Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

Mbona makocha wengine walikua na Ronaldo na hawakuchukua back to back mara zote?
 
Kashinda kila kitu kwenye soka na hata kuchukua Uefa CL mara tatu mfululizo kitu ambacho hata Don Carlo,Delbosque,Guadiola hawana,haya huyo Artetwa kashinda nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…