Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Tupe mifano hata miwili
Kombe la dunia 2014 Ureno alikuwa anacheza na Sweden kwenye hatua ya kufuzu.

Sweden walikuwa na ndoto ya kufuzu ugenini lakini Ronaldo alifunga hattrick na kuwatoa Sweden.

Sweden walimchukia Ronaldo kwa jambo hilo.

2016 kwenye Euro Cup, Ureno alikuwa anacheza na Ufaransa ambao ndio walikuwa host of the tournament.

Wafaransa waliona itakuwa ni mechi nyepesi kwao kwakua Ronaldo aliumia mguu wake wa kushoto.
1687934692275.png


Lakini jamaa akiwa benchi aliendelea kutoa maelekezo kwa team mates wake kama kocha.

Kilichotokea Ureno wakabeba ndoo.

Wafaransa wengi walimchukia jamaa.

2018 UCL Bayern na Madrid ikiwa ni miaka 6 imepita tangu timu yeyote ya Ujerumani kuchukua ubingwa.

Ronaldo aliziba mianya yote ya uwezekano na kisha akatoka na...


1687934413338.png


Wajerumani wengi walimchukia

Njoo 2017 kwenye fainali ya UCL Madrid na Juventus

Buffon ambaye ni mmoja ya wachezaji bora kwenye eneo la goal keeping ambao wanapewa sapoti na mashabiki pande zote za dunia.

Buffon katika rekodi zake hakuwahi kuchukua kombe la UEFA. Ronaldo aliingia kambani mara 2

1687935159818.png


Kitu ambacho kiliamsha hisia kwa waitaliani na kumchukia sana jamaa.

Mechi ya Euro waliyocheza dhidi ya Armenia wakati wanafanya warmup, wachezaji wa timu pinzani walikuwa wanapita karibu yake huku wakiimba "Messi Messi Messi"

Jamaa akapiga hattrick afu hivi ndio alivyokua akishangalia


1687935919403.png


Messi aliwadhihaki mashabiki wa Madrid baada ya kuifunga Madrid ikiwa nyumbani Bernabeu.

1687936032177.png


Naye Ronaldo akalipiza kisasi kwa kuifunga Barcelona kwake Camp Nou.

1687936088163.png


Barcelona na nusu ya dunia walimchukia jamaa.

Sababu kubwa jamaa anachukiwa ni mbili, ni eidha ni bora kuliko mchezaji wako pendwa au aliiadhibu vibaya timu yako.

Your love makes me strong, your hate makes me unstoppable” — Cristiano Ronaldo
 
Messi ni mtumwa wa Ronaldo kwa mashabiki wake. Wengi wakimtaja lazima jina Ronaldo lifuate. In short mafanikio yote ya Messi katika historia yataendelea kumuweka juu kwenye historia Ronaldo sababu ya kiherehere cha mashabiki.

Wenye hio tabia ni mashabiki wa Ronaldo
 
Zidane aliulizwa kati ya Messi na Ronaldo nami ni GOAT."

Zidane alijibu "Ronaldo ni bora na Messi ni mshindani na ni ushindani ambao kila mmoja anataka kuuona."

"Lakini Ronaldo ni phenomenal hakuna maneno yanayotosha kumuelezea yeye, Ronaldo ni bora maradufu kuliko hata mimi ingawa nilikuwa na wakati mzuri katika kipindi changu."

"Ronaldo ni bora wa muda wote"

Team Messi mmefanya forgery mi naweka source hapa nataka na nyie mje na source.

Nyie ni haters wa Ronaldo.

Source: When Zinedine Zidane Weighed In on Messi and Ronaldo GOAT Debate
 
Msituone wote ni wajinga.

Hapa ananukuliwa Zidane akisema unapokuwa na Ronaldo kwenye kikosi tayari unakuwa unaongoza moja bila.

Screenshot_20230628-103427.png

Ebu leteni source ya hiyo habari yenu inayomuonesha Zidane akimsifia Messi dhidi ya Ronaldo

Mpaka hapa nyie ni waongo
 
Back
Top Bottom