Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Hata delima sio level za Messi.
Messi hamna mtu aliye level zake
Hata Pele na maradona huwa wanawekwa level zake kwa heshima ya ulegend wao tu lakin kwa kipaji Cha mpira kama mpira hawamfikii
Pele wa Ghana labda ile Pele wa Brazil hakuna wa kumsogelea katika hao
 
Wenye hio tabia ni mashabiki wa Ronaldo
In short Ronaldo ameshakuwa upande wa pili wa shilingi wa Messi. Itaenda hivyo kwa muda mrefu sana na sijui kama itatokea sehemu historia impraise Messi bila Ronaldo kutokutajwa.
 
Msituone wote ni wajinga.

Hapa ananukuliwa Zidane akisema unapokuwa na Ronaldo kwenye kikosi tayari unakuwa unaongoza moja bila.

View attachment 2671424
Ebu leteni source ya hiyo habari yenu inayomuonesha Zidane akimsifia Messi dhidi ya Ronaldo

Mpaka hapa nyie ni waongo
Kwa ronaldo sawa unakua tayari unaongoza goli moja lakini ukiwa na Messi kikosini unakuwa tayari umeshashinda kistaarabu mnoo na kwa staha zenye burudani za kufurahisha mnoo ndani yake!! Lakini Tunawashukuru wote wawili kwa mijiburudani waliyotupatia katika wakti wao wa uchezaji soka na hata kwa kipindi hichi wanapoelekea kwenda kumaliza wakti wao wa kucheza boli!!!
 
Hayo maneno sijayabuni mimi, nimemnukuu Zidane huyo ambaye mleta uzi kadai kuwa Zidane kasema Ronaldo hayupo kwenye level za Messi
 
Kwa ronaldo sawa unakua tayari unaongoza goli moja lakini ukiwa na Messi kikosini unakuwa tayari umeshashinda kistaarabu mnoo na kwa staha zenye burudani za kufurahisha mnoo ndani yake!! Lakini Tunawashukuru wote wawili kwa mijiburudani waliyotupatia katika wakti wao wa uchezaji soka na hata kwa kipindi hichi wanapoelekea kwenda kumaliza wakti wao wa kucheza boli!!!
Sasa si PSG wangekua na UCL?
 
Am neither football not players fan but nilivyoambiwa na watu about thses guys. Kuna mmoja Ni nature mwingine anatumia effort kubwa mno.

Wakati tunamaliza olevo kilikuwa na Saba Kama tatu ama mbili nishasahau Ila kulikuwepo na nane moja wani. Ila huyu dogo wa nane alikuwa anatumia nguvu kidogo compared na hizo Saba mbili. So appreciation ilikuwa kwa huyu dogo.

Kuna mtu anakielewa kitu naturally na mwingine anatumia nguvu
 
Ronaldo ndio mchezaji anayeongoza kwa kuwa na haters wengi.

Figisu nyingi zinaweza kufanywa ili mradi tu kumkwamisha.
Ronaldo kuambiwa kazidiwa na Messi sidhani kama yeye mwenyewe anaweza kubisha hilo wala kuhisi anachukiwa
 
Yeye zidane kwani ni nani?RONALDO NA MESSI WOTE NI WASHAMBULIZI.KWA HIVO MWENYE MAGOLI MENGI NDIO MSHAMBULIAJI BORA.msitusumbue
 
Back
Top Bottom