Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.

Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea.

My take:
Najua CR7 atakuwa amenuna huko alipo lakini huu ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu, au nasema uongo ndugu zangu?

0E061A63-B081-4705-9B4D-2DBD2A3694F1.jpeg
 
Kuna Ronaldo (de Lima) na (Cristiano) Ronaldo.

Mpaka para ya mwisho ndio umeeleweka kwamba unayemzungumzia ni huyo mtajwa wa mwisho
Hata delima sio level za Messi.
Messi hamna mtu aliye level zake
Hata Pele na maradona huwa wanawekwa level zake kwa heshima ya ulegend wao tu lakin kwa kipaji Cha mpira kama mpira hawamfikii
 
Messi ni mtumwa wa Ronaldo kwa mashabiki wake. Wengi wakimtaja lazima jina Ronaldo lifuate. In short mafanikio yote ya Messi katika historia yataendelea kumuweka juu kwenye historia Ronaldo sababu ya kiherehere cha mashabiki.
 
Back
Top Bottom