Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

Yohana aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, alichunwa ngozi yote lakini hakufa. Walipoona hafi anaendelea kumkiri Yesu Kristo, wakaandaa mafuta mengi, wakayachemsha sana, kisha wakamdumbukiza, lakini pia hakufa. Wakaone wakamtupe kisiwani Patmo

View attachment 2471513
Na huko kisiwani ikawaje?!!! Ni vizuri tusikie hitimisho km adhabu zilizopita.
 
Mada nzuri sana iweke na huku pia
 
Yohana aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Yesu, alichunwa ngozi yote lakini hakufa. Walipoona hafi anaendelea kumkiri Yesu Kristo, wakaandaa mafuta mengi, wakayachemsha sana, kisha wakamdumbukiza, lakini pia hakufa. Wakaone wakamtupe kisiwani Patmo

View attachment 2471513
Hatimaye akaja na zawadi adhimu ya ufunuo.
 
Kuna miaka huko mbele natumaini hata tozo kubwa kwa watu masikini na watu kusimama barabarani wakimsubiri kiongozi apite zitaonekana ni adhabu za ajabu.
Umenikumbusha mwaka 1990, tulipangwa barabarani tukimsubiri Nyerere apite pale Kibaoni, Ifunda Iringa..!! Yaani alipita shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...!!!! mida ya saa 9 alasili wakati sisi tulipangwa pale toka saa 2 asubuhi wallah..!! Amepita kwa kasi ile huku akiwa ndani ya gari wala hatukumuona
 
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23]
Siyo utani Dejane , tumepangwa sana barabarani kuwasubiria viongozi..!!! Sasa akiwa ndani ya uwanja (let say Sokoine Mbeya), ukifika muda wa hotuba milango ilikuwa inafungwa na hakuna kutoka..! Hiyo ni mpaka amalize...!! Hapo ukute mmesimama au mmekaa juani toka asubuhi hadi atakapomaliza hotuba.
 
Kwan ulikuwa unalazimishwa kwenda?au ilikuwaje? Najua zaman mpo shule mnaambiwa kwenda barabaran na matawi ya miti 😂😂😂
 
Back
Top Bottom