yako, haya sasa man u kafanya nini juzi? Kuepusha aibu ya kuwatolea watu lugha mbovu naona umeedit ule uzi wako.Hata hili tuombe uzima tu zizu atapewa timu tutaona atakachokifanya tutarudi tena hapa.Kocha
Hiyo timu uliyofundisha naona ilikua na wachezaji vichaa na ilishika mkia
Na Santiago SolariBila ya kumsahau Rafael Benitez
Namba hazidanganyi, mafanikio ya mpira wa miguu yanabebwa na vikombe na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo ni wazi zidane ni bora ulaya kuzidi Arteta.Sometimes takwimu haziakisi uhalisia. Ukiangalia sana takwimu unaweza kuhitimisha mjadala kwa kusema kwamba de bryne ni zaidi ya alivyokua zidane enzi anacheza mpira
Hakuna sehemu nimesema arteta ni zaidi ya zidane hata ivyo sometimes namba haziakisi uhalisia mkuu, kuna mambo ambayo hayawekeki kwenye namba. Tukiangalia namba tunaweza kufika hitimisho kwamba de bryne ni zaidi ya zidane kipindi anacheza mpira.Namba hazidanganyi, mafanikio ya mpira wa miguu yanabebwa na vikombe na sio vinginevyo. Kwa mantiki hiyo ni wazi zidane ni bora ulaya kuzidi Arteta.
Bado nasimama na takwimu. Zidane ni mzuri ndio maana anavyo vikombe.Hakuna sehemu nimesema arteta ni zaidi ya zidane hata ivyo sometimes namba haziakisi uhalisia mkuu, kuna mambo ambayo hayawekeki kwenye namba. Tukiangalia namba tunaweza kufika hitimisho kwamba de bryne ni zaidi ya zidane kipindi anacheza mpira.
Mimi nasimama na uhalisia mkuu. Mpira wa zidane kama kocha sijawahi kuuelewa nilikua naona real madrid inashinda tu kwa uwezo binafsi wa wachezaji sio mbinu za kocha.Bado nasimama na takwimu. Zidane ni mzuri ndio maana anavyo vikombe.
Wewe unajua mpira mkuu, Hongera kwakoMimi nasimama na uhalisia mkuu. Mpira wa zidane kama kocha sijawahi kuuelewa nilikua naona real madrid inashinda tu kwa uwezo binafsi wa wachezaji sio mbinu za kocha.
Na madrid asingechukua makombe chini yake ungesemaje?View attachment 3000119
Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua makombe ya UEFA back to back kwasababu tu ya uwepo wa CR7 akiwa kwenye peak yake na aina wachezaji waliopo madrid,
Na ndomaana mpaka sasa hana timu tangu kaondoka Real madrid hakuna timu iliyompa ofa kwasababu wameangalia aina ya mpira wake ni wa kizamani sana na ni kocha wa mbinu moja tu kitu ambacho modern football haitaki kwa sasa,
Kuna mtu atasema mbona aliweza kubeba makombe ya Uefa back to back akiwa madrid ? Jibu ninalo weza kukupa ni kwamba Madrid ni aina ya Timu ambayo unaweza mchukua hata Peter Msechu tukamvalisha suti na Tai ndefu na kumkabidhi timu na akabeba Makombe kama hana akili nzuri,
Siku zidane akipata kazi nje ya klabu ya madrid mtakumbuka maneno yangu huyu kocha hatokuja kubeba tena kombe la Uefa akifundisha timu nyingne tofauti na Wafalme wa Soka duniani Real madrid.
Kwahyo alipokuepo Rafa benitez kina Ronaldo hawakua na Uwezo Binafsi?Mimi nasimama na uhalisia mkuu. Mpira wa zidane kama kocha sijawahi kuuelewa nilikua naona real madrid inashinda tu kwa uwezo binafsi wa wachezaji sio mbinu za kocha.
Hata Carlo Ancelotti akiondoka atasema hivyo hivyo kwamba alikua haelewi Madrid anashinda vipi,Hujui mpira wewe yaani kutoeleweka Kwa Madrid ndio mfumo wenyewe huo naona kama hujielewi
Kipindi zidane anafundisha real madrid alikua anatumia falsafa ganiKwahyo alipokuepo Rafa benitez kina Ronaldo hawakua na Uwezo Binafsi?
Hayo ndio matatizo ya kumsikiliza sana Ambagile, sasa falsafa ndio nini?Kipindi zidane anafundisha real madrid alikua anatumia falsafa gani
Kwani Madrid ya sasa Doni Carlo anatumia Falsafa gani?Kipindi zidane anafundisha real madrid alikua anatumia falsafa gani
Zidane alikua anatumia falsafa gani?Kwani Madrid ya sasa Doni Carlo anatumia Falsafa gani?
Hujui kwamba kuna Falsafa ya Timu na Falsafa ya kocha.
Ili ufanikiwe Madrid fuata Falsafa yao sio ulete zako.
Mpira huo usioleweka ndio Falsafa ya Madrid sasa.😀