Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Zidane: Ronaldo ni bora lakini hayupo kwenye level za Messi

Yeye zidane kwani ni nani?RONALDO NA MESSI WOTE NI WASHAMBULIZI.KWA HIVO MWENYE MAGOLI MENGI NDIO MSHAMBULIAJI BORA.msitusumbue
Kwa kigezo hiko Messi ni bora. Goal ratio

Naamini hesabu unajua. 4/12 na 2/4, unajua hapo ipi kubwa
 
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.

Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea.

My take:
Najua CR7 atakuwa amenuna huko alipo lakini huu ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu, au nasema uongo ndugu zangu?

View attachment 2671330
Hiyo ndiyo namna nzuri ya kuweza kulielezea hili
 
Kwa hicho ulichosema akija mwenye makombe mawili wakisema anamzidi Messi utaridhia.
Tutampima kwenye mengine. Kwenye vigezo vingine kuanzia magoli makombe, ballon dor n.k Ronaldo na Messi hawajapishana Sana,utofauti ndio unaletwa na world cup.

Tuambie huyo unayesema ukimlleta tukimpima huko kwingine wataenda sawa?
 
Magoli ni washambuliaji, kombe huwa ni la timu nzima hata walio benchi akiwemo kocha.
 
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.

Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea.

My take:
Najua CR7 atakuwa amenuna huko alipo lakini huu ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu, au nasema uongo ndugu zangu?

View attachment 2671330
Messi anaonekana bora kwasababu ameweza kudumu katika ubora kwa mda mrefu na hii kutokana kama wanavyosema kwa kiasi kikubwa anategemea kipaji tofauti na Ronaldo

Anaeanza kufuatilia mpira siku hiz anaweza kushangaa unamfananishaje Messi na Ronaldo wakat Ronaldo hana akifanyacho uwanjani zaid ya kudoea magol na kupiga penat, hii imecha
ngiwa na umri, mpira wa Ronaldo hakutegemea sana kipaj alitegemea hardworking

Ukimtaka kumjua Ronaldo kamchek kuanzia 2016 kurud nyuma, Ronaldo of from that point was different animal
1687376581271.jpg
 
Xavi na iniesta walikuwepo Messi akiinua kombe la dunia?
Sasa kombe la Dunia kafanya maajabu gani au yale mapenati? Bila ushabiki kwenye kombe la Dunia Mbape ndie aliekuwa bora zaidi.
 
Ronaldo ndio mchezaji anayeongoza kwa kuwa na haters wengi.

Figisu nyingi zinaweza kufanywa ili mradi tu kumkwamisha.
Hater's wa La Pulga pia wapo wengi.
 
Attachments

  • La pulga.jpg
    La pulga.jpg
    34.1 KB · Views: 7
Aliyepata kuwa kocha wa Ronaldo pale Real Madrid na gwiji wa klabu hiyo, Zinedine Zidane amesema Ronaldo ni mchezaji mzuri sana na ni mmoja ya wachezaji bora kuwahi kutokea lakini hayupo katika level za Lionel Messi.

Zidane akaongeza, Ronaldo hayupo kwenye level za Messi kwa kuwa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea.

My take:
Najua CR7 atakuwa amenuna huko alipo lakini huu ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu, au nasema uongo ndugu zangu?

View attachment 2671330
Kishasahau kwamba alikuwa akitembelea nyota ya Ronaldo pale Madrid!?amepata mataji mangapi toka aachane na Ronaldo!?anafundisha timu gani sasa hivi!?
 
Kishasahau kwamba alikuwa akitembelea nyota ya Ronaldo pale Madrid!?amepata mataji mangapi toka aachane na Ronaldo!?anafundisha timu gani sasa hivi!?
Haina haja ya kufika huko.

Hiyo ni fake news na ndio maana hajaweka chanzo.

Hakuna sehemu yeyote ambayo Zidane amemsifia Messi kuliko Ronaldo.

Zidane aliwahi kusema kuwa Ronaldo ni bora kuliko hata yeye mwenyewe licha ya kwamba alikuwa na wakati mzuri katika kipindi chake.

Na mpaka saizi Ronaldo anashauri timu yake imlete Zidane awe kocha.

Team Messi wana visa sana na Ronaldo, msimu wa kombe la dunia walikuwa kero sana.
 
Hata delima sio level za Messi.
Messi hamna mtu aliye level zake
Hata Pele na maradona huwa wanawekwa level zake kwa heshima ya ulegend wao tu lakin kwa kipaji Cha mpira kama mpira hawamfikii
Ni upuuzi kumfananisha Messi na yoyote ktk soka mbali na Pele na Maradona.
 
Back
Top Bottom