Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Kila mtu ana haki ya kuwa na maoni yake binafsi. Mimi binafsi ninaamini itachukua miaka zaidi ya 100 kuja kumpata mchezaji mwenye nusu ya kipaji alichokuwa nacho Lionel Messi.
Kama umefanikiwa kumuona Messi akicheza soka, unatakiwa ujivunie mno.
 
Hizi sasa ni kufuru kwa hio Ronaldho hajafika hata nusu ya Messi?
 
Hata delima sio level za Messi.
Messi hamna mtu aliye level zake
Hata Pele na maradona huwa wanawekwa level zake kwa heshima ya ulegend wao tu lakin kwa kipaji Cha mpira kama mpira hawamfikii
Gaucho?? Acha dharau, mahaba yenu kwa Messi yanavuka mipakaa sasa.
 
Hizi sasa ni kufuru kwa hio Ronaldho hajafika hata nusu ya Messi?
Maana yangu ni kuwa, baada ya Messi. Itachukua zaidi ya miaka 100 kupata mtu mwenye nusu ya kipaji cha Messi.
Ronaldinho ni kabla ya Messi.
 
Back
Top Bottom